rais

  1. Ng'wamapalala

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya hayati Magufuli kuzikwa, Halmashauri ya Handeni wapandisha ushuru wa mifugo, wafugaji wamlilia Rais Samia awasaidie

    Ikiwa ni siku moja tu baada ya hayati Magufuli kuzikwa halmashauri ya wilaya ya Handeni imepandisha ushuru wa mauzo ya mifugo mnadani kuwa sh 3000 kwa mfugo mmoja iwe umeuza au haujauza ilmradi tu umefika mnadani. Wafugaji wameiona hiyo ni kama hujuma kwa Rais mpya hivyo wamemuomba Rais Samia...
  3. CAGvsSPEAKER

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya CAG, Machi 28, 2021 saa nne asubuhi Dodoma

    Mhe.Rais kesho kupokea ripoti ya CAG.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kama Katiba ingeondoa ukomo wa Urais, ingekuwaje kwa awamu hii mpya ya Rais Samia?

    Kulikuwa na mipango na kelele nyingi ya kutaka kuondoa mihula ya Urais wakati wa hayati Magufuli. Ni wazo zuri kwani mambo ya mihula ni bora zaidi kwa nchi za magharibi ambazo zimeendelea. Ktk nchi zetu tumuonapo kiongozi adhimu na wa tofauti hatuna budi kumuongezea muda wake wa kuongoza ili...
  5. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Majizzo: Nimeumia sana Hayati Rais Magufuli alikubali kuja kuzindua jengo letu la Efm

    Kupitia ukurasa wa Instagram wa mkurugenzi wa kituo cha habari cha Efm na TVE, Mbwana Francis Ciza alimaarufu Majizzo ameeleza namna alivyokamilisha taratibu zote za hayati Magufuli kuja kulizindua jengo lao la kituo hicho cha habari, Majizzo ameeleza kuwa – “Moyo wangu umejawa na maumivu...
  6. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Hoja ya kuongezewa muda wa Rais kubakia madarakani itaendelea kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

    Awali ya yote tupeane pole kwa msiba mkubwa wa kuondokewa na Mh Rais John Pombe Magufuli,hakika hayakuwa haya maisha ya dunian ila ni kitu chenye kupita tu. Hapa karibuni kulikuwa na hoja ya kumuongezea muda wa kubakia madarakani Mh Rais John Pombe Magufuli na wengine wakaenda mbali na kusema...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Rais Kenyatta katika ubora wake na funzo jingine kwetu

    Mabibi na mabwana huyu ndiye aliye tutoa ushamba pale Dodoma majuzi: Nafasi hizi za kujifunza huwa haziko siku zote. Janga hili linahitaji jitihada za makusudi sana na hasa kutokea juu. Eeh mola wetu umjalie mama Samia hekima ya kutambua kwanini umempa wadhifa huu sasa. Bila shaka huyu...
  8. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Uongozi ni hekima na busara, Rais Samia ana sifa zote mbili

    Uongozi sio misuli au kubobea sana kwenye fani fulani. Uongozi hauhusiani na kunyanyua vitu vizito au kufanya vitu mwenyewe mwenyewe, bali uwezo wa kuunganisha watu na kuwasaidia kufikia malengo ya pamoja. Dunia haina tatizo la wataalam wa vitu mbalimbali, bali ina tatizo kubwa la uhaba wa watu...
  9. fmlyimo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Maneno haya ya Kikwete kwa Rais Samia yana ujumbe mzito mno

    Katika hotuba yake kwenye mazishi ya JPM, Jakaya alisema: "Mimi na wenzangu tuko na wewe. Tutume tutaitika. Usipotutuma tutaendelea na mambo yetu"- JK My Take: wenzake kina nani? Mambo yao yepi?
  11. DALLAI LAMA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu, tunamuomba Kigwangalla tena Wizara ya utalii, anaweza

    Pole kwa msiba mzito wa hayati baba yetu. Naomba kudeclare interest. Mimi ni Tour Guide nipo Arusha. Katika kikao Cha Bunge lililopita kwa Mara ya Kwanza nilimsikiliza Waziri wa Maliasili na Utalii akijibu maswali hasa la Mbunge wa Arusha Mjini Mh Gambo nilishtuka Mh Ndumbaro hajui, narudia...
  12. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Ungekuwa Rais Samia nani ungeanza kumtimua?

    Hakuna ubishi Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe. Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka aliyopewa kikatiba. Mie ningependekeza aanze na Dk Bashiru Ally Kakurwa ambaye alikaririwa akisema kuwa...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Mahesabu msiyopenda kusikia kuhusu Makamu mpya wa Rais

    Sequence of events: Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika. Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais. Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa kuwa makamu wa rais Baada ya miezi michache wabunge wanaanza kuhoji ufanisi wa rais. Hoja ya...
  14. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kama taifa tuna katiba isiyofaa, tumuombe Mungu Rais Samia Suluhu asipate kiburi. Vinginevyo ni majanga

    Taifa letu lina katiba mbaya sana maana imemrundikia Rais madaraka makubwa mno. Sioni umuhimu wa kutaja ibara zilizompa ais mamlaka makubwa. Lakini toka ibara ya kwanza mpaka ya mwisho rais wa JMT ana mamlaka makubwa sana. Anaweza kufanya chochota anachotaka na hakuna wa kumuuliza. Na hii huwa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu Walinzi wa Hayati Rais Magufuli

    Ningependa kufahamu weledi wa hawa walinzi wawili wa Hayati Rais John Pombe Magufuli. Naona huyu mlinzi mweusi na huyo mwenye sigjda wamekuwa wakipokea sifa kemkemu kutoka kwa Watanzania kwenye mitandao ya kijamii. Mwenye kujua chochote kuhusu taaluma yao atujuze.
  16. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Salamu wakuu Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu. Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
  17. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Buriani Rais magufuli, till we meet again

    BURIANI RAIS MAGUFULI,TILL WE MEET AGAIN. Leo 18:30hrs 26/03/2021 Yapo maisha baada ya kifo,kuthibitisha hilo,turejee kufa na kufufuka kwa Bwana wetu Yesu Kristo,Death is not a full stop but a comma,there is life after death,Rais Magufuli umeenda kimwili tuu ila kwa kazi ulizofanya katika...
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Mkikidhi vigezo, Chato tutaifanya kuwa Mkoa

    Kajibu hivi 'Suala la Chato kuwa Mkoa nimeambiwa tayari mchakato umeanza naelekeza lishughulikiwe kama vigezo vimekidhi Chato iwe Mkoa na kama vigezo havijakidhi tuwaelekeze nini cha kufanya ili viweze kukidhi na tumuenzi Hayati Magufuli.' Ni jibu zuri sana sana na nijibu la kiuongozi na sio...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Fuatilia mbashara hapa RAIS Samia Suluhu Hassan leo ataongoza waombolezaji kumzika Rais wa Serikali ya Awamu ya Tano, John Magufuli. Jeneza lililobeba mwili wa Hayati Dkt. Magufuli likiwa Kanisani kwa ajili ya Misa ya Mazishi Kaburi la Hayati Rais Dkt. John Pombe Magufuli Mama Janeth...
  20. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu aliyokuwa nayo Hayati Dk. John Pombe Magufuli kulingana na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete

    Bila kuzungusha sana uzi mambo hayo ni; (i) Kugusa maisha ya wengi (ii) Kusifiwa akiwa hai (iv) Kuondoka wakati bado anahitajika. Mambo haya kwa ujumla wake kulingana na hotuba iliyosomwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete leo ni bahati aliyokuwa nayo Hayati D.k John Pombe Joseph Magufuli.
Back
Top Bottom