Uchaguzi 2020 Rais Magufuli aliwahi kusema kuwa wapinzani hawana ilani, leo ameanza kutaja kurasa za ilani ya CHADEMA na kuzitolea ufafanuzi (Soma hapa)

dikteta2020

JF-Expert Member
Aug 14, 2018
595
3,990
1600776978661.png

"Niliposikia wenzetu eti watagawanya nchi hii vipande vipande nilishangaa sana, tulipopata uhuru Baba wa Taifa alituweka pamoja kwa maana ya kwamba umoja ni nguvu, unapomsikia mtu anasema akipata madaraka atagawanya vipande, jua wanapotaka kutupeleke siko" Dkt. Magufuli

"Kusema kila jimbo lijitegemee ni kuirudisha nyuma Tanzania na kukuza ukabila, madhara yake majimbo yaliyo masikini yatakuwa masikini zaidi. Kataeni masuala ya majimbo, wakoloni walipotaka kuitawala duniani waligawanya majimbo" Dkt. Mgombea wa Urais kupitia CCM

"Kwenye ilani yao ukurasa wa 84 inasema kuwa, wakipata madaraka madini yetu watayaweka rehani, kwa neno walilolitumia kuwa ni dhamana. Yaani watachukua madini yetu kuwapa watu, wachimbe na kuuza" Dkt. Magufuli

"Leo wenzetu wanasema wataweka dhamana ya madini yetu, kesho watasema wanaweka dhamana mbuga zetu hata na wake zetu. Tunarudi kwenye utumwa, ni mambo ya ajabu sana" Dkt. Magufuli akiwa Itigi
 
JPM hawezi siasa.

Upinzani unampelekesha kwelikweli.

Badala ya kunadi ilani ya chama chake, leo anajibu shutuma toka upinzani.

Juzi alijibu hoja za ndege, uwanja wa ndege chato. Sahivi anajibu hoja za vitambulisho vya wamachinga, kesho atajibu lingine.

Bado hoja ya mpwa wake kuwa pay master wa serikali, na mayanga construction.

Kila siku Lissu anampelekesha.
 
Aliposema hawana ilani walikuwa kweli hawana wakakimbia chap chap kwenda kuitengeneza
 
JPM hawezi siasa.

Upinzani unampelekesha kwelikweli.

Badala ya kunadi ilani ya chama chake, leo anajibu shutuma toka upinzani.

Juzi alijibu hoja za ndege, uwanja wa ndege chato. Sahivi anajibu hoja za vitambulisho vya wamachinga, kesho atajibu lingine.

Bado hoja ya mpwa wake kuwa pay master wa serikali, na mayanga construction.

Kila siku Lissu anampelekesha.
Siasa za Tanzania hazina mchakamchaka wa kukipelekesha chama tawala haya ni maneno tunayojifariji tu mitandaoni!

Kwa Tanzania hii upinzani ukipata 40% ya kura za wananchi sio za mitandaoni ni ushindi tosha!

Msinipige mawe.
 
Lissu aliposema Mayanga kwanini Magufuli nae asikimbie Chap Chap kupangua?
Huyo Lisu aliweka ushahidi ? Ilani ni kitabu kikichoandikwa chenye ushahidii Dk Magufuli ka quote kitu chenye ushahidi
 
JPM hawezi siasa.

Upinzani unampelekesha kwelikweli.

Badala ya kunadi ilani ya chama chake, leo anajibu shutuma toka upinzani.

Juzi alijibu hoja za ndege, uwanja wa ndege chato. Sahivi anajibu hoja za vitambulisho vya wamachinga, kesho atajibu lingine.

Bado hoja ya mpwa wake kuwa pay master wa serikali, na mayanga construction.

Kila siku Lissu anampelekesha.
Hiyo ya pay master kashikwa pabaya hawezi sema kitu!Apo!
 
JPM hawezi siasa.

Upinzani unampelekesha kwelikweli.

Badala ya kunadi ilani ya chama chake, leo anajibu shutuma toka upinzani.

Juzi alijibu hoja za ndege, uwanja wa ndege chato. Sahivi anajibu hoja za vitambulisho vya wamachinga, kesho atajibu lingine.

Bado hoja ya mpwa wake kuwa pay master wa serikali, na mayanga construction.

Kila siku Lissu anampelekesha.
Hajui siasa ana hasira sn
 
Sasa yeye ndiye anaact kama mpinzani .... Huu mchezo mtamu kweli kweli. Muwinda sasa amegeuka kuwa muwindwa!!
 
Kwani sasa hivi serikali ndio inachimba madini ana imeingia zabuni na makampuni ya madini? Tofauti ya zabuni na kuweka rehani ni nini? Meneja kampeni wa magufuli anakula ela za bura hana kazi anayomsaidia.
 
Siasa za Tanzania hazina mchakamchaka wa kukipelekesha chama tawala haya ni maneno tunayojifariji tu mitandaoni!

Kwa Tanzania hii upinzani ukipata 40% ya kura za wananchi sio za mitandaoni ni ushindi tosha!

Msinipige mawe.
Uchaguzi ukiwa wa wazi na wahaki CDM watashinda kwa 60% wapinzani wengi wa CCM wamo ndani ya CCM wenyewe kuliko ktk upinzani
 
Huyo Lisu aliweka ushahidi ? Ilani ni kitabu kikichoandikwa chenye ushahidii Dk Magufuli ka quote kitu chenye ushahidi
Wala haunishangazi na ninyi ndio mlisema kuwa Dereva wa Lissu ndio shahidi na kwamba Lissu alipijiga risasi
 
Hiyo safi, kuliko kukopa bora uweke bondi mgodi, uchukue pesa ambayo uliyltakiwa uipate miaka 100/miamoja ijayo, tanzania itakuwa kama ulaya

Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Unajua kuweka bond ardhi wewe? Ukiweka nyumba bond mkopo wa benki ukishindwa kulipa kinachofuata si unakijua? Nyumba inachukuliwa na benki

Ukiweka bond ardhi ya madini ni sawa na kuuza nchi kwa wakopeshaji kwa mkopo

Ukishindwa kulipa nchi inaondoka inakuwa chini ya wakopeshaji

Hii sera ni wazi Chadema wana mpango wa kuuza nchi kwa wakopeshaji Kuna ufisadi wa kufa mtu kuwa serikali ya Chadema waweza kopa mikopo mikubwa isiyolipika kisha wanawakabidhi migodi kuwa chukueni .Kisha haooo waweza kimbia nchi kwenda kula pesa ubelgiji baada ya kuuza nchi
 
Back
Top Bottom