Uchaguzi 2020 Wabeba maboksi wawaasa Watanzania wamchague tena Rais Magufuli

Waambie serikali ya awamu ya tano imeharibu kabisa mradi wa mwendokasi. Waambie huku Tanzania mradi kama mradi uliondoka na JK sasaivi kilichobaki ni uchafu mtupu na takataka tu.

Waambie huku kupanda mwendokasi ni kama kukubali kwenda kazini au shule ukiwa mchafu. Mradi haueleweki, mabasi mengi yako hovyo na mabovu, hayafanyiwi maintanance kwa wakati na muda wowote mnaweza kuambiwa hakuna mabasi.

Kikubwa waambie waje siku Tanzania waone jinsi serikali ya awamu ya Tano ilivyoharibu hii mradi. Zaidi waambie kama wanamtaka Magufuli waje wamchukue na ukilaza wao wa CCM kwa sababu sie hatumtaki tenaaa!!
 
Wewe kama mdau uliyeanzisha uzi kulalamikia swala la passport na namna mpya ya mTanzania kutoka na kuingia humu nchini unawashaurije?
 
Waambie warudi waje kupiga kura wampigie.

Halafu waambie wanabebaje boksi ulaya wakati huku Magufuli kafanya kila kitu shwari, kwa nini wasirudi kuja kupiga kazi nyingi za kueleweka kuliko kushika shika vikongwe na kuwaosha makalio.
 
Waambie warudi waje kupiga kura wampigie.

Halafu waambie wanabebaje boksi ulaya wakati huku Magufuli kafanya kila kitu shwari, kwa nini wasirudi kuja kupiga kazi nyingi za kueleweka kuliko kuosha vikongwe makalio.
Hii habari ni mkuki wa sumu kwa mataga
 
Back
Top Bottom