rais

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame amejenga nyumba kwa wasio na uwezo wa kujenga makazi bora, wengi wao ni wazee.

    Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.
  2. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran kuishtaki TV ya taifa afidiwe kwa kutukanwa

    Mzuka wanajamvi! Rais wa Iran Hassan Rouhani ana mpango wa kuishtaki 'TBC' ya Iran Iran Broadcasting Corporation (IRIB),kwa kumtukana na kumkosea heshima. Rais huyo ambaye anafahamika kwa upole amekereka sana na kuhuzunika baada ya kuambiwa eti anatumia na kuvuta madawa ya kulevya akiwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Nikiangalia Rais Biden anavyofuta sera za mtangulizi wake ni wazi Tundu Lissu angeshinda angeirudisha Serikali yote Dsm!

    Natafakari tu. Iwapo makao makuu ya CHADEMA bado yapo Dar es salaam hadi leo yawezekana chama hicho hakikubaliani na sera ya kuhamishia makao makuu ya serikali Dodoma. Je, unadhani ni nini Tundu Lissu angekifuta mapema kama angefaulu kutinga jumba jeupe ambacho kingeturudisha nyuma...
  4. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Adui wa legacy ya Rais Magufuli: Kuminya Demokrasi au kushindwa kudhibiti maambukizi ya Corona?

    Watu wengi kwenye kambi ya upinzani wamekuwa wanadai kuwa Magufuli kabinya demokrasi ilihali huwa wanashiriki uchaguzi na ama wanashinda au wanashindwa kama ilivyo ada ya demokrasia. demokrasia haiana maana kuwa upinzani ndio ushinde tu. Viongozi huwa hawapimwi kwa mambo ya kawaida bali yale...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kiapo cha Rais wa Marekani kina maneno machache (35) tofauti na cha Rais wa Tanzania, siyo lazima kusema "Mungu nisaidie"

    Wiki mbili zilizopita nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mahubiri ya mchungaji Matsai wa KKKT kimara kuhusu viapo. Uelewa wa mahubiri yale ukanivuta kujifunza namna viongozi mbalimbali wanavyokula viapo vyao vya utumishi nikianzia wa hapa nyumbani na jana nilifuatilia kiapo cha Rais Joe Biden wa...
  6. Deogratias Mutungi

    JamiiForums Tanzania Rais Biden, kwa Afrika anza na Rais Magufuli na Mwinyi wa Zanzibar

    Salaam JF, Baada ya Rais Biden kuapa Jana Ikulu ya Marekani imetangaza kuwa mawasiliano ya kwanza ya simu yatakayofanywa na Rais Biden ni kati yake na Waziri Mkuu wa Canada Justin Trudeau, bila Shaka kigezo na hoja kuu ni kwa jinsi utawala wa Canada unazingatia sheria, Demokrasia na uwajibikaji...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni lazima tu kila Rais mpya akipatikana na Kuapishwa anaanza na Walinzi wake wapya na wa Rais aliyemtangulia wanaachwa?

    Je, hili ni hitaji la Kiitifaki zaidi kutoka kwa Watu wa Usalama wa Taifa wa nchi husika au huwa ni Matakwa hasa tu ya Rais mpya anayeingia Ofisini?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wahaya wanadai makamu wa Rais Marekani ni damu yao

    Baadhi ya wahaya wanadai na wako serious makamu wa Rais mpya wa Marekani Kamala Harris ni damu yao. Labda utetezi wao ni kutokana na jina lake la kwanza. Ki ukweli Kamala Harris baba yake ni asili ya Jamaica aliyehamia Marekani Donald Harris na mama yake Shyamala Gopalan ni mhindi aliyehamia...
  9. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tunaosubiri United States Presidential Inauguration!

    Yes wakuu, Muda si mrefu POTUS anachukua kiti chake kimya. Maeneo ya Capitol building naona ulinzi umeimalishwa hatari, naona jet fighters za SANDF na SAA zinapita pita flani kuhakikisha ulinzi. Sijui inaugural ball itakua leo Leo ama?
  10. Dam55

    JamiiForums Tanzania BBC na propaganda za kisiasa, kumuongezea maneno Rais Magufuli

    Magufuli awataka wakulima wa taifa hilo kulisha dunia baada ya corona Rais Magufuli wa Tanzania. Rais wa Tanzania John Magufuli, amesihi wakulima nchini humo kuongeza kiwango cha uzalishaji wa chakula akibashiri uhaba wa chakula duniani baadaye mwaka huu kwasababu ya janga la virusi vya...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais aagiza kumbukumbu zote za Serikali ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili

    MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera ya Kiswahili. Aidha, Rais John Magufuli leo anatunukiwa tuzo maalumu ya Shaaban Robert kutokana na...
  12. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza, barua ya kumkaribisha Rais Magufuli Mkoani Kagera na tahakiki ya mjadala tunduizi

    A. UTANGULIZI Rais wa Tanzania, John Magufuli alikuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi wilayani Karagwe na baadaye Wilayani Bukoba tangu tarehe 18 Januari 2020. Inaonekana kuwa, siku hiyo, Askofu Dr. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, aliandika barua tepe kwa ajili ya kumkaribisha Rais...
  13. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Tumuombee Rais au tumhurumie?

    TUMUOMBEE RAIS AU TUMHURUMIE? Na Elius Ndabila 0768239284 Juzi Mh Rais akiwa mkoani Kagera alitoa maagizo kwa mkoa wa Dar es salaam juu ya video iliyokuwa mitandaoni ikionyesha moja ya shule iliyopo Ubungo wanafunzi wake wakisomea nje na kukaa chini. Akizungumza kwa uchungu mkubwa Mh Rais...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Bukoba: Rais Magufuli ashuhudia utiaji saini mkataba kati ya serikali ya Tanzania na kampuni ya LZ Nickel. 'Multipurpose Smelter' kujengwa Kahama

    Tukio liko mubashara TBC na Upendo tv. Karibu. Up dates; ======= 10:19 Asubuhi: Kinachoendelea kwa sasa ni sala na dua kutoka kwa viongozi wa dini, kabla uliimbwa wimbo wa Taifa. Katibu Mkuu- Wizara ya Madini: Mheshimiwa wa Rais kwa heshima kubwa naomba kukukaribisha katika hafla hii ya...
  15. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Rais, ni kweli kuwa huwa unakosea kuteua viongozi

    Kama kuna eneo ambalo Watanzania wanakupongeza Rais JPM basi ni kuwa mkweli. Na jana ukiwa Kagera umekiri kuwa kweli huwa unakosea kuchagua viongozi. Hilo la kule Ubungo la watoto wa shule kukaa chini, kusomea kwenye madarasa mabovu tena kuna RC, DC, Mkurugenzi na Mbunge wote wana CCM kweli...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Shule ya Wavulana ya Ihungo yazinduliwa rasmi, iliharibiwa na tetemeko la 2016

    Shule hiyo iliathiriwa na tetemeko lililotokea Mkoani Kagera Septemba 10, 2016 na kupelekea majengo mengi kuharibika ambapo Serikali iliagiza ijengwe upya. Mradi huo umegharamiwa na Serikali za Uingereza na Tanzania. Waziri wa Elimu, Prof. Joyce Ndalichako amesema Shule ya Wavulana ya Ihungo...
  17. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, Tumeiona Ihungo mpya. Jengeni Ihungo nyingine kila mkoa

    Mh. Rais, Asante kwa ukarabati wa shule ya sekondari Ihungo. Kiuhalisia huo ni ujenzi mpya. Kwa umuhimu wa elimu na kiasi kikubwa cha wanafunzi ktk sekondari zetu, Nikuombe utumie nguvu yako kujenga shule zingine za aina hii ktk kila mkoa. Gharama ya Bilioni 10.5. Ukitenga Bilioni 400...
  18. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kuelekea kuapishwa Biden kuwa Rais wa Marekani raia na askari hawatambuliki wote wamebeba silaha

    Vikosi vya usalama viko nje ya majengo mbalimbali ya serikali Vikundi vidogo vya waandamanaji - baadhi yao wakiwa na silaha - wamekusanyika nje ya majengo ya serikali ya Marekani, ambapo kuna mvutano mkubwa baada ya jengo la Capitol Hill kuvamiwa huko Washington. Maandamano yanafanyika katika...
  19. Ngamanya Kitangalala

    JamiiForums Tanzania Kagera: Rais Magufuli kuzindua Shule ya Sekondari Ihungo iliyokarabatiwa kwa Tshs Billioni 10.9

    Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 18 Januari, 2020. Shule hiyo imefanyiwa ukarabati uliogharimu shilingi Bilioni 10.9 baada ya kuharibika kufuatia tetemeko la ardhi...
  20. The Boss

    JamiiForums Tanzania Rais aheshimu saa na siku za mapumziko

    Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au hata usiku wa manane. Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani. Hata siku za sikukuu watu wametenguliwa na kuteuliwa. Rais anatakiwa awe mfano Kwa waajiri wote na wakuu wote wa kazi...
Back
Top Bottom