rais

  1. Breaking bad

    JamiiForums Tanzania Huku amepiga magoti, Morison amuomba Rais samia uraia wa Tanzania.

    Katika mahujiano yake na global tv online mchezaji benard morison amemuomba rais samia ampe uraia wa tanzania kwani anajisikia amani na kuthaminiwa sana nchini. pia amesema yupo tayari kuchezea timu ya taifa ya tanzania taifa stars. Source:global tv online
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi: Tanzania kuboresha mazingira rafiki ya Biashara nchini Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Tanzania imechukua hatua mbalimbali kuboresha mazingira rafiki...
  3. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro

    UTEUZI Rais Samia Suluhu amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali Venance Mabeyo kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA). Uteuzi huo ni kuanzia Juni 30, 2022.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amuapisha Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jacob John Mkunda na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi

    RAIS SAMIA KUMPANGIA MABEYO MAJUKUMU MAPYA Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kumpangia majukumu mengine aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Venance Mabeyo ambaye amestaafu kulitumikia Jeshi. Amesema hayo baada ya kumuapisha Jacob John Mkunda kuwa CDF mpya, Ikulu Dar es Salaam, leo Juni...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais kuhusu mahindi yanayosafirishwa nje ya nchi

    Nawapa tahadhari kuwa njaa inayokuja mbeleni kwa nchi ya Tanzania itakuwa ya kutisha. Jana nimeshuhudia kwa macho yangu katika mpaka wa Sirari mamia ya malori yakiwa na shehena ya mahindi yakipelekwa Kenya. Huu ni mwezi wa sita bei ya gunia moja la mahindi ni zaidi ya Tshs.130,000 maeneo ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hamna mandate ya kumlazimisha Rais kuruhusu mikutano ya vyama vya siasa

    Lack of wisdom "Bavicha tunamtaka Mh. Rais @SuluhuSamia kupitia siku ya miaka 30 ya maadhimisho ya vyama vya siasa, afute zuio batili la vyama vya upinzani kufanya mikutano ya hadhara, asipofuta sisi kuanzia tar 30.7.2022 tutaanza kufanya mikutano ya hadhara kama noma acha iwe noma. Pambalu...
  7. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mo Dewji juu ya Rais Samia ni mtaji mkubwa kwa Tanzania

    Katika Qatar Economic Forum, moja kati ya wazungumzaji alikuwepo Mo Dewji, tajiri namba moja Tanzania na mbali ya hayo, ni moja kati ya hayo ni mtu ambaye amewekeza sana Tanzania na kutoa maelfu ya ajira kwa watanzania. Katika mazungumzo yake, alitoa kauli nzito sana na nzuri ambayo kama ni mtu...
  8. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Faida ya ziara ya Rais Samia Suluhu nchini Oman

    Hati 4 za makubaliano zilizosainiwa baina ya Wizara za Tanzania na Oman 1. Ushirikiano katika masuala ya nishati ili kukuza taaluma na utaalamu 2. Ushirikiano katika Elimu ya Juu kwa lengo la kubadilishana uzoefu wa wataalamu 3. Ushirikiano katika utalii kwa lengo la kuhamasisha uwekezaji na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Sisi wengine Rais Samia sio mama yetu ni dada yetu

    Nilishangaa kijiweni kizee cha miaka 70+ kinasema mama sijui kafanyaje,nikasema huyu mzee ana bahati kuwa na mama umri huu kumbe alimaanisha Rais Samia. Pia Siku ile Sugu anatimiza miaka 30 ya muziki nikasikia Rais anasema we Sugu ni mwanangu, kiukweli Rais hawezi kumzaa Sugu. Sugu ana miaka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ikulu Dar: Kamati ya Uongozi ya ACT Wazalendo imefanya mazungumzo na Rais Samia

    Zitto kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hatua zake za kukutana na viongozi wa Vyama mbalimbali vya siasa. Mazungumzo yetu yalihusu mabadiliko mbalimbali yanayokusudiwa nchini kwetu
  11. OLS

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Ndaki yupo tofuati na Rais kuhusu kusafirisha wanyama hai?

