Mkutano wa 40 wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini ya Afrika (SADC) unatarajiwa kufanyika leo Chamwino mkoani Dodoma.
Katika mkutano huo Rais John Magufuli anatarajiwa kukabidhi jukumu la uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Philipe Nyusi.
Mkutano wa Dodoma utafanyika...
“Dear #WashkajiZangu, kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea tukapishana kauli jukwaani na Bwana ndugu Msanii mwenzangu, nimepokea simu mbalimbali za Viongozi wa Serikali...
Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.
Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.
Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu...
Nianze kwa na declaration of interest, ili kama kuna eneo nitakua 'biased' basi wajumbe mniuie radhi. Mimi ni Mtanzania muumuni wa dini ya kikristo. Nimekua mkristo kwa maisha yangu yote. Lakini pia ni muumini mkubwa wa haki, demokrasia na falsafa ya 'secular state'.
Ni ukweli ulio wazi kabisa...
Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada.
Ni wazi kuwa kama nchi hapa tulipo tukielekea Oct. 28 hatuko vizuri. Kwamba tunawagombea ambao wamejizatiti vilivyo kutokukubali kushindwa? Hili si jambo la afya hata kidogo.
Kwamba kuna mazingira ya kuwekeana vikwazo labda kutumia...
Mapema leo Rais Magufuli akizungumza na TAG, alimwaga kimombo kwa Mmarekani aliyekuwepo ukumbini akimpa ujumbe wa kuupeleka kwao huko Marekani.
Siku za hivi karibuni wale waliokuwa wanayatumia hayo mafua ya Corona kama silaha ya kisiasa dhidi ya Rais Magufuli, siku hizi wamekuwa wapole sana...
RAIS wa Tanzania, John Pombe Magufuli amewataka Watanzania kutochagua wanasiasa wanaohubiri chuki na kutoa maneno ya vitisho.
Kiongozi huyo wa nchi ametoa kauli hiyo leo Ijumaa tarehe 14 Agosti 2020, katika maadhimisho ya miaka 13 ya moto kwenye Mkutano Mkuu wa Kanisa la Assembly of God (TAG)...
Ndugu zangu watanzania mm sipendi Kuwa mnafiki pamoja nampongeza Rais wangu Magufuli ila naumia Sana ninapo wasikilizaupinzani hata kama nichizi au umelamba benders za chama kuna msg nzito Sana hawa jamaa wanatupa Sisi watanzania na Taifa Kwa ujumla.
Watu hatuelewi na watu tumekuwa kama watu...
Salaam Wakuu.
Leo Rais Magufuli amekuja hapa Miyuji mjini Dodoma na kutoa Hotuba kwa baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini Tanzania.
Kilichonisikitisha ni Kitendo cha Rais wetu kukataa kutumia Kipaza Sauti...
Punde Rais Magufuli atakuwa hapa Miyuji mjini Dodoma na kunatarajiwa kuwa na mazungumzo baina yake na baraza kuu la kanisa la TAG leo ikiwa ni kilele cha mkutano mkuu wa kanisa ambalo limetimiza miaka 81 tangu kuingia nchini. Nini kutaenda kuzunguzwa? Kaa nami nitakujuza.
=======
10:20 AM: Kwa...
Ninataka kumpigia kura mheshimiwa Rias wetu. Lakini, nahitaji majibu ya kina kwa haya maswali yangu;
1. Miili ya ndugu zetu iliyokuwa ikiokotwa ufukweni mwa bahari. Ili jambo ni jipya. Watanzania hatukuwahi kuona wenzetu wakiuawa kama kuku. Hawa watu walikosa nini mpaka kuondolewa haki yao ya...
Kuna hofu kubwa huko Lumumba kuhusu upepo wa Lissu. Hawakuutegemea, walijua Lissu ataufyata kama walivyoufyata wapinzani wengine kutokana na kashkash waliyowatia ndani ya miaka hii mitano, lakini wamekuta ndiyo kwanza Lissu hapepesi macho, ndiyo kwanza anakamua tu bila wasiwasi wowote.
Imefikia...
Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe.
Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni...
Najaribu kuwaza Kama tokea 2015 Rais Magufuli angeruhusu shughuli za kisiasa kuendelea Kama ilivyokuwa kipindi Cha nyuma, na hivyo Wapinzani kupata fursa ya kufanya mikutano ya kisiasa Mara kwa Mara ili kuwaambia wananchi juu ya madudu ambayo yamefanyika ndani ya miaka 5, Basi uchaguzi wa mwaka...
Rais Magufuli amemsamehe kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Rufiji bwana Kilimba aliyetoa taarifa za uwongo kwa mheshimiwa Rais kwamba gari la wagonjwa ni bovu.
RPC wa Pwani amesema utaratibu wa kumfikisha mahakamani mkurugenzi huyo ulishakamilika ila bwana Kilimba amepata bahati ya mtende ya...
Sisi wengine tutasema ukweli hata kama ni mchungu. Tutasema tu. Hata kama nitabaki peke yangu kuusema ukweli nitasema tu
Tundu Antipas Lissu - hatokuwa Rais wa Tanzania hata iweje. Hawezi apishwa kuwa Rais iwe jua iwe mvua.
Seif Shariff Hamad - hatokuwa Rais wa Zanzibar hata iweje. Hawezi...
Hali ya hewa siyo rafiki Musoma Mjini Kuna mvua inanyesha tangu saa moja asubuhi. Huwezi amini watu wamefika na mvua hiyo, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania hajafika, bado yuko Mwanza.
Haijapata kutokea!
Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu ameingia Musoma kwa Shangwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.