Makundi ya kijamii yanayompa Ushindi Rais Magufuli 2020

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Siasa ni Sayansi na uwekezaji kwa jamii.

Rais Magufuli na Chama Chake cha CCM wanaijua vyema Siasa na kwa uhakika waliweka mazingira tofautitofauti ya kuhakikisha makundi yote ya kijamii yanaiunga CCM.

Nitaanisha Makundi kadhaa ambayo CCM imeweza kuyapoka kutoka upinzani na Makundi iliyoendelea kuyashikilia.

1-Wazee(Kundi linaloipa heshima)
2-Wanawake(Bado ni kundi kindakindaki)
3-Vijana(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani baada ya 2015.)
4-Wasanii(kundi hili limeongezewa wafuasi kulinganisha na 2015)
5-Wanampira(aliyekuwa mwenezi wa CCM amehamasisha sana kundi hili)
6-Wanafunzi vyuo vikuu (Kwa miaka mitano mgogoro wa kukosekana kwa boom haukuwepo,Tahliso wamuunfa mkono)
7-Wanafunzi wa Sekondari(High Schools),kundi hili limeguswa baada ya Shule kongwe zote nchini kupata fedha kiasi cha Tsh milioni 900+ kuboresha miundombinu
8-Wafanyakazi hasa walimu
madeni ya muda mrefu yamelipwa.Walimu wa sekondari wanapata responsibility allowance.
Madaktari wapya zaidi ya 1500 walipata fursa za ajira.
9-Wachimbaji wadogo wadogo
wamepata fursa ya kufanya biashara kimataifa.HONGERA LAIGWANANI LAIZER KWA KUPIGA MAWE YA KILO ZA KUTOSHA HUKO MERERANI.
10-Wamachinga,mama ntilie na bodaboda :Mgambo wa majiji na halmashauri hawawaletei bugudha tena.(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani)
11-Wakulima na Wafugaji:
Yale mauaji na vurugu yaliyokuwa yakitokea mara kwa mara yamepungua hasa.Kangomba wamepigwa pin haswa.
12-Taasisi za dini:Hatimaye taasisi za dini zimetambua nia njema ya Mhe. Rais na sasa zi pamoja naye(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani)
13-Walemavu:Wengi wamepata fursa zikiwemo za uongozi na mikopo bila riba.Mauaji ya Albino yameisha.
14-Viongozi wasomi wa vyuo vikuu:Unaposajili watu kama Kitila Mkumbo na Palamagamba Kabudi sekta ya Elimu ya juu inakuelewa unafanya nini.
15-Wapinzani wapenda maendeleo:Wengi walisema eti wamenunuliwa ila kiukweli wameona upinzani haujielewi.
16-Wafanyabiashara wa kati na wakubwa:hapa wafanyabiashara wakitanzania wamepewa fursa ya uwanja sawa wa kushindana na fursa za kuuza na kuagiza nje ya nchi.
17-Wakandarasi wenye mitaji midogo
sasa hivi zile curtail za kibiashara zimevunjwa
ORODHA ITAENDELEA

SAFARINI KALIUA!!!!!

CCM OYEE!
 
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
Post yako nimeifananisha na zile post za matangazo ya biashara kule Insta
 
Kundi lingine la kijamii litakaipa kura CCM ni la wasomi wametoa tamko lao kuwa kuna watu hawanadi sera wanatukana tu na kutishia amani tu

Kundi lingine la kijamii litakaloipa kura CCM ni walala hoi waliomba walimu bure kwa watoto wao,walioomba wajengewe miundo mbinu,walioomba miradi ya maji,umeme,vituo vya afya nk wakapewa
 
Makundi mengine yatajayoipa kura CCM ni wale wenye vyeti original ambao walikosa kazi na promosheni kwa nafasi zao kuzibwa na wenye vyeti feki ambao Chadema na Lisu wanawatetea ambao Magufuli aliwatumbua
 
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
Huyo Lisu anataka haki gani zaidi wakati kwa sasa anayo haki ya kuzurula nchi nzima huku akibwabwaja?
 
Siasa ni Sayansi na uwekezaji kwa jamii.

Rais Magufuli na Chama Chake cha CCM wanaijua vyema Siasa na kwa uhakika waliweka mazingira tofautitofauti ya kuhakikisha makundi yote ya kijamii yanaiunga CCM.

Nitaanisha Makundi kadhaa ambayo CCM imeweza kuyapoka kutoka upinzani na Makundi iliyoendelea kuyashikilia.

