rais

  1. M

    Anayejua Rais Magufuli anatupeleka wapi atuambie, naona kama tumepotea

    Mwalimu Nyerere aliwahi kusema,"Hatuwezi kuwa na Rais ambaye hatujui kesho ataamka amefikiria nini au ameshauriwa nini na mke wake". Kwa wakati ule kilionekana ni kijembe kwa mzee Mwinyi lakini leo kauli yake inaonyesha maana. Hatujui mwelekeo wa nchi kiukweli, hatujui kesho atafukuzwa na nani...
  2. Influenza

    IKULU-DAR: Rais Samia Suluhu akutana na Mjumbe Maalumu wa Rais Uhuru Kenyatta. Rais Samia aalikwa rasmi kuzuru Kenya ili kukuza ushirikiano

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo 10 Aprili, 2021 amekutana na Dkt. Amina Mohammed, ambaye ni Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa KenyaMjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Muigai Kenyatta Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  3. Influenza

    Rais Samia Suluhu kuzuru Uganda Kesho Aprili 11 kwa mwaliko maalumu wa Rais Museveni

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya safari yake ya kwanza ya kikazi nje ya Nchi kwa majirani zetu Uganda. Rais Museveni amemualika Rais Samia kwenye kuzungumzia masuala mbalimbali huku kubwa likiwa ni bomba la Mafuta ghafi kutoka Hoima
  4. M

    Rais Samia Raia wa Uganda wamekupenda mno hivyo ukienda Kesho katika Ziara yako ya Kwanza waambie haya..,.

    Waambie..." Tanzania ni ile ile tu anayoijua Rais Museveni isipokuwa hii ya sasa iliyo chini yako ni ya Kiustaraabu, Makini na ya Kiungwana zaidi..." Pia waambie..." Tanzania ya sasa imejikita zaidi katika Kuimarisha zaidi Uhusiano wake na Majirani zake tofauti na ile ya 25 Oktoba,2015 hadi 17...
  5. Shadow7

    Rais Samia Suluhu atuma salamu za rambirambi kwa familia ya malkia wa Uingereza

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa malikia wa Uingereza Queen Elizabeth II, baada ya kifo cha Mwanamfalme Prince Philip. Kupitia ukurasa wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa Twitter ameandika kuwa:-
  6. funaku

    Vipimo vya awali vya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu!

    Rest in peace John Pombe Magufuli. Hongera kwa Mh Rais Samia kwa kukamata kijiti. Mimi nikiwa muumini wa Sera na utekelezaji wa Ilani ya CCM nachelea kusema vipo vigezo muhimu vitakavyoelezea utendaji kazi wa Mh Rais Samia katika awamu ya sita ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa yale Serikali ya...
  7. J

    Rais Samia amtumia salamu za rambirambi Malkia Elizabeth II kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip!

    Rais Samia Suluhu Hassan amemtumia salamu za rambirambi malkia Elizabeth wa Uingereza kufuatia kifo cha mumewe Prince Phillip. Ikumbukwe Prince Phillip alifika Tanganyika mwaka 1961 wakati tunajipatia uhuru. Source BBC Dira ya Dunia
  8. Erythrocyte

    Saed Kubenea afika Wizara ya Habari Kuonana na Waziri Bashungwa kuitikia wito wa Rais wa kufungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa kibabe

    Leo Saed Kubenea ameonana na Waziri wa Habari kama ilivyoelekezwa na Wizara baada ya Tamko la Mh Rais Samia Suluhu la kuagiza vyombo vya habari vilivyofungiwa kizushi yakiwemo magazeti vifunguliwe . Tuendelee kusubiri yatakayojiri baada ya kikao hiki kufanyika huku tukisubiri Wahariri wengine...
  9. digba sowey

    Rais ingilia kati suala la Uhamisho kwa watumishi, tumechoka kuibiwa na Maafisa wa Tamisemi

    Wakuu hamjambo,ni matumaini Yangu kuwa hamjambo,mnaendelea na ujenzi Wa taifa kama kawaida. Naomba twende kwenye hoja Yangu,nimekuwa nikifatilia swala la uhamisho kwa watumishi Wa umma na urasmu uliopo,ni ukweli usiopingika kuwa kuna haja ya Serikali kutoa tamko kuwa uhamisho umefungwa na...
  10. Red Giant

    Naomba huu uwazi alioanzisha Rais uwekwe kwenye Sheria na Kanuni

    Nafikiri hii ni glasnost yetu. Mambo mengi japo si yote ya nchi ni vema kuwa wazi. Watu wayajadili na kutoa maoni yao mbalimbali. Mambo ya umma yanatakiwa kuwekwa wazi na kujadiliwa kwa uhuru. Hapo ndiyo tutaepuka mambo kama yaliyotokea miaka mitano ya JPM. Sasa hili suala lisiachwe kwa Rais...
  11. M

    Je, ni Rais gani kati ya hawa anafaa Kuongoza Afrika na Wananchi watampenda na atakumbukwa nao milele?

