Rais Samia kwanini nawe nakuomba usiyaamini Matokeo ya Jana ya Kidato cha Sita ya nchi nzima?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,054
107,538
1. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko.

2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila Siku.

3. Ni Matokeo ya Kuwahadaa Wazazi wao kuwa Watoto wao wana Akili sana wakati Kiuhalisia na tunavyokaa nao katika Mitaa yetu tunajua kuwa hawana kabisa hizo Akili.

4. Kitaaluma na Kisaikolojia haiwezekani kukawa na above 85% to 85% ya Ufaulu wa Wanafunzi ( tena hawa Goi Goi ) tulionao wa sasa.

5. Rais Samia kungekuwa na Ufaulu huo wa Kimbunga ambao kila mwaka tunatangaziwa basi Wahadhiri wa Vyuo Vikuu wasingekuwa Wanalalamika kuwa Wanafunzi wanaokutana nao huko wana very low thinking capacity hivyo wanawapa Usumbufu wa Kitaaluma.

6. Ni Matokeo ya Kiini Macho tupu tu.

7. Ni Matokeo yanayoonyesha tabia ya Usanii ya Watanzania na jinsi gani Kizazi cha baadae cha Watanzania kitatawaliwa na Wasanii na Goi Goi watupu.

GENTAMYCINE siyaamini hayo Matokeo tena kwa 100% na nijuavyo ni kuwa kama Mdau wa Elimu kwa sasa Elimu ya Tanzania si tu kwamba ipo ICU bali imeshafariki na inasubiria Kuzikwa tu.

Hata Jeshini mkienda Kozi mbalimbali hamuwezi nyote mkamaliza kwa idadi ile ile mliyoanza lazima kuna ambao Wataumia, Watateguka Bandana, Kolomero, Watazimia na hasa Kufa kabisa.

Naionea Huruma Elimu ya Nchini.
 
Kuna mtoto wa jirani hapa alisema mitihani ya mwaka huu migumu mno baada ya matokeo anaona kupata zali la mentali kwa matokeo aliyopata .Tena kuna mwengine anajulikana kama kilaza mbobezi lakini kapiga division one kali.

Elimu ya vyuo sasa hivi naona imekuwa kama biashara na nahisi labda sera ya nchi imehama inakua kwenye elimu kutoka stage mbalimbali mfano;

*Watu wawe na uwezo wa kujua kusoma na kuandika
*Kufika darasa la 7 na Sekondari.Sasa hivi hakuna kufeli darasa la 7 na hata mtu akifeli anakuwa na program maalumu kama anasoma Sekondari akifaulu 4m2 anakuwa mwanafunzi rasmi
*Wengi kufika kidato cha 4.Hapa tumeshuhudia kuna wimbo la watu kufaulu kidato cha pillow hata ukiipata D mbili hafifu umepass

*Sasa tupo kwenye mkakati wa kuzalisha wasomi wengi wa elimu ya juu.
 
1. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko.

2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila Siku.

3. Ni Matokeo ya Kuwahadaa Wazazi wao kuwa Watoto wao wana Akili sana wakati Kiuhalisia na tunavyokaa nao katika Mitaa yetu tunajua kuwa hawana kabisa hizo Akili.

4. Kitaaluma na Kisaikolojia haiwezekani kukawa na above 85% to 85% ya Ufaulu wa Wanafunzi ( tena hawa Goi Goi ) tulionao wa sasa.

5. Rais Samia kungekuwa na Ufaulu huo wa Kimbunga ambao kila mwaka tunatangaziwa basi Wahadhiri wa Vyuo Vikuu wasingekuwa Wanalalamika kuwa Wanafunzi wanaokutana nao huko wana very low thinking capacity hivyo wanawapa Usumbufu wa Kitaaluma.

6. Ni Matokeo ya Kiini Macho tupu tu.

7. Ni Matokeo yanayoonyesha tabia ya Usanii ya Watanzania na jinsi gani Kizazi cha baadae cha Watanzania kitatawaliwa na Wasanii na Goi Goi watupu.

GENTAMYCINE siyaamini hayo Matokeo tena kwa 100% na nijuavyo ni kuwa kama Mdau wa Elimu kwa sasa Elimu ya Tanzania si tu kwamba ipo ICU bali imeshafariki na inasubiria Kuzikwa tu.

