rais

  1. J

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kuna wana CCM waliteuliwa hawana shukrani, waliteuliwa na Rais Magufuli 2015 leo tumefika Mtoni wanaondoka

    Mwenezi wa CCM komredi Polepole amesema wana CCM wanapaswa kushukuru pale wanapopata na hata wanapokosa maana huo ndio utamaduni wa CCM. Polepole amelalamika kuwa kuna watu waliteuliwa na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 lakini leo tumefika mtoni tunataka kuvuka wao wanaondoka. Chanzo: EATV
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania PhD/Doctorate ya huyu Mwanasiasa na Mteule wa Rais hadi leo inanipa Mashaka mno kuiamini na kuielewa

    " Ukiwa huna elimu na wewe ni mwigizaji unataka kukosoa utakosoa hovyo hovyo, sijawashawishi wasanii waimbe nyimbo za CCM mimi nilisisitiza kuhusu elimu "-Dk.Mwakyembe. Nipashe Na kinachoniuma zaidi ni Mwana Simba Sports Club Mwenzangu mzuri lakini pia alishawahi kuwa Mwana Fani Mwenzangu...
  3. Mystery

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hizi teuzi na tengua ninazoweza ziita kuwa ni za "vurugu mechi" za Rais Magufuli zinaipeleka wapi nchi yetu?

    Tumeshuhudia katika kipindi kisichozidi wiki moja, Rais Magufuli akifanya teuzi na tengua, za nafasi zaidi ya mia moja, katika nafasi zake za uteuzi, kama vile maRC, maDC, maDAS, maDED nk. Kitu ninachoweza ita imeleta sintofahamu kubwa yote hiyo na kuweza kuiita ni "vurugu mechi" za teua na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kiapo: Mimi... nitatumikia JMT katika nafasi ya mkuu wa mkoa na majukumu mengine nitakayopangiwa na Rais. Mungu nisaidie

    Nimeona niwawekee sehemu ya kiapo cha mtu aliyeteuliwa na " kukubali" uteuzi wa kuwa mkuu wa mkoa. Nimeupenda sana huu utaratibu unaotumiwa na Rais Magufuli wa Kata mti panda mti, watu wenye sifa ni wengi sana. Maendeleo hayana vyama
  5. ZING SOKONI

    JamiiForums Tanzania Wateule kuacha nafasi na kukimbilia ubunge inamaanisha nini?

    Licha ya onyo kali la mwenyekiti kwamba mtu aliye mteuwa asijaribu kutangaza nia ya kugombea ubunge sehemu yoyote ile kwani atamkata,lakini hali imekuwa tofauti kabisa kwani wateuliwa asilimia kubwa wameonekana wakiachia nafasi zao na kwenda kuchukua fomu za kuomba kupitishwa kuwa wagombea...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuchunguza kinachowakimbiza wateule wa Rais kwenye vyeo vyao, yawezekana wamechoka kutumikishwa

    Ukichunguza kwa makini utagundua kwamba wengi wa hawa wanaojiripua hawana uwezo wa kupenya kwenye kura za maoni au hata kuupata ubunge wenyewe hata wakipita kwenye mchujo . Kwa mfano Watu kama Katambi , Ole Sendeka, Kitila Mkumbo au David Kafulila , hawa hata wafanye kampeni bila kuvaa...
  7. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya uteuzi wa Fhika, Nzuki, Chogelo na kutengua uteuzi wa Kafulila, na Sophia Mjema Ole Sendeka na Katambi

    Rais Magufuli amemteua Dkt. Jumanne Fhika kuwa RC wa Njombe akichukua nafasi ya Christopher ole Sendeka. Kabla ya kuteuliwa Dkt. Fhika alikuwa Ofisi ya Rais. Dkt. Aloyce Nzuki ameteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili. Kabla ya uteuzi huo, alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli unawaonesha cha kuwatendea Watumishi wa Umma lakini Ndumbaro na Mkuchika wao hawajui kuitenda hiyo haki hata sasa

    Rais wangu hujali gharama, anatoka mtu unaweka mtu. Hata kama katoka ncha nyingine ya nchi hujali gharama za kumhamisha. Unawapa ulaji. Hasa wale watumishi wenye elements za kiutumishi. Safi sana! Aliyechukua nafasi ya Katambi wa Dodoma anatoka Geita, anakuja kulipwa mahela na masalahi mengine...
  9. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na Humphrey Polepole

    KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora ndugu Ludovick Mwananzila kwa kumwita mwenye tamaa nyingi sana. Mwananzila alishika nafasi ya...
  10. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 CUF: Wagombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar kujulikana Julai 27, katika Mkutano Mkuu wa Chama

    SISI CUF MGOMBEA WA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NA MGOMBEA RAIS WA ZANZIBAR WATAJULIKANA JULAI 27 "Mkurugenzi wa Mipango Na Uchaguzi CUF TAIFA Mhe. Juma Kilaghai ameyasema hayo Leo katika mahojiano na Waandishi wa habari kuwa Tarehe 27 mwezi huu ndiyo siku ya Mkutano Mkuu wa...
  11. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2020 Je, kauli hizi za 'Tamaa ya Madaraka na kutomtuma mtu kugombea' alizotoa Rais Magufuli ni dongo kwa Makonda na Gambo?

