Kuna baadhi ya Wanawake wameanza kuchanganya mambo wanadhani Mhe. Samia ni Rais wa Wanawake, napata wakati mgumu kuwaelimisha kuwa huyu si Rais wa Wanawake. Ni Rais wa Tanzania. na hili wanapaswa kuelimishana.
Kuna wadada wameandika "hatimaye tumepata Rais wetu sasa" mwingine kaandika "Wanawake...
Rais Joe Biden wa Marekani mwenye miaka 78 ameanguka mara tatu kwenye ngazi za ndege ya Airforce one akiwa anaelekea mji wa Atlanta. Lakini baadae aliamka na kuendelea na safari.
Rais Biden ndie Rais mzee zaidi kuwahi kuchaguliwa Marekani.
Source: THE INDEPENDENT
Wanabodi ni wazi kabisa pamoja na kuwa tuko kwenye msiba mkubwa kitaifa lakini bado kuna tofauti kubwa na chuki ndani ya jamii yetu.
Ni katika utawala wa awamu ya tano ile ngwe ya kwanza kulitokea sintofahamu ambazo kwa ujumla zilileta kilio na maumivu katika jamii yetu. Maana kuna watu...
Mume wa Rais ni mtu wa muhimu sana katika jamii, kama alivyo mke wa Rais. Katika dunia ambayo bado ni mfumo dume, mume awe tayari kukutana na changamoto katika jamii.
Ninakumbuka wakati wa G8 summit, mume wa Angela Marckle alijikuta akiongozana na wake wa Marais katika kutembela shughuli za...
Naomba majibu Tafadhali ili kuwa na reference nzuri na ya uhakika humu jamvini.
Baada ya Rais SSH kuapishwa leo je anaendelea kuongoza serikali ya awamu ya 5 au tumeingia awamu mpya ya 6?
Naelewa kuwa ilani ya CCM inayotekelezwa ni ile ile.
Maendeleo hayana vyama!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amemtembelea mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais Samia amepomtembelea Mama Janeth Magufuli nyumbani kwake Jijini Dar es salaam Machi 19, ambapo aliongozana na Katibu Mkuu...
Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea.
Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi...
Rais Samia Suluhu Hassan muda mchache ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri.
Updates;
Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameshaingia ukumbini.
Rais wa JMT mama Samia ameingia ukumbini na kufungua kikao na sasa majadiliano...
Wakuu Kwema?
Kama mnavyofahamu kwa mara ya kwanza Tanzania tumepata Rais Mwanamke baada ya Rais aliye madarakani kufariki kwa kuumwa.
Sasa baada ya kuwa na Rais Mwanamke, nini yatakuwa majukumu ya Mumewe?
Je, naye atakuwa anaandamana na Mkewe (Rais) kila anapoenda?
Mwenye kufahamu hili...
Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa...
Ninajua kuwa Waziri Mkuu akifariki au kujiuzulu basi Baraza la Mawaziri huhesabika kuwa limevunjika.
Pia muda mchache kabla ya Rais mteule kuapishwa Baraza la Mawaziri huvunjika.
Lakini Katiba yetu ipo kimya juu ya nini hutokea pale Rais anapokuwa amefariki. Je, Baraza la Mawaziri huendelea na...
Msemaji Mkuu wa Serikali ameongea na Waandishi wa habari muda huu na kueleza kuhusu ratiba ya kuagwa kwa mwili wa hayati rais John Pombe Magufuli.
Mikoa ambayo ipo katika ratiba ya kuuaga mwili wa Hayati Rais Magufuli ni DSM, Dodoma, Mwanza na mazishi kufanyika Chato mkoani Geita.
Msemaji Mkuu...
Mama Rais anayengojea kuapishwa. Kwanza salamu. Tanzania inakujua na kukuamini tokana na uchapakazi na uzalendo wako. Hata hivyo, una kazi kubwa kuvaa viatu vikubwa vya marehemu Magufuli. Si haba.
Unaweka historia kwa mara ya pili. Mara ya kwanza ulichaguliwa makamu wa kwanza mwanamke nchini...
Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.
Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao...
Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya.
Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
Baada ya Mh. Rais kuzindua tawi la benki ya CRDB la LAPF Dom, sasa TBC1 wako live katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa nyumba za makazi wa Iyumbu, Dodoma.
Anazindua nyumba 150 za mradi wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC) zilizopo Iyumbu, kata ya Iyumbu Mkoani Dodoma...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametuma salamu za rambirambi kwa Tanzania kwa kuondokewa na Rais John Magufuli aliyefariki Machi 17
Pamoja na salamu hizo Rwanda imetangaza kuwa na siku za maombolezo ambapo bendera ya Taifa la Rwanda na Bendera ya Umoja wa Afrika Mahsriki itapepea nusu mlingoti...
Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
Leo Rais wa Kenya amelihutubia Taifa la Kenya juu ya kifo cha Rais Magufuli na kutoa pole kwa mama Janeth Magufuli na watanzania.
Amesema anakumbuka ziara ya Rais Magufuli nchini Kenya na kwa pamoja wakafungua barabara inayoitwa 'Seven Bypass' na kwake binafsi anaikumbuka heshma kubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.