Masi Lambo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2020
- 532
- 360
Badala ya kupigania wananchi wasife njaa, Rais wetu anataka tupate tabu ya chakula na kununua kwa bei ya juu. Kasema,-
“Niwaombe wakulima, msiuze chakula kwa bei ya chini, mwaka huu na mwaka unaokuja si mzuri sana, sasa tutunze chakula, na kama tunaamua kuuza basi tuuze kwa bei ya juu sana, watwangeni sana” Rais Magufuli
Rais wa kweli anapigania wananchi wote wawe na maisha mazuri, wale vizuri, wavae vizuri, wawe na afya nzuri, lakini rais huyu anafanya kinyume cha yote na kuweka pesa za kodi mbele, kuanzia afya zetu mpaka makazi yetu, sababu bei ya juu ya chakula itatufanya tushindwe kulipa kodi za nyumba na matibabu hasa kwenye nchi isyopima korona.