Rais Uhuru na rais wa Marekani wajadili suluhu la ugomvi DRC

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,757
48,407
Hatimaye DRC inakwenda kupata amani ya kudumu, rais Uhuru ameshikilia hili bango kwa kutumia nguvu nyingi sana...

The US government has hailed Kenya’s President Uhuru Kenyatta for getting DR Congo and Rwanda to a meeting last week, saying it could ease tensions between the two neighbours.

US Secretary of State Antony Blinken spoke with President Kenyatta in a phone call on Thursday about Nairobi’s Initiative under the East African Community Conclave on DR Congo, as the best approach to end armed conflict in the troubled east of the country.

“Secretary Blinken expressed his appreciation for the Nairobi process, which has brought together the leadership of the DR Congo, Rwanda, Uganda, Burundi, South Sudan and Tanzania,” US State Department Spokesman Ned Price said of the phone call.

“The Secretary noted these heads of state meetings are instrumental for facilitating the de-escalation of regional tensions, and in particular between the DR Congo and Rwanda.”

The Nairobi Initiative is one of President Kenyatta’s agenda in his role as chairman of the EAC and has targeted to create a long-term solution for peace in eastern DR Congo.

Two weeks ago, regional leaders endorsed President Kenyatta’s call to deploy a regional force — the East African Standby Force, EASF, — after a meeting of EAC chiefs of Defence forces agreed on the Concept of Operations for troop contribution to the force by EAC member states. The actual deployment date has not been decided yet although a dispatch from the meeting in Nairobi indicated details will be shared early in July.

Sema mwenyekiti wa jumuia ya Afrika mashariki atafuta suluhu ya kudumu. Jamhuri ya watu wa Kongo imejiunga na jumuia hii mwanzoni mwa mwaka huu hivyo Kama mwenyekiti lazima ahakikishe ukanda wake ni salama akishindwa bhaaasi maana mgogoro huu unamizizi mirefu Sana.
 
Kama mwenyekiti alihakikisha Kongo imeingia EAC na pia anahakikisha amani na usalama kwenye nchi hiyo, jambo ambalo hakuna aliyefaulu hapo awali.
 
Slave mentality ya Kenya itaendelea sana kama mwenyekiti wa EACo alihitajika afanye hili na nchi washirika wake lkn ili kuongeza Kenya wanachokiona nu credit waitaje na USA nchi ambayo imetengeneza mgogoro Ulaya ya mashariki na isiweze kuuzima.
Hivi nchi iliyoshindwa na URUSI inawezaje kuja EA kuwa mshauri?
Prezida Uhuru unazipunguza nguvu nchi wanachama wa EA kwa kusema eti USA wanakupigia simu ufanye ABCD bora upigiwe na M7 au Burundi.
Sasa sikia cheza hao US tuone kama utaimaliza.
Afrika sijui tumerogwa HATUJIAMINI na mfano ni huu.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Hehehe jamaa naona inawauma sana, mpaka hapo ilikua imeshindikana, sasa mtaumia sana maana Kenya imeingiza DRC ndani ya EAC na inakwenda kuhakikisha amani huko na wawekezaji wa Kenya wanafurika kule kama senene, liinchi likubwa sana lile, siku zote Tanzania mlikua mnanunia kila kitu na kusubiri mbembelezwe na kuburuzwa ndani ya huu muungano kwa mlivyo wazembe, sasa wameingia EAC wenye raslimali mara kumi zaidi yenu, na Kenya inaongoza na kuratibu kwenye kila shughuli....
 
Hehehe jamaa naona inawauma sana, mpaka hapo ilikua imeshindikana, sasa mtaumia sana maana Kenya imeingiza DRC ndani ya EAC na inakwenda kuhakikisha amani huko na wawekezaji wa Kenya wanafurika kule kama senene, liinchi likubwa sana lile, siku zote mlikua mnanunia kila kitu na kusubiri mbembelezwe na kuburuzwa kwa mlivyo wazemebe, sasa wameingia EAC wenye raslimali mara kumi zaidi yenu, na Kenya inaongoza kwenye kila shughuli....
Unaongea as if mmeshatatua huo mgogoro
 
Unaongea as if mmeshatatua huo mgogoro
Mgogoro unamalizika kabisaa,Ba mkubwa ukanda huu pamoja na mjombake mkuu ulimwenguni Kesha tia nia.
Mungu baba yetu wa mbinguni nakushukuru sana,umeibariki Kenya.
 
