Mgombea Urais wa Chadema katika uchaguzi mkuu ujao mwishoni mwa mwaka huu, Tundu Lissu, ametoa madai mazito mjini Njombe jana katika ziara zake za kutafuta wadhamini, akimuhususisha Rais, kuhusu jaribio la kuuawa kwake, lililofanyika September 7 mwaka 2017.
Akihutubia umati wa wananchi...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (JMT) na M/KITI wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli;
Kwa heshima kabisa, ninakuomba uwakumbuke kuwalipa mishahara watumishi wa Umma ambao walijitoa kwa moyo mmoja kukipigania Chama Chetu – CCM huko majimboni kwa kujitokeza...
Rais Xi Jinping wa China leo amefanya ziara ya ukaguzi mkoani Anhui, katikati ya China, na kuanzia ziara hiyo katika mto Huai ambao unachukuliwa kama mpaka wa kijiografia kati ya sehemu za kusini na kaskazini ya China, na kituo muhimu cha kukinga maafa ya mafuriko.
Rais Xi ametembelea kwanza...
Ndiyo maana sijutii na kamwe sitokuja Kujutia kuwa mwana CCM Chama ambacho ni 'Kikongwe' kabisa nchini Tanzania kutokana na kwamba Wapinzani wengi Barani Afrika nimegundua japo wakiwa hawajapata Madaraka na Kushika 'Dola' huwa wanatuaminisha Watu tuliochoka na 'Mifumo' Kandamizi iliyopo na...
Kiongozi mkongwe wa Upinzani nchini Uganda Dkt. Kizza Besigye ametangaza kwamba atatumia mbinu tofauti kumuondoa madarakani Rais wa sasa Yoweri Museveni na sio kupitia uchaguzi kwa madai mazingira ya sasa hayawezi kuhakikisha uchaguzi ulio huru na haki.
ITV Tanzania
Mpaka Dkt. Kiiza Besigye...
Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi.
Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma kutopewa maslahi yao ipasavyo, kero za wafanyabiashara ndogondogo hususan vitambulisho vya wamachinga...
Kusema ukweli Rais Jakaya Kikwete aliwafanya watanzania wawe na furaha sana.
Kusema ukweli Rais Magufuli amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Sasa chukua kolabo ya hulka na tabia ya JK halafu upendo wake tabasamu lake faraja zake wakati wa shida changanya na utendaji...
Kuanzia kwenye Kampeni zake mwaka 2015, Dr. Magufuli alijipambanua kuwa ataongoza Serikali ya Magufuli na si Serikali ya CCM. Na akayasimamia maneno yake ya kwenye kampeni, baada ya ushindi wake, kwa maneno na vitendo. Aliita Serikali ni ya Magufuli na si vingine. Mbunge Mstaafu wa Kilwa Kusini...
Habari!
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa hivi sasa ninapoandika haya, kuna uwezekano wa kutokea kwa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali ambapo kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya Serikali na vikosi vya Jeshi nchini humo.
Taarifa zaidi zitafuata hapo baadaye!
====
SASISHO: Katibu Mkuu...
Ukweli wa Mambo Magufuli anashinda Kwa kishindo ..itoshe kusema kwamba Hana Mpinzani Kwa Tanzania,Afrika na Dunia
Uwezo wake wa kufanya kazi kila mmoja anaujua jinsi alivyo mtekelezaji kuliko maneno watanzania wanavutiwa nae
WATANZANIA, BILA KUJALI VYAMA VYETU MAGUFULI TUMUACHE APITE BILA...
Tangia aingie madarakani November 2015, Rais John Magufuli amekuwa akinukuliwa mara kwa mara akitamka kwamba “Maendeleo hayana Vyama”. Kauli hii imeendelea kuleta mjadala mkubwa katika siasa za nchi. Lengo letu leo ni kudadisi kwa undani kupata ukweli juu ya suala hili. Ili kufikia lengo letu...
Kwanza nipende kutambua umahiri wa Rais wa Tanzania katika kumtegemea Mungu. Hajaanza leo wana jana. Tangu achagliwe amekuwa akiomba aombewe na kama binadamu anamapungufu yake anajua kumtegemea Mungu tena hadharani sio kwa kujificha.
JPM amejihusisha na kazi za kidini nyingi sana ikiwemo kutoa...
Ninapenda kuwashukuru wote wanaonifuatilia katika ukurasa wangu. Wapo watu wanaouliza ni kwa nini Askofu haonekani kumtetea Rais Magufuli anapodhalilishwa mtandaoni lakini anaonekana kuwatetea zaidi viongozi wa vyama vya upinzani pamoja na makundi mengine yakiwemo ya wanaharakati na wanahabari...
Karibu.
Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa.
Up dates;
Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5
Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea...
Maelfu ya waandamanaji wa upinzani wameandamana jiji Minks nchini Belarus kumshinikiza Rais Alexander Lukashenko kujiuzulu kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wanayosema hayakuwa Huru na Haki.
Maandamano haya yameelezwa na wachambuzi wa mambo kuwa ndio makubwa zaidi kuwahi...
Mkutano wa 40 wa wakuu wa nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini ya Afrika (SADC) unatarajiwa kufanyika leo Chamwino mkoani Dodoma.
Katika mkutano huo Rais John Magufuli anatarajiwa kukabidhi jukumu la uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Philipe Nyusi.
Mkutano wa Dodoma utafanyika...
“Dear #WashkajiZangu, kwanza nimuombe radhi Rais wetu wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Pili kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuniamini na kunipa nafasi ambayo bahati mbaya ilitokea tukapishana kauli jukwaani na Bwana ndugu Msanii mwenzangu, nimepokea simu mbalimbali za Viongozi wa Serikali...
Tundu Lissu alijua kuwa atashinda Urais alimchukulia poa Rais Magufuli, alipokuwa akisoma comments za twitter akaona tayari ameshashinda.
Hali halisi ameiona mitaani, alikuwa ameisahau CCM kuwa ndio chama tajiri kilicho kitaasisi.
Ametembea kukusanya wadhamini kila pahala amekutana na maajabu...
Nianze kwa na declaration of interest, ili kama kuna eneo nitakua 'biased' basi wajumbe mniuie radhi. Mimi ni Mtanzania muumuni wa dini ya kikristo. Nimekua mkristo kwa maisha yangu yote. Lakini pia ni muumini mkubwa wa haki, demokrasia na falsafa ya 'secular state'.
Ni ukweli ulio wazi kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.