Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA wameongoza kwenye kura za maoni isipokuwa Patrobas Katambi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,601
141,420
Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe.

Wateule wa Rais Magufuli waliotokea CHADEMA akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni.

Aliyefeli ni Wakili msomi Patrobas Katambi wa Shinyanga Mjini ambaye bado anapambana hajakata tamaa.

Nawatakia siku njema!
 
Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe

Wateule wa Rais Magufuli waliotokea Chadema akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni.
Aliyefeli ni Wakili msomi Patrobas Katambi wa Shinyanga mjini ambaye bado anapambana hajakata tamaa.

Nawatakia siku njema!
Umemsahau kafurila a.k.a Tumbiri??
 
Kumbe kafulila naye kashinda kwenye maoni ? au upo ndotoni bwa shee
 
Bado natafakari tetemeko la ardhi lililotokea jana katika eneo kubwa la nchi yetu huku nikisubiri orodha ya wagombea ubunge wa CCM itangazwe

Wateule wa Rais Magufuli waliotokea Chadema akina Juliana Shonza, Prof Kitila Mkumbo, Dr Mollel na Mwita Waitara wameongoza kwenye kura za maoni.
Aliyefeli ni Wakili msomi Patrobas Katambi wa Shinyanga mjini ambaye bado anapambana hajakata tamaa.

Nawatakia siku njema!
Kafulila naye aliongoza?
 
Back
Top Bottom