Baadhi ya viwanda vilivyozinduliwa na Rais Magufuli kati ya mwaka 2017 na 2019

Sep 8, 2020
66
125
picsido.jpg


Kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani Pwani

Viwanda vya mradi wa upanuzi wa mtambo wa maji wa Ruvu Juu na uzalishaji wa mabomba.

Mradi wa Upanuzi wa mtambo wa kusafisha maji Ruvu juu Mlandizi Mkaoni Pwani

Mradi mkubwa wa kusafisha na kuzalisha Maji kwa miji ya Pwani na Dar es Salaam.

Kiwanda cha Global Packing kilichopo Kibaha mkoani.

Kiwanda cha kutengeneza matrekta URSUS kilichopo Kibaha mkoani Pwani.

Kiwanda cha Nondo cha Kilua Steel Group kilichopo Mlandizi mkoani Pwani.

Viwanda vya chaki na kiwanda cha usindikaji maziwa –Simiyu

Kiwanda cha kuchakacha mahindi Mlale – Ruvuma

Kiwanda cha kusaga nafaka cha MeTL – Kurasini Dar Es Salaam

Kiwanda cha Sayona – Mwanza

Kiwanda cha Victoria Molders and polybags – Mwanza

Kiwanda cha Prince Pharmaceuticals – mwanza

Kiwanda cha Chai cha UNILEAVER Kabambe – Njombe

Kiwanda cha Superdoll – Vingunguti Dar er Salaam

Kiwanda cha Sigara cha Philips Moris International – Morogoro


JINSI WANANCHI WANAVYONUFAIKA NA UWEPO WA VIWANDA

Wakulima kwa ajili ya uzalishaji malighafi

Nafasi za ajira za juu, kati na chini

Malighafi zitakazo hitajika viwandani

Wakala wa bidhaa za viwandani

Mafundi wa aina zote, ujenzi, mitambo, n.k.

Kupata teknolojia mpya

Kuisaidia nchi kukua kiuchumi.

Kupata fedha za kigeni.
 

Steelomega

Member
Aug 22, 2020
72
125
Mungu akitusaidia kupata ubatizo endelevu huu by 2030 tunaweza kuingia uchumi wa juu zaidi ya huu wa uchumi wa kati.
 

tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
11,336
2,000
Hahaaa hii ni zaidi ya usanii wa joti,viwanda kibao vimeanza kazi enzi ya jk na vinajulikana,sayona ilikuepo,victoria moulders kimeanza kazi 2008 nimeenda kununua sana pvc pipe hapo..kiluwa kimejengwa na kuanza kazi kipindi cha jk.
Awamu hii ya tano wao ni uwongo tu hawachelewi kusema muhimbili walijenga wao 1970
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom