Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Mbunge mmoja wa Kenya amekamatwa kufuatia matamshi aliyotoa dhidi ya Rais Uhuru Kenyatta wikendi iliyopita, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo.

Johanna Ng’eno anatuhumiwa kwa kutumia maneno ya matusi kumdhalilisha rais, kulingana na taarifa ya gazeti la Daily Nation inayonukuu ripoti ya polisi.

Kanda ya video inayomuonesha mbunge huyo akizungumzia mgogoro kati ya rais Kenyata na naibu wake William Ruto imezua gumzo kali katika mitandao ya kijamii.

Mbunge huyo anasikika akimwambia rais avunje serikali ikiwa ameshindwa kufanya kazi na bwana Ruto.

Hali ya taharuki ilishuhudiwa wakati wa kukamatwa kwa mbunge huyo wa Emurua Dikirr, katika eneo la bonde la ufa huku tukio hilo likioneshwa moja kwa moja katika ukurasa wake wa Facebook.

Baada ya kukamatwa kwa bwana Ng'eno, naibu wa rais aliandika ujumbe katika Twitter yake akisema "viongozi wanapaswa kujizuia na kuepuka kutumia lugha ya matusi dhidi ya Wakenya wengine".

Naomba kufahamu kuhusiana na sare za polisi wa Kenya ,Ilikuwaje mpaka wakaamuua kuvaa sare zinazofanana za KDF
 
Nchini Kenya watu huwa hawalimbikiziwi kesi za 'kuhujumu uchumi'. Katiba ya Kenya ipo wazi kuhusu hate speech. Article 33(2) subsection (c)
of the Constitution states that freedom of expression in Kenya does not include hate speech. Section 13 of the National
Cohesion and Integration
Commission Act forms the
basis of a more formidable
explanation for hate
speech laws in Kenya. Section 13(1) defines hate
speech as
: use of threatening, abusive or insulting
words or behaviour; display of any written material; Publication or distribution of written
material; presenting or directing the
performance of the
public performance of
a play; distributing, showing or playing, a recording
of visual images; or providing, producing or directing a
programme.
 
kwani ametukana? Si kakemea handshake na rushwa?
 
Wakenya mpo na matatizo ya akili sio bure, Tanzania watu wakikamatwa kwa kumsema vibaya na kumkashifu rais mnasema Tanzania Hakuna uhuru wa kujieleza. Huyu mbunge amesikika akimsuta Uhuru Kenyatta kwa kuongoza nchi kihuni kama anaongoza familia yake, anekamatwa na kufunguliwa kesi ya uchochezi, mnaanza kuleta maneno yenu ya kijinga.

Kwahiyo Tanzania mtu akimsema vibaya rais akikamatwa na kupelekwa mahakamani hiyo sio sawa ni kuminya uhuru wa kujiekeza, lakini Kenya mtu akimsema rais na akikamatwa na kupelekwa mahakamani kwa kosa la uchochezi, hiyo ni sawa kwasababu katiba inaruhusu
 
Amemtukana mamake rais.

Wapi Americana?, Tukisema katiba haina maana kama watu wenyewe hawabadiliki mnaona tunawaonea wivu, sasa pesa zote mlizotumia kuandika katiba mpya zimesaidiaje kama watu bado wanakamatwa hovyo kiasi hiki?, uhuru wa kujieleza upo wapi kama maneno ya kawaida tu mtu anakamatwa, hivi ni neno gani alilosema lenye kuonyesha uchochezi?
 
Comment ya naibu rais, ambaye ndiye mbunge huyo alikuwa anampigia debe na matamshi yake hayo.-.....Baada ya kukamatwa kwa bwana
Ng'eno, naibu wa rais aliandika ujumbe
katika Twitter yake akisema "viongozi
wanapaswa kujizuia na kuepuka
kutumia lugha ya matusi dhidi ya
Wakenya wengine
".....
 
Tofauti kati ya Kenya na Tz ni kwamba mhimili wa mahakama haupo chini ya kisigino cha rais. Jukumu la serikali ni kuwasilisha kesi yao, kama mbunge huyo hana kesi ya kujibu mahakamama itatupilia mbali kesi hiyo. Kukamatwa na vitengo vya usalama sio mwisho wa mawazo kwa wakenya. Hiyo sasa ndio inaitwa katiba.
 
Ukiona kesi ya uhujumu uchumi hapo nitag
 
Tofauti kati ya Kenya na Tz ni kwamba mhimili wa mahakama haupo chini ya kisigino cha rais. Jukumu la serikali ni kuwasilisha kesi yao, kama mbunge huyo hana kesi ya kujibu mahakamama itatupilia mbali kesi hiyo. Kukamatwa na vitengo vya usalama sio mwisho wa mawazo kwa wakenya. Hiyo sasa ndio inaitwa katiba.
Uhuru wa kujieleza ni pale ambapo mtu yupo huru kujieleza bila wasiwasi wa kunyanyaswa au kukamatwa na vyombo vya dola, habari ya mahakama haipo katika "freedom of expression", hata Kama polisi hawatompekeka mahakamani, lakini kitendo cha kumkamata na kumnyanyasa ni uvunjifu wa haki yake ya kujieleza.

Tundu Lisu na wenzake waliokomatwa na kupelekwa mahakamani kwa makosa ya uchochezi, karibia 80% ya kesi walishinda na kuachiwa huru. Ukweli ni kwamba Kenya Hakuna uhuru wowote wa habari uluoletwa na katiba mpya.
 
Comment ya naibu rais, ambaye ndiye mbunge huyo alikuwa anampigia debe na matamshi yake hayo.-.....Baada ya kukamatwa kwa bwana
Ng'eno, naibu wa rais aliandika ujumbe
katika Twitter yake akisema "viongozi
wanapaswa kujizuia na kuepuka
kutumia lugha ya matusi dhidi ya
Wakenya wengine
".....

Wapi ametukana?
 
Back
Top Bottom