Hehehe jamaa naona inawauma sana, mpaka hapo ilikua imeshindikana, sasa mtaumia sana maana Kenya imeingiza DRC ndani ya EAC na inakwenda kuhakikisha amani huko na wawekezaji wa Kenya wanafurika kule kama senene, liinchi likubwa sana lile, siku zote Tanzania mlikua mnanunia kila kitu na kusubiri mbembelezwe na kuburuzwa ndani ya huu muungano kwa mlivyo wazembe, sasa wameingia EAC wenye raslimali mara kumi zaidi yenu, na Kenya inaongoza na kuratibu kwenye kila shughuli....
We jamaa sometimes unakuwaga kama zimefyatuka, swala la DRC kuingia EACo limewezeshwa na Kenya? kwamba ni swala la overnight tu enh? maombi ya DRC kujiunga kwa jumuiya yalipokelewa na JPM akiwa mwenyekiti na ndo alochakata mambo yote ya awali na waliofuata wamekuja kumalizia tu mchakato.
 
Walianza kitambo sana ila siku zote ilikua makelele tu, chini ya uenyekiti wa rais Uhuru ndio amekimbiza yakaenda, na sasa anawasaidia kupata amani ya kudumu, sio yale makelele huwa mnafanya ya kutuma wanajeshi huko kukimbizana na wale watoto wa M23
 
Hehehe jamaa naona inawauma sana, mpaka hapo ilikua imeshindikana, sasa mtaumia sana maana Kenya imeingiza DRC ndani ya EAC na inakwenda kuhakikisha amani huko na wawekezaji wa Kenya wanafurika kule kama senene, liinchi likubwa sana lile, siku zote Tanzania mlikua mnanunia kila kitu na kusubiri mbembelezwe na kuburuzwa ndani ya huu muungano kwa mlivyo wazembe, sasa wameingia EAC wenye raslimali mara kumi zaidi yenu, na Kenya inaongoza na kuratibu kwenye kila shughuli....
Mimi ni Mtz, ni kweli Tz imejaa viongozi wa hovyo Sana!
 
PAKA ndie chanzo cha vurugu Congo kwann iwe ni congo mashariki pekee kwann Congo kusini, Magharibi, kaskazini Hakuna shida bali mashariki . Siku PAKA asipokuwepo ndipo congo itakuwa na amani.
 
Shenzi ya alshabab yanawashinda ndio muweze ya DRC
Rais Uhuru anapongezwa na Rais Biden kwa kufanikisha vikao kati ya DRC na Rwanda, ili kujadili mgogoro wa mashariki mwa Congo. Pamoja na kuongoza vikosi vya kijeshi vya jumuiya ya AM kupamba moja kwa moja ndani ya eneo hilo. Sasa nyie ambao mnapakana na nchi hizo mbili mmekuwa mkifanya nini muda huo wote? Kando na kumuogopa, kumkuza Rais Kagame na kumsifia sifia kama James Bond?
 
Kama mwenyekiti alihakikisha Kongo imeingia EAC na pia anahakikisha amani na usalama kwenye nchi hiyo, jambo ambalo hakuna aliyefaulu hapo awali.
Uachage ukuda basi?
Kongo haijaanza vita leo na wapo wengi walishughulikia matatizo sio tu ya Kongo bali hata ya Rwanda na Kenya pia usijisahaulishe.
Mkigusa kitu kidogo mnapiga kelele...hii ni tabia ya kifukara
 
Kongo haijaanza vita leo, ila ndio mwisho wa hayo maugomvi, tulieni tusaidie hao watu kuishi kwa amani....
 
Sawa msisahau na magomvi yenu ya kikabila...mwezi ujao ni uchaguzi
 
Uchaguzi tunafanya kwa amani, tena usiumize akili, Kenya ndio taifa lililobaki na demokrasia ya kweli ukanda huu, nchi ambayo sio rahisi kutabiri nani ataukwaa urais, sio kama majirani wote waliotuzunguka ambapo kampeni huwa usanii tu maana rais hujulikana mapema kwenye chama kikuu.
 
Back
Top Bottom