rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyokwenda kuweka historia sekta ya kilimo nchini

    Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni lilipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Sote tunafahamu hii ndio bajeti ya kwanza ambayo maandalizi yake yote yamefanyika chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tofauti na bajeti ya 2021/22 ambayo Rais aliingia...
  2. JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais wa Nigeria wavamiwa na watu wenye bunduki, wawili wajeruhiwa

    Watu wenye silaha wameshambulia msafara timu ya wa walinzi na maafisa wa itifaki wa vyombo vya habari wa Rais Muhammadu Buhari mjini Katsina, na kuwajeruhi watu wawili kabla ya kudhibitiwa na jeshi. Msemaji wa Rais, Garba Shehu amesema kuwa Msafara huo ulikuwa umetangulia safari ya Rais Buhari...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Ni yupi kati ya hawa ni wa kumuandaa kuwa Rais wa Tanzania hapo baadaye?

    Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri . Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:- 1. Rais Hussein Mwinyi 2. Bashiru Ally 3. Askofu...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kwanini nawe nakuomba usiyaamini Matokeo ya Jana ya Kidato cha Sita ya nchi nzima?

    1. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko. 2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila...
  5. JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta: Rais Samia, badili uongozi wa juu ili wananchi tupate ahuweni

    Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao. Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu chanzo cha ufaulu bora

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye orodha hii. Wote sisi ni mashahidi wa namna ambavyo Rais Samia Suluhu alivyoipa sekta ya elimu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki hafla ya kuipongeza Timu ya Serengeti Girls, apendekeza uwanja wa michezo kujengwa Tanganyika Packers

    RAIS SAMIA SULUHU HASSAN - Serengeti Girls ni Mashujaa Wetu Leo ni siku nyingine ya furaha sana, si kwangu binafsi bali kwa taifa zima, tunapokutana hapa Ikulu na mabinti zetu mashujaa - Serengeti Girls. Hii ni rekodi mpya ambayo haijapata kutokea kwa miaka 62 ya Uhuru wetu. Serengeti Girls...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 William Rutto: Nilimfanya Uhuru Kenyatta Rais wa Kenya

    Akizungumza mjini Meru katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Mlima Kenya Mashariki, Makamu wa Rais Ruto amesema wakati Mahakama kuu, ilipoamuru uchaguzi wa marudio mnamo 2017, Rais Kenyatta hakutaka kurudia na alimlazimisha kurudia uchaguzi huo kwani asingemruhusu kuacha kazi aliyoifanya kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia katika ufunguzi wa Jengo la Huduma kwa Mama na Mtoto Hospitali ya CCBRT, Julai 5, 2022

    ===== Tayari Rais Samia yupo ndani ya jengo la huduma ya afya ya mama na mtoto akiwasalimia wazazi pamoja na watoto wao (akina mama 88) ambao wapo katika wodi za kupumzikia wakiwa wamejifungua salama kabisa, pia Rais Samia amepata nafasi ya kukagua chumba cha kujifungulia. Katika wodi hizo kuna...
  10. JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais Samia suluhisho pekee kwa Bandari Tanzania ni hili

    Amani iwe nanyi Leo Rais wa JMT amemtumbua Mkurugenzi wa Bandari Ndug Erick Hamis. Pamoja na kumtumbua Rais Samia amelalamika juu ya efficiency ya Mamlaka yetu ya Bandari na kusema kuwa Mamlaka hii ingekuwa inafanya kazi vizuri ingeweza kuchangia hata nusu ya mapato ya Bajeti yetu. Ni kweli...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa SMZ aweka wazi mikataba iliyokuwa siri kubwa, Je Rais wa Muungano ataweza?

    03 Julai 2022 Unguja, Zanzibar. Rais wa SMZ awamu ya nane Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi ameweka historia kwa kuweka hadharani mikataba iliyokuwa ya siri kwa zaidi ya miaka 30. Imekuwa kawaida kwa serikali zetu kudai mikataba ni siri kubwa baina ya mwekezaji kwa upande mmoja na serikali iliyopo...
  12. JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Jeshi lampa uhuru kamili Rais wa zamani wa nchi hiyo

    Rais wa zamani wa Burkina Faso, Roch Kaboré, amepewa "uhuru kamili" na majenerali wa kijeshi waliompindua katika mapinduzi mwezi Januari katika juhudi za upatanisho wa kisiasa Bw Kaboré aliruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake katika mji mkuu, Ougadougou, mwezi Aprili baada ya kuwekwa...
  13. JamiiForums Tanzania Tunisia: Mkuu wa Kamati ya Mapendekezo ya Katiba Mpya alaani Rasimu iliyochapishwa na Rais Kais Saed

    Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni hatari Amesema kuwa baadhi ya vifungu vinaweza kufungua njia kwa utawala wa kidikteta na rasimu ya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Baada ya Rais Samia kufungua soko la nyama falme za Kiarabu. Je, wanaopuuza zoezi la uwekaji hereni mifugo ni wasaliti wa Rais aliyewateua?

    Nawasalimu kwa Jina la JMT, Tanzania kuna mambo ya kubishaniwa ila sio uhodari,Umakini na Uchapakazi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Mtakumbuka hivi majuzi Rais Samia alifanya ziara katika nchi za falme ya kiarabu (UAE) akihangaika kuifungua Tanzania ili kuwaletea Watanzania...
  15. E

    JamiiForums Tanzania Muunganiko wa Rais Samia na Hayati Magufuli ulikuwa wa karne

    Habari, Tanzania kwa Mara ya kwanza ilishuhudia kupata Rais na Makamu wake wenye sifa ambazo kama zingeunganika vizuri basi katika ile miaka 5 Tanzania ingepata maendeleo ambayo ingechukua hata karne moja kuyapata tena . Kifupi ni kwamba JPM alikuwa msimamizi mzuri wa pesa na Mama ni Mtafutaji...
  16. JamiiForums Tanzania TFF yafungua shauri dhidi ya Ofisa wa Yanga, Haji Manara baada ya kudaiwa kuzozana na Rais Karia

    Sekretarieti ya TFF imefungua shauri mbele ya kamati ya maadili dhidi ya Ofisa wa Klabu ya Yanga Haji Manara, kutokana na vitendo vya ukiukwaji wa maadili. Manara alionekana akijibishana na kiongozi wa juu wa TFF ambaye ni Rais Wallace Karia, jana Julai 2,2022 wakati wa fainali la Kombe la...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa TZS Bilioni 600 Ujenzi wa Hospitali ya Muhimbili mpya

    KATIBU ITIKADI NA UENEZI CCM SHAKA HAMDU SHAKA AFANYA ZIARA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE, MUHIMBILI. KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) pamoja na Hospitali ya Taifa Muhimbili ambapo akiwa...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru na rais wa Marekani wajadili suluhu la ugomvi DRC

    Hatimaye DRC inakwenda kupata amani ya kudumu, rais Uhuru ameshikilia hili bango kwa kutumia nguvu nyingi sana... The US government has hailed Kenya’s President Uhuru Kenyatta for getting DR Congo and Rwanda to a meeting last week, saying it could ease tensions between the two neighbours. US...
  19. JamiiForums Tanzania Huku amepiga magoti, Morison amuomba Rais samia uraia wa Tanzania.

    Katika mahujiano yake na global tv online mchezaji benard morison amemuomba rais samia ampe uraia wa tanzania kwani anajisikia amani na kuthaminiwa sana nchini. pia amesema yupo tayari kuchezea timu ya taifa ya tanzania taifa stars. Source:global tv online
  20. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…