Rais Samia Suluhu amewajali sana na kuwathamini wananchi waliohamia Msomera kwa kiasi kikubwa hawakuwahi kufikiria siku moja watakuja kumiliki mashamba makubwa ambayo ni ekari 5, nyumba za kuishi ambazo zina maeneo makubwa ya ekari 2 na nusu na kujengewa miundombinu yote ikiwemo umeme, maji...
Rais Samia Suluhu amefanya safari za nje 19 ndani ya siku 477 tangu ameingia madarakani. Zinaweza kuonekana kama ni safari nyingi sana, lakini shida sio wingi wa safari, bali tija inayoweza kuletwa na safari hizo katika taifa letu.
Rais kusafiri sio jambo la ajabu kabisa, hasa kwa nchi za...
José Eduardo dos Santos aliyeongoza Angola kwa takriban miaka 40, kuanzia mwaka 1979 - 2017 amefariki dunia akiwa na miaka 79
Taarifa ya kifo chake zimethibitishwa na Serikali ya Angola, ikielezwa amefariki akiwa Hospitalini Barcelona Nchini Uhispania kutokana na maradhi ambayo hayajawekwa wazi...
Japo amesha lala usingizi wa mauti lakini kaacha watu wanaweweseka tu kila siku wanajaribu kuonesha kuwa hakuna alichofanya lakini wakigeuka huku wanaona midege ya ATCL huku wanaona hospitali za Kanda, za rufaa, vituo vya afya na zahanati
kule wanaona mradi wa SGR, mara mradi wa Stglers, mara...
"Ndani ya mwaka mmoja ailetea Tanzania zaidi ya trillion 43"
Ikiwa ni mwaka mmoja na miezi kadhaa tangu Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kushika atamu, kumekuwepo na mijadara inayozungumzia juu ya mwenendo wa Mhe Rais Samia Suluhu Hassan kusafiri ng'ambo tofauti za nje ya nchi ikilinganishwa na...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivi karibuni lilipitisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23. Sote tunafahamu hii ndio bajeti ya kwanza ambayo maandalizi yake yote yamefanyika chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu tofauti na bajeti ya 2021/22 ambayo Rais aliingia...
Watu wenye silaha wameshambulia msafara timu ya wa walinzi na maafisa wa itifaki wa vyombo vya habari wa Rais Muhammadu Buhari mjini Katsina, na kuwajeruhi watu wawili kabla ya kudhibitiwa na jeshi.
Msemaji wa Rais, Garba Shehu amesema kuwa Msafara huo ulikuwa umetangulia safari ya Rais Buhari...
Habari wana JF, Kiongozi wa nchi huandaliwa kwa Muda mrefu kwa Manufaa ya Taifa, sio kuchaguliwa bila kumjua vizuri .
Kwa Mimi nimefikiri na kuchambua na kupata hawa Watu wanafaa kabisa kuandaliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania:-
1. Rais Hussein Mwinyi
2. Bashiru Ally
3. Askofu...
1. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko.
2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila...
Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao.
Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda...
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Leo Baraza la Mitihani Taifa limetangaza matokeo ya kidato cha 6 na kwenye orodha ya shule 10 bora kuna shule takribani 3 za serikali zimeingia kwenye orodha hii.
Wote sisi ni mashahidi wa namna ambavyo Rais Samia Suluhu alivyoipa sekta ya elimu...
RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
- Serengeti Girls ni Mashujaa Wetu
Leo ni siku nyingine ya furaha sana, si kwangu binafsi bali kwa taifa zima, tunapokutana hapa Ikulu na mabinti zetu mashujaa - Serengeti Girls.
Hii ni rekodi mpya ambayo haijapata kutokea kwa miaka 62 ya Uhuru wetu. Serengeti Girls...
Akizungumza mjini Meru katika siku ya mwisho ya ziara yake ya Mlima Kenya Mashariki, Makamu wa Rais Ruto amesema wakati Mahakama kuu, ilipoamuru uchaguzi wa marudio mnamo 2017, Rais Kenyatta hakutaka kurudia na alimlazimisha kurudia uchaguzi huo kwani asingemruhusu kuacha kazi aliyoifanya kwa...
=====
Tayari Rais Samia yupo ndani ya jengo la huduma ya afya ya mama na mtoto akiwasalimia wazazi pamoja na watoto wao (akina mama 88) ambao wapo katika wodi za kupumzikia wakiwa wamejifungua salama kabisa, pia Rais Samia amepata nafasi ya kukagua chumba cha kujifungulia.
Katika wodi hizo kuna...
Amani iwe nanyi
Leo Rais wa JMT amemtumbua Mkurugenzi wa Bandari Ndug Erick Hamis.
Pamoja na kumtumbua Rais Samia amelalamika juu ya efficiency ya Mamlaka yetu ya Bandari na kusema kuwa Mamlaka hii ingekuwa inafanya kazi vizuri ingeweza kuchangia hata nusu ya mapato ya Bajeti yetu. Ni kweli...
03 Julai 2022
Unguja, Zanzibar.
Rais wa SMZ awamu ya nane Mh. Dr. Hussein Ali Mwinyi ameweka historia kwa kuweka hadharani mikataba iliyokuwa ya siri kwa zaidi ya miaka 30.
Imekuwa kawaida kwa serikali zetu kudai mikataba ni siri kubwa baina ya mwekezaji kwa upande mmoja na serikali iliyopo...
Rais wa zamani wa Burkina Faso, Roch Kaboré, amepewa "uhuru kamili" na majenerali wa kijeshi waliompindua katika mapinduzi mwezi Januari katika juhudi za upatanisho wa kisiasa
Bw Kaboré aliruhusiwa kurejea katika nyumba ya familia yake katika mji mkuu, Ougadougou, mwezi Aprili baada ya kuwekwa...
Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni hatari
Amesema kuwa baadhi ya vifungu vinaweza kufungua njia kwa utawala wa kidikteta na rasimu ya...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Tanzania kuna mambo ya kubishaniwa ila sio uhodari,Umakini na Uchapakazi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Mtakumbuka hivi majuzi Rais Samia alifanya ziara katika nchi za falme ya kiarabu (UAE) akihangaika kuifungua Tanzania ili kuwaletea Watanzania...
Habari, Tanzania kwa Mara ya kwanza ilishuhudia kupata Rais na Makamu wake wenye sifa ambazo kama zingeunganika vizuri basi katika ile miaka 5 Tanzania ingepata maendeleo ambayo ingechukua hata karne moja kuyapata tena .
Kifupi ni kwamba JPM alikuwa msimamizi mzuri wa pesa na Mama ni Mtafutaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.