Papaa Shikolokonyez
Member
- Nov 29, 2019
- 34
- 17
Pia mie nashangaa😳😳😳😳Michael Njogo Gitonga Ni nduguye Uhuru toka lin??
Nasikia walisema uchunguzi unaendeleaMbona kama yeye?
Ila watakuwa wanafanana sana.
Damu nzito kuliko maji.
😀😀Nasikia walisema uchunguzi unaendelea
hata naskia ati DNA znamatchMichael Njogo Gitonga Ni nduguye Uhuru toka lin??