NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA"
KIGOMA KASKAZINI
Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana.
Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi.
"Kwenye mchakato...
Rais wa Guinea Alpha Conde amemchochea makonde Waziri hadharani kwa kile alichodai Waziri kampiga hela za kununua barakoa. Mwingine nae kajenga daraja bovu nae kala konde, safi sana.
"Niliposikia wenzetu eti watagawanya nchi hii vipande vipande nilishangaa sana, tulipopata uhuru Baba wa Taifa alituweka pamoja kwa maana ya kwamba umoja ni nguvu, unapomsikia mtu anasema akipata madaraka atagawanya vipande, jua wanapotaka kutupeleke siko" Dkt. Magufuli
"Kusema kila jimbo...
Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli
Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida.
Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka
Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
Ukipiga hesabu laki NNE Mara mikoa ishirini na tank ni tsh milioni kumi,ndogo sana kwa serikali kwa kila mwezi kuwalipa mishahara.
Ningefanya hivyo kwa sababu machifu hawana chanzo cha mapato kama watumishi wa Mungu Ila wanatunza tamaduni na mila zetu,pia wanatuepusha na balsa na mikosi kwa...
"Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula.
Kwa haya...
RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA
Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima.
''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa...
"Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira.
globalpublishers
Nyie Watoto wa...
Hatimaye Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuanza kutumia chopa kama sehemu ya usafiri wa kampeni zake.
Chopa hiyo itaanza kutumika kwenye nusu ya pili ya harakati za kampeni kuelekea October 28,chopa hiyo yenye usajili wa 5Y-HSN imekodiwa toka nchini Kenya kwa mmoja wa wanasiasa na mfanyabiashara...
"Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga, mambo ndivyo yanavyokwenda...
Utangulizi;kuna Mali za Serikali na
Mali za chama,Chanel ten na TBC
In Mali ya serikali.
1.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine.
2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu.
3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo.
4.Nyimbo...
TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA"
BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI
MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF."
KASULU, KIGOMA.
Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
Siasa ni Sayansi na uwekezaji kwa jamii.
Rais Magufuli na Chama Chake cha CCM wanaijua vyema Siasa na kwa uhakika waliweka mazingira tofautitofauti ya kuhakikisha makundi yote ya kijamii yanaiunga CCM.
Nitaanisha Makundi kadhaa ambayo CCM imeweza kuyapoka kutoka upinzani na Makundi...
Wanabodi,
Historia ni somo la muhimu sana kwani linatuonesha ni wapi tulipotoka, tulipo na kutuwezesha kupanga na kutabiri kesho yetu.
Wakoloni walipokuja Afrika hawakuja moja kwa moja. Walikuja kwa hatua, kwa kuwatanguliza wamishionari, wapelelezi na wafanyabiashara. Hawa walipeleleza tabia...
Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo.
Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni...
MGOMBEA WA MAKAMU WA RAIS, BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI AGAWA KADI KWA VIJANA WA UVINZA TARAFA YA NGURUKA MKOANI KIGOMA
Makamu wa rais, Bi. Hamida Abdallah Huweishi amefika katika tarafa ya nguruka na kuzungumza na wananchi wa nguruka na kuwaomba ifikapo tarehe 28,octoba wasifanye makosa...
Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri.
=====
Maalim Seif: Nasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.