rais

  1. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais mteule, Dkt. Philip Mpango kuapishwa, Machi 31 saa 9 alasiri - Dodoma

  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  3. JamiiForums Tanzania Tutarajie Uchaguzi mdogo Jimbo la Buhigwe baada ya Dkt. Philip Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa JMT

    Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge. Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Mh. Mama Samia Ukivunja baraza la mawaziri wachunguze kila mmoja

    Asalaam Aleykum ndugu zangu...! Natumaini ni siku nyingine tena tumeamka tukiwa na afya tele Asante nyingi kwake Mola muumba wa mbingu na ardhi. Siku ya leo nina ushauri mfupi kwa Rais Mama Samia atakapolivunja baraza la mawaziri basi anatakiwa amfuatilie waziri mmoja baada ya mwingine katika...
  5. JamiiForums Tanzania TSN yawasimamisha kazi waliofanya uzembe wa kuandika Rais Samia amefariki

    Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imewasimamisha kazi Anitha K. Shayo ambaye ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Matangazo na Rajab Juma Mohammed ambaye ni Msimamizi wa Dawati la Huduma kwa Wateja Wawili hao wameasimamishwa kazi ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za kushindwa kuzuia makosa kwenye...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

    Kwa kweli mafisi hayalali, Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na...
  7. JamiiForums Tanzania Makanisa Tabora yaungana kuliombea Taifa na mchakato wa kumpata Makamu wa Rais

    Maaskofu, Wachungaji, Mapadre na waumini wa makanisa mbalimbali Mkoani Tabora wamefanya ibada ya pamoja kuliombea taifa ili amani, umoja, mshikamano na upendo viendelee kudumishwa miongoni mwa Watanzania wote. Akizungumza katika ibada hiyo iliyofanyikia katika kanisa la KKKT-Tabora mjini Katibu...
  8. JamiiForums Tanzania Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

  10. M

    JamiiForums Tanzania Hivi Rais Mama Samia atawaruhusu wapinzani kuanza kupiga danadana na kupanda na kushuka katikati ya uwanja?

    Katika hali isiyotarajiwa na wenge Mama ameanza vizuri sana kuanzia aliposhika kijiti kuingia uwanjani, kwanza akaipaisha jinsia ya kike kuwa inaliweza kulisakata gozi. Na ndani ya masaa machache akaachia shuti baya sana upande wa TPA na likamng'oa mtu na hapo hapo akajigeuza na kuangalia winga...
  11. JamiiForums Tanzania Upinzani na hasa CHADEMA kuingia kwenye mtego huu dhidi ya Rais Samia?

    Ndugu zangu wasalam, Ukiangalia mambo yanavyoenda kasi nchini kwetu, huwezi amini wapo watu wanasuka mipango kila uchwao kuhakikisha vyeo vyao na maslahi yao hayaguswi, kuondoka kwa Magufuli kumeibua mengi ila moja ya mipango ni kama ifuatavyo; Kwamba MATAGA wote wana mpango wa kuomba radhi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Madagascar, Didier Ignace Ratsiraka afariki Dunia

    Rais wa zamani wa Madagascar Didier Ignace Ratsiraka amefariki akiwa na umri wa 84, rais wa nchi hiyo alitangaza. "Jumapili tarehe 28 Machi, 2021, rais wa zamani, Admirali Didier Ignace Ratsiraka alifariki akiwa na miaka 84. "Wamadagascar wamempoteza mzalendo," Rais Andry Rajoelina aliandika...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya: Rais Samia Suluhu ameleta tumaini jipya katika wakati bado taifa likiwa kwenye maombolezo ya Hayati Magufuli

    Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema kuwa Rais wa sasa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya katika nchi yetu wakati bado Taifa likiwa kwenye maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Magufuli "Katikati ya majonzi umeleta tumaini...
  14. JamiiForums Tanzania Mahakama yamuamuru Rais wa Brazil kumlipa fidia Mwandishi baada ya kumdhalilisha

    Mahakama nchini Brazil imemuamuru Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro kumlipa fidia mwandishi wa habari wa kike kwa kumtolea maneno ya kumdhalilisha. Uamuzi huo wa Mahakama umekuja kufuatia kauli aliyoitoa Rais Bolsonaro dhidi ya Patricia Campos Mello ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk. Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaelekea Mei Mosi, TUCTA waomba Rais Samia asikilize kilio chao

    Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema lina matumaini na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atashughulikia madai yao ya muda mrefu yalipwe kwa wakati ili kuinua maisha ya wafanyakazi. Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Niwahakikishie kwenye hili la makusanyo na matumizi ya pesa za Serikali nitasimama imara

    Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka. Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Tukusanye ule utabiri wote wa Samia kuwa Rais wa Tanzania

    Aisee ama hakika nlikuwa naperuzi peruzi page ya Instagram ya Madam President, aisee nimeshitushwa na mambo mawili. 1. Mara zote tangu awe makamu wa Rais 2015, amekuwa akiji promote kwa hadhi ya juu sana. Na hapa ndipo nimegundua ule msemo wa Bosi wangu Mkaburu 'Always promote your self'...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, tafadhali tupia jicho KASHFA YA LUGUMI na pia Makonda achunguzwe

    Mpendwa rais SSH, Leo naomba niseme kwa ufupi haraka kuwa kuna jipu ambalo lilimshinda mtangulizi wako kwa sababu ambazo hazijulikani. Jipu hili si jingine basi Lugumi. Huyu bwana aliiba pesa nyingi ya wananchi. Wakati wa kumsulubu ni sasa. Pia nidokeze kuwa hata Paul Makonda achunguzwe...
  20. JamiiForums Tanzania Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa. Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima. Na hivi ndivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…