Rais Magufuli akutana na Rais Zanzibar, mzee Mangula na Dr Bashiru Ikulu Dodoma

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,413
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amekutana na Rais wa Zanzibar Dr Shein ambaye pia ni makamu wa mwenyekiti CCM huko visiwani.

Katika kikao hicho alikuwepo pia mzee Mangula na Dr Bashiru Ally.

Baada ya kikao hicho Rais Shein alienda kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa Ikulu ya Chamwino akiwa amesindikizwa na mzee Mangula na Dr Bashiru.

NEC.jpg

Source Eatv habari!
 
Nilikuwa naona CCM Mpya itafanya Mabadiliko magumu kushawishi waTanzania waliochoka kiuchumi na ili kuweza kutekeleza ilani ya CCM 2015 ambayo kwa kiasi kikubwa ktk miradi ya pesa nyingi ktk miundo-mbinu haijaweza kutekelezeka wala kumalizwa ktk kipindi cha 2015- 2020.

Na ili kufanikiwa hivi ndivyo watakavyoamua ktk kutekeleza ilani ya 'tujiisahihishe' wagombea wa nafasi za juu kupitia tiketi ya CCM ili kuwashawishi waTanganyika na WaZanzibari watakuwa hawa :
  • 2020 Rais Muungano Dr. Mohamed Shein
  • 2020 Makamu wa Rais serikali ya Jamhuri ya Muungano Ndg. John Pombe Magufuli amalizie miradi ya miundo mbinu 2020-2030
  • 2020 Rais wa SMZ Mama Samia Hassan Suluhu
Hii yote ni katika azma ya CCM Mpya kuja vingine baada ya kuonekana kuna mpasuko ndani ya CCM yenyewe na pia CCM Tanganyika na CCM Zanzibar.
 
Rais Magufuli ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM amekutana na Rais wa Zanzibar Dr Shein ambaye pia ni makamu wa mwenyekiti CCM huko visiwani.
Katika kikao hicho alikuwepo pia mzee Mangula na Dr Bashiru Ally.

Baada ya kikao hicho Rais Shein alienda kuweka udongo kwenye jiwe la msingi la ujenzi wa Ikulu ya Chamwino akiwa amesindikizwa na mzee Mangula na Dr Bashiru.

Source Eatv habari!
Ikulu ya ccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom