rais

  1. KakaKiiza

    Kwa kauli ya leo ya Mh Rais Magufuli kuna mawimbi yanarindima isikilize kwa makini tone yake!!

    Mh Rais nimemsikiliza kwa makini aliposema kama kuna wengine wanataka kuomba ruhusa waseme ruhusa iko wazi! Ukisikiliza kwa makini utaona inamalipizi kwa wale wote aliowateua na wameomba kuachia nafasi zao. Kama niubunge anaweza akawakata katika kura za awali wajiangalie wanaweza wasipitishwe...
  2. Mao Tanzania

    Pongezi Rais Magufuli kuboresha Utumishi wa Umma, Watia nia kuachia ofisi: Mawaziri Igeni

    Wasalamu wana Jukwaa! Nianze kwanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Rehma zake na kutuvusha katika janga zito. Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hoja inahusu Moyo wa dhati wa Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza kutokuwa na TAMAA YA VYEO KWA WATUMISHI WA UMMA...
  3. neema shamuhenya

    Tuamke tuamke jamani ndugu zanguni kumpongeza Rais mchapa kazi

    Vijana tuamke katika kuona Mambo aliyoyafanya Rais wetu Mpendwa MAGUFULI. Kila janga lililotokea Kipindi cha huyu Rais Magufuli halikudumu alipambana kuliondoa mapema sana. Kuna waliokuwa wanahujumu juhudi za Rais lakini walikuwa wanagonga mwamba kwa kufanya mambo kijinga. Walihujumu Sukari...
  4. B

    Hotuba ya Karne 21 iliyotolewa na Rais wa Malawi Dr. Lazarus Chakwera

    Kwa walioskiza hotuba yake Leo, ni ukweli kwamba ni itaingia katika Historia kama hotuba ya kipekee katika karne ya 21. Mambo aliyotaja, kama Magufuli angemsikiliza angejiuma kidole lakini pia angejifunza mengi. The new President of Malawi, Lazarus Chakwera, has told the BBC that his win in...
  5. Analogia Malenga

    Malawi: Kiapo cha Rais kuhudhuriwa na watu 100 kutokana na Corona kuongezeka kwa kasi

    Rais Mteule wa Malawi, Lazarus Chakwera angeweza kuahirisha sherehe za kuapishwa kutokana na kuongezeka kwa maambukizi ya COVID-19 Awali Rais Chakwera alipanga kuapa katika uwanja wa mpira uliopo Lilongwe ambao ungehudhuriwa na watu 40,000 Badala yake ataapa katika Ofisi za Jeshi na sherehe...
  6. J

    Natamani Dr. Mpango atuambie taifa limeokoa kiasi gani kwa Rais Magufuli na mawaziri kutosafiri nje ya bara la Afrika

    Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano. Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America. Tunakumbuka mikutano ya...
  7. Chachu Ombara

    Bangi Meru yawaponza OCD, OCCID, DSO. Rais Magufuli awaondoa | Amthibitisha James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti Dawa za Kulevya

    Rais Magufuli wakati wa hafla ya kuwaapisha viongozi wateule amewaagiza wakuu wa vyombo vya usalama nchini kuwaondoa Mkuu wa Polisi wilaya ya Meru na Mkuu wa Usalama wa Wilaya Meru kuondolewa maeneo yao ya kazi kutokana na kukithiri kwa zao la bangi bila kuchukuliwa hatua madhubuti. Rais...
  8. VUTA-NKUVUTE

    Kama akishinda tena, Rais Magufuli atategemea wateule wake 10 kuunda Baraza la Mawaziri la kueleweka

    CCM imeishiwa katika kupika viongozi wajao ndani ya UVCCM. Kwa watia-nia wanaoendelea kujitokeza majimboni kila uchao, ni wazi kama ngazi kuwa CCM inakuwa na wagombea 'bomu' uchaguzini. Kwakuwa ushindi umeshapangwa na kupangika, Bunge lijalo litakuwa dhaifu lakini nadhifu kama mkufu. Litakuwa...
  9. J

    Rais Magufuli awaapisha viongozi mbalimbali wa Mikoa na Wilaya aliowateua hivi karibuni

    Rais Magufuli leo anawaapisha wakuu wa mikoa ya Tabora na Kigoma, Ikulu jijini Dodoma. Kadhalika Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri watakula viapo vya maadili. Tukio hilo litarushwa mubashara na TBC na Channel ten Up dates; === Leo Julai 6, 2020, Rais MagufuliJP anatarajia...
  10. J

    Rais Magufuli katika tamasha la Muziki wa Shukrani Kawe jijini Dsm

    Rais Magufuli leo akiwa na Biblia amehubiri katika tamasha la muziki wa Injili linalofanyika Kawe jijini Dsm. Rais Magufuli ameongea kwa njia ya mtandao na amesema watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa kutuepusha na Corona na kadhalika kuliingiza taifa letu katika uchumi wa kati...
  11. J

    Rais Magufuli ateua Mkuu mpya wa Wilaya ya Mvomero na Mkurugenzi mpya wa Halamashauri ya Biharamulo

    Rais Magufuli ametengua mkuu wa wilaya ya mvomero mkoani Morogoro mh Utaly na kumteua Albanus Mgonya kuwa mkuu wa wilaya hiyo. Kadhalika Rais Magufuli amemteua ndugu Kombo kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Bihalamuri. Maendeleo hayana vyama!
  12. Prisoner 46664

    TRA Pwani wanarudisha nyuma juhudi za Rais Magufuli

    Wale walioko kwenye sekta za usafirishaji, uchimbaji wa malighafi ujenzi na ujenzi kwa ujumla watakuwa wamegundua kuwepo kwa uhaba wa ghafla wa mchanga unaotumika kujengea hivi Karibuni maeneo ya Dar na sehemu jirani. Kwa kipindi cha kama wiki moja hivi, TRA Pwani imekuwa ikikamata magari yote...
  13. Chizi Maarifa

    Bara hatuwezi mweka Rais Zanzibar ambaye hatumfahamu vizuri. Tutamweka Mwinyi

    Wazanzibari msijidanganye kuwa eti mtachagua Rais. Bara tunafahamu kuna baadhi ya Wanzanzibar wanaogombea nafasi hiyo wanataka waje kutumika na Maarabu. Hatutaruhusu hilo. Hussein Mwinyi ndiye ambaye tutamweka awe Rais wa Zanzibar nanyi mwende kumpigia kura ya kumpitisha. Kuna watu wasitegemee...
  14. M

    GE2020 Sifa Kuu Tano (5) za Bernard Kamillius Membe Zinazoonesha kwamba hafai kuwa Rais wa Nchi

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikimfuatilia ndugu yetu na Mtanzania mwenzetu Bernard Membe katika harakati zake za kuutafuta Urais wa JMT. Kwa sasa nimefanikiwa kung’amua sifa zake tano (5) ambazo binafsi naona kabisa kuwa zinamfanya asiwe mtu sahihi kwa nafasi hiyo kubwa na takatifu. Sifa hizo ni...
  15. J

    Rais Magufuli ateua Wakurugenzi wapya watano

    Rais Magufuli amemteua Duncan Thebas kuwa Mkurugenzi Mtendaji (DED) wa Newala, Mtwara akichukua nafasi ya Mussa Chimae, pia amemteua Mwailafu Thomas kuwa DED wa Nanyamba, Mtwara akichukua nafasi ya Oscar Ng’itu, Erica Yeggella ameteuliwa pia kuwa DED Halmashauri ya Wilaya ya Mtwara akichukua...
  16. Mtini

    Ukweli ni lazima tuuseme hadharani: Rais Magufuli alikuwa anaona kitu ambacho wengi hatukuwa tunaona; Je, ni Mungu aliyesema naye?

    Utendaji kazi wa Mungu ni waajabu sana, ili umsikie Mungu akisema ni lazima uwe kwenye nafasi husika. Mfano kama wewe ni mwenyekiti wa mtaa Mungu atasema na wewe kuhusu mtaa wako ni mara chache atakuambia kuhusu mitaa mingine au nchi yote kwa ujumla ila uwe na uhakika mara nyingi atasema na wewe...
  17. Mzukulu

    Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa

    Wanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu. Chanzo: ITV Tanzania Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na...
  18. FrankLutazamba

    Hivi inakuajekuaje kati ya mamilioni ya watu, unaibuka kupata bahati ya kuwa Rais wa Nchi?

    Bado najiuliza ni bahati iliyoje kati ya mamilioni ya watu MTU mmoja tuu unapata bahati ya kuwa rais wa Nchi,cheo ambacho unaweza kuwataka watu wote wasitoke majumbani,ukiagiza ghorofa lijengwe linajengwa japo litachelewa, Mliosoma history za viongozi mtujuze makuzi ya watu hawa huwa yakoje...
  19. Mystery

    Hii tumbua tumbua ya Mheshimiwa Rais Magufuli, hivi sasa lazima iangaliwe kwa jicho la tatu!

    Kwa uteuzi aliofanya leo wa kumteua Kamishna Thobias Andengenye kuwa mkuu wa mkoa mpya wa Mkoa wa Kigoma, ni lazima sasa kila Rais anapotoa sababu za kumtumbua mteule wake, ni lazima Wananchi tuchunguze kwa jicho la tatu, je ni kweli sababu anazotoa Rais Magufuli, kuwa ndiyo zenyewe...
  20. I

    Mheshimiwa Rais, naomba kazi ya Ukurugenzi wa Halmashauri

    Mheshimiwa Rais, Ninaomba kazi ya ukurugenzi wa halmashauri hasa katika maeneo ya kilimo au wafugaji kwasababu ninataka kutumia uzoefu na elimu yangu katika kuimarisha ushirika wa uzalishaji mali katika kilimo au ufugaji. Nina uzoefu wa muda mrefu katika kujenga uwezo wa taasisi ndogo ndogo za...
Back
Top Bottom