    Rais Magufuli baada ya kuwaapisha viongozi mbalimbali Ikulu Dodoma amenena kwamba viongozi mbalimbali hawaridhiki kabisa na madaraka hasa waliozaliwa mwaka 82 (1982). Pia soma> Uchaguzi 2020 - Tamaa za Wateule wa Rais kutia nia Ubunge zitawaponza wengi. Ushahidi huu hapa wa Rais Magufuli na...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wingi wa wagombea CCM ni uthibitisho kazi nzuri ya Rais Magufuli kwa taifa letu. Je, Oktoba ni kuchagua au kuthibitisha tu taratibu?

    Wanabodi, Tunapoelekea kwenye hatua ya kwanza ya uchaguzi kwa uchukuaji wa fomu za kugombea kwenye vyama vya siasa, kumejitokeza, uwingi wa mkubwa, wa wagombea kupitia CCM. Huu ni uthibitisho wa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na Rais, Dr. John Pombe Joseph Magufuli na awamu yake ya 5, na...
  13. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Rais Magufuli amewaapisha Viongozi Wateule mbalimbali, amewasisitiza kuridhika na nafasi walizoteuliwa

    Viongozi Wateule walioapishwa Leo ni: 1. Bw. Aboubakar Kunenge- Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam 2. Bw. Joseph Joseph Mkirikiti - Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara 3. Bw.Paulo Mshimo Makanza - Kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Dar es Salaam 4. Bw. Gabriel Pascal Malata- Kuwa Wakili Mkuu wa Serikali...
  14. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Rais Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015, ambazo ziligeuka uongo

    Wanajamvi, kitu nawachukia wanasiasa ni uongo. Kuna mtu alisema “mwanasiasa akikwambia sasa hivi ni mchana, kama mko ndani, toka nje uhakikishe jua lipo” Chini hapo ni hotuba ya Maghufuli siku anafungua kampeni 2015. Kiaina naona kama kila alichoahidi, kafanya kinyume kabisa! Imekaaje hii...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afanya teuzi 10: Aboubakar Kunenge awa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Joseph Mkirikiti Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Paulo Mshimo katibu Tawala Dar...

    Rais Magufuli ametua Wakuu wa Mikoa Katibu Tawala wa Mkoa Wakuu wa Wilaya Wakurugenzi wa Halmashauri na Makatibu Tawala wa Wilaya .
  16. K

    JamiiForums Tanzania Polisi Wilayani Rombo mnachafua Utawala wa Rais Magufuli

    Wakati Mheshimiwa Rais Magufuli akipigania maendeleo na kufanikiwa kuiingiza Tanzania kwenye uchumi wa kati kabla ya muda uliokuwa ukitarajiwa, jeshi la polisi wilayani Rombo limeendelea kulea na kushirikiana na wezi, wauza gongo, wauza bangi na wakabaji hali iliyosababisha wananchi wa vijiji...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli

    Barua ya wazi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Dkt. John Pombe Magufuli. Kwako Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Natumai unaendelea vizuri na shughuri zako za kila siku. Mimi ni kijana wako mtanzania halisi mpenda maendeleo na mchapa kazi wa kweli. Nakupongeza kwa...
  18. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  19. Mngurimi

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Dullah Planet anastahili kuitwa rais wa Bongo Flavour?

    Mambo vipi mabibi na mabwana? Natumaini uko poa na unaendelea na mitikasi ya maisha vile ambavyo umejaliwa. Ebana siku ya Jumapili ya tarehe 12 mwezi Julai 2020 ilikuwa ni siku kubwa sana kwenye tasnia ya burudani na michezo. Nisingependa kuongelea kwenye michezo maana hayo yamepita na...
  20. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Rais atangaza Wabunge 2 kufariki kwa Corona, 25 wengine wanaumwa

    Rais wa Madagascar Andry Rajoelina amethibitisha kuwa Seneta mmoja na msaidizi wa seneti nchini Madagascar wamefariki dunia leo kutokana na Ugonjwa wa Covid19. Rajoelina ameongeza kuwa maseneta wengine 14 na wasaidizi 11 nchini humo wanaugua ugonjwa huo. Mpaka sasa watu 5,080 wameugua virusi...
Back
Top Bottom