Hata Jeshini mkienda Kozi mbalimbali hamuwezi nyote mkamaliza kwa idadi ile ile mliyoanza lazima kuna ambao Wataumia, Watateguka Bandana, Kolomero, Watazimia na hasa Kufa kabisa.

Naionea Huruma Elimu ya Nchini.
Nakubaliana nawe asilimia 100
 
Watanzania kwa kutojiamini wapo wengi sana...Kila mara hawaoni kama wanaweza kufanya makubwa bali wanadhani majirani na wale wa majuu ndio wenye haki miliki za kufanikiwa lakini sio wao...Ni Ujinga uliopitiliza.

Wanaosema matokeo ya kidato cha sita ya mwaka yana mushkeri watoe data za kuunga mkono madai yao, siyo kuishia kubwabwaja tu kama wapo kwenye kombolela!

Tuthamini na kuenzi vya kwetu kuliko kushadidia vya wenzetu...Tujikomboe kwanza kifikra na mengine yatafuata.
 
Hatuwezi kujikomboa kufikra kwa matokeo ya kupika. Kuanzia kipindi cha mwendazake kuna siasa nyingi sana kwenye matokeo ya msingi na sekondari.
 
1. Ni Matokeo ya Kisiasa ili kukupa Moyo uone Elimu ya Tanzania ni nzuri wakati Mimi GENTAMYCINE kama Mwanataaluma naiona ilikuwa ICU na sasa inaenda kuhifadhiwa Mortuary kwa Maziko.

2. Ni Matokeo ya Kukudanganya ili Watendaji wa Sekta ya Elimu wawe na uhakika na Ajira zao na Mkate wao wa kila Siku.

3. Ni Matokeo ya Kuwahadaa Wazazi wao kuwa Watoto wao wana Akili sana wakati Kiuhalisia na tunavyokaa nao katika Mitaa yetu tunajua kuwa hawana kabisa hizo Akili.

4. Kitaaluma na Kisaikolojia haiwezekani kukawa na above 85% to 85% ya Ufaulu wa Wanafunzi ( tena hawa Goi Goi ) tulionao wa sasa.

5. Rais Samia kungekuwa na Ufaulu huo wa Kimbunga ambao kila mwaka tunatangaziwa basi Wahadhiri wa Vyuo Vikuu wasingekuwa Wanalalamika kuwa Wanafunzi wanaokutana nao huko wana very low thinking capacity hivyo wanawapa Usumbufu wa Kitaaluma.

6. Ni Matokeo ya Kiini Macho tupu tu.

7. Ni Matokeo yanayoonyesha tabia ya Usanii ya Watanzania na jinsi gani Kizazi cha baadae cha Watanzania kitatawaliwa na Wasanii na Goi Goi watupu.

GENTAMYCINE siyaamini hayo Matokeo tena kwa 100% na nijuavyo ni kuwa kama Mdau wa Elimu kwa sasa Elimu ya Tanzania si tu kwamba ipo ICU bali imeshafariki na inasubiria Kuzikwa tu.

Hata Jeshini mkienda Kozi mbalimbali hamuwezi nyote mkamaliza kwa idadi ile ile mliyoanza lazima kuna ambao Wataumia, Watateguka Bandana, Kolomero, Watazimia na hasa Kufa kabisa.

Naionea Huruma Elimu ya Nchini.
Jana baada ya kuona hayo matokeo niliingia jamii forum kuona kama kuna uzi wa namna hii. Kii ukweli imenipa kutafkari sana miaka kumi mbili itakuaje. Shule ambazo hata hazikuwahi kua kwenye historia unakuta ghafla ina division one 100 division two 120
 
Toeni suluhisho, siyo lawama tu. Nini kifanyike sasa. Je, vijana wasisome au iwe nini sasa?
 
Sibishani sana na hayo matokeo wala sizikatai juhudi za awamu yetu pendwa ila nisichokubaliana nacho niwale wanaohusianisha matokeo na awamu tuliyonayo.
Matokeo hayo sio juhudi za mwaka mmoja

Matokeo yakitaaluma hayaji kama chumvi iwekwayo kwenye mboga na kuonjwa muda huohuo.
Pia sio pombe kama ukiinywa pundetu unayumba.
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom