rais

  1. T

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunaelekea Mei Mosi, TUCTA waomba Rais Samia asikilize kilio chao

    Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema lina matumaini na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atashughulikia madai yao ya muda mrefu yalipwe kwa wakati ili kuinua maisha ya wafanyakazi. Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema...
  2. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Niwahakikishie kwenye hili la makusanyo na matumizi ya pesa za Serikali nitasimama imara

    Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka. Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa...
  3. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Tukusanye ule utabiri wote wa Samia kuwa Rais wa Tanzania

    Aisee ama hakika nlikuwa naperuzi peruzi page ya Instagram ya Madam President, aisee nimeshitushwa na mambo mawili. 1. Mara zote tangu awe makamu wa Rais 2015, amekuwa akiji promote kwa hadhi ya juu sana. Na hapa ndipo nimegundua ule msemo wa Bosi wangu Mkaburu 'Always promote your self'...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, tafadhali tupia jicho KASHFA YA LUGUMI na pia Makonda achunguzwe

    Mpendwa rais SSH, Leo naomba niseme kwa ufupi haraka kuwa kuna jipu ambalo lilimshinda mtangulizi wako kwa sababu ambazo hazijulikani. Jipu hili si jingine basi Lugumi. Huyu bwana aliiba pesa nyingi ya wananchi. Wakati wa kumsulubu ni sasa. Pia nidokeze kuwa hata Paul Makonda achunguzwe...
  5. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa. Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima. Na hivi ndivyo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais, kwa afya ya demokrasia mteue ndugu Zitto na Mnyika kwenye Ubunge

    Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu. NB: Mimi sio mfuasi wa...
  7. Queen Esther

    JamiiForums Tanzania Mwacheni Rais afanye kazi yake kwa mujibu wa Katiba JMT

    Nimefatilia mijadala inayoendelea kwenye vyombo vya habari hususan wapinzani nikagundua kuna upotoshwaji mkubwa. Kwanza naomba kuwakumbusha Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan anafahamu mambo mengi kwani alikuwa msaidizi namba moja wa Hayati Dr. Magufuli. Wakati huo huo chama kinachotawala ni...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Gharama za msafara wa Rais wa Awamu ya Tano zinaweza kulingana na gharama za safari za nje za Rais wa Awamu ya Tatu

    Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mnaoshangilia tambueni CAG hajamtuhumu Rais aliyepita amefumbua macho kwake na kwa Rais mpya

    Ukaguzi wa mwaka 2019/2020 haujafanyika baada ya Mhe. Rais kufariki, ulifanyika akiwa hai na nakala ya vipande vya taarifa hii tayari vilishafika ofisini sema ni tqrehe tu yakuikabidhi ilikuwa haijafika. Wanaotaka kutuaminisha kwamba taarifa hii imeanza kuondoa legacy ya JPM wanataka...
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

    Ameomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi.
  11. Kifurukutu

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliua upinzani, Rais Samia Suluhu ameuzika rasmi

    Tangu 2015 JPM alipoingia madarakani, kubwa zaidi alifanikiwa ni kuua upinzani na CCM ilipata kutamba kweli kweli pasi na kupingwa na chama chochote Muda mfupi tu tangu Rais Samia Suluhu kushika nafasi kuiongoza nchi hii upinzani umezikwa rasmi. Kwa sasa Tanzania haina upinzani tena, si ACT...
  12. Mtukudzi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan rudisha watumishi hodari wakusaidie

    Naungana na watanzania kumpa pole kiongozi wetu Mh. Rais Suluhu kwa msiba wa Hayati Dr. Magufuli. Apumzike kwa amani. Tanzania ni nchi yetu sote na hatuna 'nchi mjomba'. Kwa hiyo tuipende nchi yetu. Serikali iliyopo madarakani inaweza isipendwe lakini siyo nchi. Baada ya utawala wa awamu ya...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

    Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe) Ushauri. Mh Seleman Jafo jipange...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Rais ametumia neno "NAOMBA" watendaji msimfanye aanze kutumia neo naelekeza, tekelezen wajibu wenu.

    Nimependa kauli aliyotumia Mhe. Rais, pamoja na kwamba yupo juu ya watumishi wote amejishusha nakuwaomba watekeleze maelekezo yake. Wapo watakaopuuza nakumfanya aanze kuwakoromea nakuwatimua timua...msimlaumu. Mfanye ajihisi mnapaswa kunyenyekewa kwa namna mnavyochapa kazi, mkizembea akakunjua...
  15. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

    Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo. Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya “Ripoti...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Samia amejipambanua kimataifa kwa kuipa lugha ya Kiingereza umuhimu wake

    Tunaipenda lugha yetu adhimu ya Kiswahili lakini hatuwezi kuipuuza lugha ya Kiingereza iliyotumika tangu ukoloni hadi 2015 ilipoanza kupoteza umaarufu. Lugha zote ni muhimu and 'they perfom the same function'
  17. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Maana ya Jina la Rais wa Tanzania, Samia Suluhu

    Jina la Rais wetu Bi Samia Suluhu limeundwa kutokana na maneno ya Kiarabu. 1) Samia: Maana yake ni msikivu. Neno hili hupatikana hata katika salat za kila siku kwa Waislaam, pale Muislam anaposali, akinyanyuka kwenye rukuu husema "Samia Llahu liman Hamida". maana yake, Ni "Allah humsikia mwenye...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT

    Naomba kuchukua fursa hii kukupongeza kwa kuapishwa kuwa Rais- wa JMT. Nikupe pole kwa kupata nafasi hii ukiwa katika hali ya majonzi na nikuombe usitetereke, umepokea kijiti angali nchi inakimbia kiuchumi nawe usikubali kwa namna yoyote kwenda speed ndogo kuliko mtangulizi wako, kanyaga mafuta...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Facebook yafungia akaunti ya Rais wa Venezuela kwa kupotosha kuhusu covid19

    Mtandao wa kijamii wa Facebook umeifunga akaunti ya Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro kwa kutoa taarifa za kupotosha kuhusu Virusi vya Corona Rais Madura alichapisha kwenye ukurasa wake video ambayo ilionesha aina fulani ya dawa ya asili inaweza kutibu Virusi vya Corona Imedaiwa kuaw hii si...
  20. Waziri wa madini

    JamiiForums Tanzania Kwaheri Hayati Magufuli (Jeshi), karibu Rais Samia Suluhu (Iron Lady)

    KWAHERI HAYATI MAGUFULI (JESHI),KARIBU RAIS SAMIA SULUHU HASSAN(IRON LADY) Taifa letu teule lipo katika wakati mgumu sana wamaombolezo na majonzi kwa kuondokewa na mpendwa wetu aliyekuwa rais wa tano jamuhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Pombe Joseph Magufuli. Kwa upendo Wa Mungu juu ya...
Back
Top Bottom