    Tukio linandelea Ikulu Kurugenzi ya Mawasiliano ikizungumzia mafanikio ya Rais kwenda Oman na mafanikio ya Royal Tour. Moja kati ya kitu ambacho Rais aliomba akiwa Oman ni Tanzania kuruhusiwa kusafirisha wanyama hai kwenda katika soko la Oman Leo, Ikulu Waziri Ndaki amesema tusijikite sana...
  12. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA msilazimishe Mahakama kuingiliwa na Rais kisa mna husda na akina Mdee. Mahakama ni chombo huru

    Naona mnabwabwaja maneno hovyo kama vile mmekula chakula na kuvimbiwa. Mnabeua hovyo hovyo tu. Mnataka iweje? Rais aamuru Halima na wenzake wasiwe wabunge bila mahakama kufanya maamuzi? Kisa tu mnajua kuna huruma ilifanyika na akachomoka kesi la ugaidi? Maridhiano yenu na kulamba asali...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Rais Samia na RC Kafulila ukusanyaji mapato Simiyu sasa ni mara tatu zaidi, maajabu ni Itilima kukusanya TZS 1.4BL

    Nilipokuja Simiyu kuanza kazi mwaka jana 2021 baada ya Rais Samia kuapishwa kuwa Rais wa JMT na kuniapisha kuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu. Nilikuta halmashauri zina hali mbaya sana kwenye usimamizi wa mapato. Maswa ilikuwa imekusanya 39% ya lengo, leo imefika 120%. Mapato kwa miradi ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya usanii wa demokrasia. Maridhiano ni janja tu ya kujisafisha kimataifa

    Nimefuatilia kauli na Matendo ya rais Samia nimejiridhisha kwamba siyo mpenda demokrasia kama anavyojinadi majukwaani. Amejigamba kwamba ana ngozi ngumu na kusema anaruhusu uhuru wa kusema, kukosoa na kujieleza. Kwa taarifa yako ndugu msomaji huyu mama hana ngozi ngumu kwa Mambo yasiyomuumiza...
  15. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa sensa kwa Rais Samia

    Kamisa wa sensa nchini, Anne Makinda amesema Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika Agosti, mwaka huu, itakapokamilika itaisaidia serikali na kumpa Rais Samia Suluhu Hassan picha halisi ya nchi anayoiongoza. Alisema hayo alipokuwa akizungumza na wakufunzi wa sensa wa ngazi ya taifa wanaoendelea...
  16. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Halmashauri adaiwa kujiuzia Toyota Hilux mpya ya Halmashauri kwa Tsh Milioni 4

    Soma hapa:-
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maswali Mengi Majibu Machache

    Leo nimefuatilia mahojiano aliyoyafanya Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman kupitia kipindi cha Clouds360 cha Clouds TV na nimbaki na maswali mengi kuliko majibu Othman Masoud Othman amewahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar kabla ya kung’olewa kwa kile kinachosemwa...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tusiilamu Serikali ila tumlaumu Rais Samia Suluhu Hassan au?

    "Wananchi waache kuwa na lawama kwa sababu serikali yao iko makini sana katika kufanya tathmini ni aina gani ya mkopo iingie nchi yetu na ina tija gani kwa maslahi ya Taifa letu,"- Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande. Chanzo: EastAfricaTV Kama kuna mwaka ambao Tanzania ( Taifa ) letu hili...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema majibu ya Baraza la Wawakilishi yalimfanya aingie kwenye Siasa. Anayajua majibu ya mawaziri wake Bunge la JMT!

    Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa ilipoanzia ni kukerwa na majibu yaliyokuwa yanatolewa kwenye baraza hilo. Najiuliza anayajua majibu...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote, Juni 27, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund - EOTF ) katika Ukumbi wa JNICC - Dar es Salaam leo tarehe 27 Juni, 2022. Rais Samia ameanza kuzungumza, ameanza kwa...
Back
Top Bottom