1-Wazee(Kundi linaloipa heshima)
2-Wanawake(Bado ni kundi kindakindaki)
3-Vijana(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani baada ya 2015.)
4-Wasanii(kundi hili limeongezewa wafuasi kulinganisha na 2015)
5-Wanampira(aliyekuwa mwenezi wa CCM amehamasisha sana kundi hili)
6-Wanafunzi vyuo vikuu (Kwa miaka mitano mgogoro wa kukosekana kwa boom haukuwepo,Tahliso wamuunfa mkono)
7-Wanafunzi wa Sekondari(High Schools),kundi hili limeguswa baada ya Shule kongwe zote nchini kupata fedha kiasi cha Tsh milioni 900+ kuboresha miundombinu
8-Wafanyakazi hasa walimu
madeni ya muda mrefu yamelipwa.Walimu wa sekondari wanapata responsibility allowance.
Madaktari wapya zaidi ya 1500 walipata fursa za ajira.
9-Wachimbaji wadogo wadogo
wamepata fursa ya kufanya biashara kimataifa.HONGERA LAIGWANANI LAIZER KWA KUPIGA MAWE YA KILO ZA KUTOSHA HUKO MERERANI.
10-Wamachinga,mama ntilie na bodaboda :Mgambo wa majiji na halmashauri hawawaletei bugudha tena.(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani)
11-Wakulima na Wafugaji:
Yale mauaji na vurugu yaliyokuwa yakitokea mara kwa mara yamepungua hasa.Kangomba wamepigwa pin haswa.
12-Taasisi za dini:Hatimaye taasisi za dini zimetambua nia njema ya Mhe. Rais na sasa zi pamoja naye(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani)
13-Walemavu:Wengi wamepata fursa zikiwemo za uongozi na mikopo bila riba.Mauaji ya Albino yameisha.
14-Viongozi wasomi wa vyuo vikuu:Unaposajili watu kama Kitila Mkumbo na Palamagamba Kabudi sekta ya Elimu ya juu inakuelewa unafanya nini.
15-Wapinzani wapenda maendeleo:Wengi walisema eti wamenunuliwa ila kiukweli wameona upinzani haujielewi.

ORODHA ITAENDELEA

SAFARINI KALIUA!!!!!

CCM OYEE!
Scientific analysis!

Sasa hivi upinzani wamebaki na kakundi kadogo ka kupiga propaganda mitandaoni. Ukifungua JF thread za kuitukuza CHADEMA na kuibeza CCM zimeongozana, japokuwa zinaongea utumbo mtupu, lakini wao wamewekeza fedha zao kwenye kutuma thread nyingi za kupika, pamoja na picha za kupika.

Ila kiuhalisia ukienda kwenye makundi kama ambavyo umeelezea vizuri sana, kura zote ni Magufuli! Kweli siasa ni sayansi, watamkumbuka sana Dr Slaa!
 
Wengi tu ambao amewafanyia mengi - wafanyakazi, wastaafu, wakulima wa korosho, waathirika wa tetemeko Bukoba... Kura atapata nyingi tu.
Siasa ni Sayansi na uwekezaji kwa jamii.

Rais Magufuli na Chama Chake cha CCM wanaijua vyema Siasa na kwa uhakika waliweka mazingira tofautitofauti ya kuhakikisha makundi yote ya kijamii yanaiunga CCM.

Nitaanisha Makundi kadhaa ambayo CCM imeweza kuyapoka kutoka upinzani na Makundi iliyoendelea kuyashikilia.

1-Wazee(Kundi linaloipa heshima)
2-Wanawake(Bado ni kundi kindakindaki)
3-Vijana(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani baada ya 2015.)
4-Wasanii(kundi hili limeongezewa wafuasi kulinganisha na 2015)
5-Wanampira(aliyekuwa mwenezi wa CCM amehamasisha sana kundi hili)
6-Wanafunzi vyuo vikuu (Kwa miaka mitano mgogoro wa kukosekana kwa boom haukuwepo,Tahliso wamuunfa mkono)
7-Wanafunzi wa Sekondari(High Schools),kundi hili limeguswa baada ya Shule kongwe zote nchini kupata fedha kiasi cha Tsh milioni 900+ kuboresha miundombinu
8-Wafanyakazi hasa walimu
madeni ya muda mrefu yamelipwa.Walimu wa sekondari wanapata responsibility allowance.
Madaktari wapya zaidi ya 1500 walipata fursa za ajira.
9-Wachimbaji wadogo wadogo
wamepata fursa ya kufanya biashara kimataifa.HONGERA LAIGWANANI LAIZER KWA KUPIGA MAWE YA KILO ZA KUTOSHA HUKO MERERANI.
10-Wamachinga,mama ntilie na bodaboda :Mgambo wa majiji na halmashauri hawawaletei bugudha tena.(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani)
11-Wakulima na Wafugaji:
Yale mauaji na vurugu yaliyokuwa yakitokea mara kwa mara yamepungua hasa.Kangomba wamepigwa pin haswa.
12-Taasisi za dini:Hatimaye taasisi za dini zimetambua nia njema ya Mhe. Rais na sasa zi pamoja naye(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani)
13-Walemavu:Wengi wamepata fursa zikiwemo za uongozi na mikopo bila riba.Mauaji ya Albino yameisha.
14-Viongozi wasomi wa vyuo vikuu:Unaposajili watu kama Kitila Mkumbo na Palamagamba Kabudi sekta ya Elimu ya juu inakuelewa unafanya nini.
15-Wapinzani wapenda maendeleo:Wengi walisema eti wamenunuliwa ila kiukweli wameona upinzani haujielewi.