    Rais A Mkali Mbishi Mnafiki Mkusanyaji mzuri wa Kodi Mwizi Mbinafsi Malaya ( Muhuni ) Rais B Mpole Mkarimu Muungwana Ana uwezo mdogo wa Akili Mwizi wa taratibu Anainua Vipato vya Wananchi Mpenda Ushauri na Mawazo Rais C Mshirikina Mcha Mungu Mnafiki Mkabila na Malaya Muuaji Mpenda Visasi...
  12. Civilian Coin

    Waraka Maalumu kwa Rais Samia Suluhu Hassan juu ya hujuma zinazofanywa na Watendaji wako NIDA

    WARAKA MAALUM KWA MH. SAMIA SULUHU RAIS WA TANZANIA JUU YA UTAPELI NAOFANYIWA NA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA(NIDA Salaam kwako Mkuu wa Taifa la Tanzania, naitwa DON NALIMISON ni Mwanamuziki na Mjuvi wa Falsafa, malalamiko yangu nayafikisha Mbele ya Kiti chako Cha Ikulu ili niweze...
  13. S

    Mpaka sasa Serikali ipo kimya juu ya Watu 49 pamoja na watu sita wa familia moja waliofariki wakimuaga Rais Magufuli

    Ni kama vile hakuna jambo lolote la kuhuzunisha na kusitikitisha lililotokea wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, mpaka sasa hakuna kilichofanyika kwa wafiwa si kwa serikali ya ngazi ya wilaya au mkoa wa DSM. Kutokana na mkanyagano huo , Familia moja jijini Dar Es Salaam...
  14. Last Seen

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amteua Mohamed Dewji (Mo) kuwa mshauri wake kwenye masuala ya Uwekezaji

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amemteua Mohamed Dewji kuwa mshauri wake wa Masuala ya uwekezaji. Mohamed dewji 'MO' atashiriki vikao vyote vinavyohusiana na uwekezaji na atakuwa miongoni mwa washauri wa Rais Ramaphosa kwa kipindi Cha miaka mitatu. ---- Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika...
  15. J

    Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

    Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo. Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi. Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi...
  16. James Martin

    Naomba mshahara wa Rais upandishwe uwe kama zamani

    Kwanza napenda kumpongeza mama yetu mpendwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya. Kitu kingine ningeomba sana mshahara wa Rais upandishwe tena uwe angalau kama enzi ya Rais Kikwete. Magufuli alijishushia mshahara lakini lazima tujiulize, je alikuwa anauhutaji? Kwa kuanza tu...
  17. M

    Tuliaminishwa na iliyokuwa Serikali ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kuwa tatizo limedhibitiwa na halipo, kulikoni leo tena limeibuka?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka makamanda wa polisi wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Tanga, Dar es Salaam na Unguja na Pemba kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kufanya operesheni ya pamoja ili kumaliza tatizo la dawa za kulevya. Chanzo: Habari Leo Online...
  18. Mpingamkoloni

    Mheshimiwa Rais, Serikali imeshindwa kuiwezesha MSD, msiwarushie mipira Wafawidhi

    Mimi si mtumishi wa Afya, lakini mateso anayopata mtoto wa dada wa kunyonya (mtumishi wa afya), yamenifanya nitambue wapi serikali inakosa. Ni jambo la ajabu sana kuona kuna uharamisho mkubwa wa kusema uwongo miongoni mwa viongozi wakuu wa Serikali hasa Afya. Mtume Muhammad s.a.w.w. amesema...
  19. Analogia Malenga

    Serikali yafungua milango ya majadiliano kwa magazeti yaliyofungiwa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa, linahusu televisheni za mtandaoni pekee. Hata hivyo, Bashungwa ameeleza leo Jumatano, Aprili 7 2021 kuwa Serikali inafungua milango...
  20. Nyankurungu2020

    Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

    Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
Back
Top Bottom