Rais Alpha Conde wa Guinea amchochea makonde Waziri

eddy

JF-Expert Member
Dec 26, 2007
15,080
10,038
Rais wa Guinea Alpha Conde amemchochea makonde Waziri hadharani kwa kile alichodai Waziri kampiga hela za kununua barakoa. Mwingine nae kajenga daraja bovu nae kala konde, safi sana.

 
Mwaka huu kuna Uchaguzi Mkuu,yule Msanii emolo Grand P anagombea Urais lazima amkalishe.
 
Na wabunge wa Chadema wangefanya kama rais Konde, Mbowe asingekula tena billion 8 ya michango ya wabunge.
Wewe binti hovyo sana
tapatalk_1576166751572.jpeg
 
Back
Top Bottom