ORODHA ITAENDELEA

SAFARINI KALIUA!!!!!

CCM OYEE!
 
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020
Hayo uliyoyasema ni kweli kama Sera hiyo ni kwa ajili ya kujadiliwa kwenye makongamano ya kimataifa.

Kundi analotegemea kumpa kura, linalojazana kwenye kampeni zake, ni kundi lisilomwelewa na hushangilia kisanii kwa kumjeli jinsi ileile anavyomdharilisha Rais wao.
 
Kundi lingine la kijamii ambao tutampa kura na familia zenu Magufuli ni wale tuliosoma shule za serikali na vyuo vya serikali ambao kiingereza hakipandi anaotutukana kila siku kuwa elimu tuliyosoma bure kabisa hata kama tuna ajira na vyeo serikalini na mashirika ya umma kuwa elimu yetu na kingereza chetu mgogoro bure kabisa
 
Scientific analysis!

Sasa hivi upinzani wamebaki na kakundi kadogo ka kupiga propaganda mitandaoni. Ukifungua JF thread za kuitukuza CHADEMA na kuibeza CCM zimeongozana, japokuwa zinaongea utumbo mtupu, lakini wao wamewekeza fedha zao kwenye kutuma thread nyingi za kupika, pamoja na picha za kupika.

Ila kiuhalisia ukienda kwenye makundi kama ambavyo umeelezea vizuri sana, kura zote ni Magufuli! Kweli siasa ni sayansi, watamkumbuka sana Dr Slaa!
Ukipiga kura ya rais kwa Tundu Lissu, ujue unapiga kura ya katiba mpya, ujue unapiga kura kwa rais ambaye atarudisha uhuru na haki za wananchi, ujue unapiga kura kwa rais ambaye hatawasimanga..".Tundu Lissu. #Uchaguzi2020

Achana na takataka za ccm
 
Mkuu umeandika kujifurahisha. Watanzania wanahasira sana na Jiwe. Hatupati safari hii nakwambia.
 
Siasa ni Sayansi na uwekezaji kwa jamii.

Rais Magufuli na Chama Chake cha CCM wanaijua vyema Siasa na kwa uhakika waliweka mazingira tofautitofauti ya kuhakikisha makundi yote ya kijamii yanaiunga CCM.

Nitaanisha Makundi kadhaa ambayo CCM imeweza kuyapoka kutoka upinzani na Makundi iliyoendelea kuyashikilia.

1-Wazee(Kundi linaloipa heshima)
2-Wanawake(Bado ni kundi kindakindaki)
3-Vijana(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani baada ya 2015.)
4-Wasanii(kundi hili limeongezewa wafuasi kulinganisha na 2015)
5-Wanampira(aliyekuwa mwenezi wa CCM amehamasisha sana kundi hili)
6-Wanafunzi vyuo vikuu (Kwa miaka mitano mgogoro wa kukosekana kwa boom haukuwepo,Tahliso wamuunfa mkono)
7-Wanafunzi wa Sekondari(High Schools),kundi hili limeguswa baada ya Shule kongwe zote nchini kupata fedha kiasi cha Tsh milioni 900+ kuboresha miundombinu
8-Wafanyakazi hasa walimu
madeni ya muda mrefu yamelipwa.Walimu wa sekondari wanapata responsibility allowance.
Madaktari wapya zaidi ya 1500 walipata fursa za ajira.
9-Wachimbaji wadogo wadogo
wamepata fursa ya kufanya biashara kimataifa.HONGERA LAIGWANANI LAIZER KWA KUPIGA MAWE YA KILO ZA KUTOSHA HUKO MERERANI.
10-Wamachinga,mama ntilie na bodaboda :Mgambo wa majiji na halmashauri hawawaletei bugudha tena.(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani)
11-Wakulima na Wafugaji:
Yale mauaji na vurugu yaliyokuwa yakitokea mara kwa mara yamepungua hasa.Kangomba wamepigwa pin haswa.
12-Taasisi za dini:Hatimaye taasisi za dini zimetambua nia njema ya Mhe. Rais na sasa zi pamoja naye(Kundi hili limepokwa kutoka upinzani)
13-Walemavu:Wengi wamepata fursa zikiwemo za uongozi na mikopo bila riba.Mauaji ya Albino yameisha.
14-Viongozi wasomi wa vyuo vikuu:Unaposajili watu kama Kitila Mkumbo na Palamagamba Kabudi sekta ya Elimu ya juu inakuelewa unafanya nini.
15-Wapinzani wapenda maendeleo:Wengi walisema eti wamenunuliwa ila kiukweli wameona upinzani haujielewi.

ORODHA ITAENDELEA

SAFARINI KALIUA!!!!!

CCM OYEE!

Kakojoe ulale.
 
Back
Top Bottom