rais

  1. B

    JamiiForums Tanzania Protocol: Kwanini Mama Janeth Magufuli kuondoka uwanjani kwenda Makaburini kabla ya Mhe. Rais?

    Nimefuatilia matangazo kuhusu utaratibu wa kesho msibani, pia nimepitia ratiba. Naomba majuzi wa protocol watupe elimu, kwanini Mama Janeth ataondoka wa Kwanza uwanjani kwenda Makaburini nakumwacha Rais? Tumezoea kumwona Rais akitangulia kuondoka maeneo mengi anayofika kikazi.
  2. JamiiForums Tanzania Connect Dot: Nani anataka kumtisha Rais Samia na umaarufu wa Hayati Magufuli?

    Nchi yetu haiishiwi mambo na mengi ni yakutengeneza, jaribu kukonnect dots kwa mambo yafuatayo; 1. Ni Wiki ya pili sasa lakini hakuna chombo cha habari chochote kinachotaka tumjue vizur Rais Samia, na si kwa bahati mbaya, baada tu ya kuapa malori ya kujaza watu kwenda msibani yaliongezeka na...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ni Rais gani mwingine aliyekuwa kwenye hotuba zake anawaambia wahutubiwa watamkumbuka?

    Hotuba nyingi za JPM alikuwa anapenda sana kutuambia sisi wanyonge kuwa tutamkumbuka! Hakuwa akisema tutakumbuka aliyofanya yeye mazuri. Ni sawa na kawaida kwa mfano Mwl anapowafundisha wanafunzi kusema mtakumbuka niliyowafundisha lakini hasemi kuwa mtamkumbuka yeye kama yeye. Nimefuatilia...
  4. J

    JamiiForums Tanzania BAKWATA yampa Cheti cha Pongezi Rais Uhuru Kenyatta kwa kusitisha hotuba ili kupisha adhana!

    Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri. Cheti hicho kimetolewa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir. Pia soma > Kongole Rais Uhuru Kenyatta kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Baraka Magufuli atoa neno Chato kwenye tukio la kumuaga Hayati Rais Magufuli

    Leo siku ya kutoa heshima za mwisho kwa Jemedari wetu JPM wilayani Chato, Baraka Mwakipesile, maarufu kama ‘Baraka Magufuli’ amepewa nafasi ya kuonyesha kile ambacho alikionyesha siku zote hata mbele ya hayati Rais Magufuli.
  6. JamiiForums Tanzania Askofu Niwemugizi: Rais Magufuli aliagiza nirejeshewe Passport yangu na alisema 'Wewe ni Askofu wangu utanizika'

    Askofu wa Kanisa Katoliki jimbo la Rulenge Ngara, Severine Niwemugizi amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania marehemu, John Magufuli aliagiza arejeshewe hati yake ya kusafiria na alimtamkia mara mbili kuwa kiongozi huyo wa kiroho ndiye atakayemzika. Akizungumza leo Alhamisi Machi 25, 2021 katika...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan anavunja trend hii ya toka enzi za Nyerere

    Wakati Watanzania wanajiandaa kwa shauku kubwa kuishi ndani ya utawala wa Rais wa JMT ambaye ametokea kuwa mwanamke, kuna majadiliano mengi yanaendelea huku na huko. Baadhi ya majadiliano haya nayaona yana mantiki sana ila sitaenda kuyagusia kwa sasa. Mimi nitaongelea suala la majina ya Marais...
  8. JamiiForums Tanzania Kivuli cha falsafa za Hayati Magufuli ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia

    Kivuli cha falsafa za JPM, ni fumbo linaloishi ndani ya mawazo ya Rais Samia Deogratias Mutungi Ukweli wenye mantiki ndani yake upo wazi kuwa kivuli cha falsafa za JPM ni fumbo linaloishi sasa na litakaloendelea kuishi ndani ya mawazo ya rais Samia Suluhu Hassan, dhana hii inajengwa kifikra...
  9. JamiiForums Tanzania Buriani Rais Magufuli - Kiswahili ni lugha ngumu

    Salaam! Tarehe 26/03/2021 Ni siku ya Kumpumzisha Aliyekuwa Rais wetu John Pombe Magufuli huko kwao Chato. Nawapongeza sana JamiiForums Facebook page kwa Kuelewa na Kumuenzi kwa Nukuuu Nkutu alizowahi kuzisema wakati wa uhai wake. Na moja ya nukuu hizo ina maneno haya "Siku moja mtanikumbuka...
  10. JamiiForums Tanzania Koffi Olomide amlilia hayati Rais Magufuli

    Msanii mkongwe wa muziki kutoka CONGO Koffi Olomide atuma salamu za pole Tanzania juu ya kifo cha hayati Rais John Pombe Magufuli #ripjpm
  11. JamiiForums Tanzania Tundu A. Lissu amekata tamaa ya kuja kuwa Rais wa Tanzania. Ataendelea kuwa Mwanaharakati Machachari wa Tanzania

    Busara na Hekima ya mtu hupimwa nyakati za 1. Taabu/ Mateso/ Majonzi/ Huzuni 2. Nyakati za Furaha/ Raha n.k Nyakati hizi Tundu Lissu anaweza akadhani anafurahia sana na kusheherekea kifo cha Mh. JPM na kumwongelea awezavyo. But baadaye akija kukaa na kupata akili akiwa ameweka jazba, mihemko na...
  12. JamiiForums Tanzania Eti picha mpya ya Rais ina rangi nyekundu?

    Kama ni kweli ina vazi jekundu, basi hakushauriwa vizuri. Tanzania haina doa jekundu pahala, lakini pia ziko timu kubwa sana hazina doa la aina hiyo. Kuna watu wanaweza kusita kuiweka kwenye vyumba na ofisi zao kama itakuwa na wekundu wa waziwazi
  13. JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, Bendera ya UN itapepea Nusu Mlingoti siku ya Mazishi

    Umoja wa Mataifa umetangaza kupeperusha bendera yake nusu mlingoti siku ambayo atazikwa Rais Magufuli Rais Magufuli anatarajia kuzikwa Tarehe 26/03/2021
  14. JamiiForums Tanzania Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba awajibu TLS kuhusu Rais Samia Suluhu kuteua Baraza jipya la Mawaziri

    Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say, Kwanza KATIBA HAIJAVUNJWA KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU kuapa, na wala hakuna Mkanganyiko wowote wa Kikatiba, kwa yeye kutoteua PM na Baraza jipya. Mmekaa wote kweli...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ajikite kutekeleza ndoto za Hayati Magufuli au atekeleze maono yake?

    Je, tunamshauri Rais mpya aendelee na miradi yote aliyoanzisha JPM au aendeleze ile miradi yenye tija kwa Taifa na pia aanzishe miradi ya ndoto zake? Hapa Kuna miradi yakitaifa na miradi ya maono binafsi ya JPM. Miradi yakitaifa ni mradi wa umeme wa rufiji, mradi wa reli, bomba la mafuta...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Mama Samia ni rais lakini bado ana mume, wewe mshahara laki 3 unamtosa mumeo ili uwe single mama!

    Mama Samia ni mfano bora sana kwa wanawake wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Pamoja na kushika nafasi kubwa serikalini kwa muda mrefu lakini bado ameendelea kumheshimu mumewe na hivyo kudumisha ndoa yake. Wapo wanake wengi tu ambao wakipata nafasi bora ama kipato Bora kuliko waume zao basi...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

    Askofu Gwajima amesema sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia kama tulivyomsupport hayati Magufuli kwa sababu mama Samia atayatimiza ya Magufuli tena atafanya zaidi tayari. Askofu Gwajima amesema Kanisa la ufufuo na uzima linamuunga mkono mama Samia kwa 100% kwa sababu huyu ni Joshua, yaani...
  18. JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

    Inaonekana idadi ya watu waliotazama tukio la msiba wa Dr. Magufuli kwa dunia nzima limetolewa kupitia ukurasa wa Twitter hapa Mtu aliyetamka au kuandika hizo takwimu anapatikana katika ukurasa wake wa Twitter hapa https://twitter.com/SirNeoBranson Kwa uchunguzi wangu mdogo, huyu mtu...
  19. JamiiForums Tanzania Jose Chameleone: Hayati Magufuli hakuwa rais wa Tanzania tu bali rais wa Afrika mashariki

    Msanii na mkongwe wa muziki kutoka nchini Uganda 🇺🇬 @jchameleon ameeleza sababu za kutoka Uganda na kuja Tanzania kwa ajili ya kutoa pole na kumuaga hayati Rais Magufuli. Akiongea na kituo cha habari cha EFM Chameleon ameeleza kwamba:- Bofya hapa chini kutazama.
  20. JamiiForums Tanzania IKULU: Picha rasmi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan

    Picha Rasmi ya Rais Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inayotakiwa kubandikwa Kwenye Ofisi mbalimbali. MwenyeziMungu amtunze Rais Wetu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…