rais

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo tusiilamu Serikali ila tumlaumu Rais Samia Suluhu Hassan au?

    "Wananchi waache kuwa na lawama kwa sababu serikali yao iko makini sana katika kufanya tathmini ni aina gani ya mkopo iingie nchi yetu na ina tija gani kwa maslahi ya Taifa letu,"- Naibu Waziri wa Fedha Hamad Chande. Chanzo: EastAfricaTV Kama kuna mwaka ambao Tanzania ( Taifa ) letu hili...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema majibu ya Baraza la Wawakilishi yalimfanya aingie kwenye Siasa. Anayajua majibu ya mawaziri wake Bunge la JMT!

    Rais Samia amesema pamoja na kupewa ushauri na mama Anna Mkapa kuingia kwenye siasa, sababu iliyomfanya kuwania nafasi kwenye baraza la wawakilishi Zanzibar ambapo ndio safari yake ya kisiasa ilipoanzia ni kukerwa na majibu yaliyokuwa yanatolewa kwenye baraza hilo. Najiuliza anayajua majibu...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Miaka 25 ya Mfuko wa Fursa Sawa kwa Wote, Juni 27, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Sherehe ya Miaka 25 tangu kuanzishwa kwa Mfuko wa Fursa sawa kwa wote (Silver Jubilee of Equal Opportunities for All Trust Fund - EOTF ) katika Ukumbi wa JNICC - Dar es Salaam leo tarehe 27 Juni, 2022. Rais Samia ameanza kuzungumza, ameanza kwa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais Putin kufanya ziara ya nje ya Urusi kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa vita

    Rais wa Urusi, Vladimir Putin anatarajiwa kufanya ziara katika nchi mbili ndogo za wiki hii, hiyo inatarajiwa kuwa ziara ya kwanza ya kiongozi huyo tangu kuibuka kwa vita ya Urusi dhidi ya Ukraine, Februari 24, 2022. Ziara hiyo inatarajiwa kuwa katika mataifa ya Tajikistan na Turkmenistan kisha...
  5. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia akiamua kumchagua CDF mwanamke, nani anafaa?

    Inawezekana Rais kumchagua CDF mwanamke? Nani anafaa? Wapo wanawake gani kule ambao sasa hivi wana cheo? Ngome inaweza kumruhusu Rais amchague CDF mwanamke?
  6. Stroke

    JamiiForums Tanzania Rais Samia this will haunt you for the rest of your life

    Kuwahamisha wamasai toka ardhi yao ya kurithi inaweza kuwa amri rahisi kabisa uliyowahi kuitoa ila jambo hili limeumiza wengi na litakuhusu kwa kipindi chako chote. Napenda nikuambie kwamba hili hukufanya sawa. Umekosea.
  7. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Prof Shivji: Barua kwa Rais; Ardhi mali ya nani?

    Kwa heshima na taadhima pokea barua yangu nikikutumia kwa nia njema na katika kutekeleza wajibu wangu kama mwananchi na mwanazuoni kwa mujibu wa Ibara 26 ya Katiba “kuhakikisha hifadhi ya Katiba na sheria za nchi.” Awali ya yote nakutakia maisha marefu yenye afya njema na furaha tele ili...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo kuna Serikali isiyokuwa na Rais? Serikali inaweza Kukopa bila idhini ya Rais? Hopeless Phd Holder wa Awamu ya Sita

    Wala usiumize kichwa kutaka kujua limekopwa lini, kwa sababu anayekopa si Rais, inakopeshwa serikali, mikopo yote ya nchi yetu haikopeshwi kwa awamu, kuna nchi ambazo zinakopa kwa awamu, lakini kabla hujamaliza awamu yako uwe umeshalipa".Waziri Nchemba. Chanzo: ITV Tanzania Yaani...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Angola Dos Santos yupo mahututi hospitali

    Rais wa zamani wa Angola, Jose Eduardo Dos Santos yuko katika hali mahututi hospitalini Jijini Barcelona Nchini Hispania, licha ya kuwa ugonjwa unaomsumbua haujawekwa wazi. Dos Santos, 79, aliyekuwa madarani mwaka 1979-2017, amekuwa katika matibabu tangu 2019, inaelezwa kuwa afya yake imezidi...
  10. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Jenerali Mabeyo: Tulimpoteza Rais Magufuli, tulisimama kidete kama Jeshi kulinda Katiba

    ==== Dar es Salaam. Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) anayemaliza muda wake Jenerali Venance Salvatory Mabeyo ametaja kifo cha Rais wa awamu ya tano John Magufuli, na matukio yaliyofuata baada ya tukio hilo, kama moja kati ya changamoto kubwa alizokabiliana nazo kwani Jeshi...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Neema kwa wafugaji, Rais Samia kuifufua NARCO

    Mwenyekiti wa kampuni ya Ranchi ya Taifa (NARCO), Mhandisi Luhemeja ameeleza kuwa Serikali inakwenda kufumua muundo wa NARCO ili kila mkoa uwe na Ranchi yake pamoja na Meneja wa NARCO wa Mkoa na hivyo ameitaka menejimenti ya NARCO ikae hataka kufumua mfumo uliopo sasa Luhemeja ameeleza kuwa...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango awasili Rwanda kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Jumuiya ya Madola

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akizungumza na baadhi ya viongozi wa Serikali wanaoshiriki Mkutano wa 26 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola unaofanyika jijini Kigali, Rwanda, Juni 20-25, 2022. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM Kukubali Mjadala Katiba Mpya, Tumpongeze Rais Samia

    Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema "SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ajali ya treni Tabora, Rais Samia aagiza uchunguzi ufanyike na hatua zichukuliwe

    Rais Samia Suluhu ametuma salamu za rambirambi kutokana na tukio la treni ya abiria kuanguka na kusababisha vifo vya watu kadhaa eneo la Malolo Mkoani Tabora, pia ameagiza uchunguzi ufanyike kubaini chanzo na hatua zichukuliwe. Ajali hiyo ilitokea jana Juni 22, 2022 ambapo baadaye Mkurugenzi wa...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Simbachawene: Wako watu wanaofikiria Rais Samia hapendi Dodoma, wanamsingizia. Hana kusudio kurudisha makao makuu Dar

    Waziri George Simbachawene amesema Serikali ilifanya maamuzi ya kuhamia Dodoma mwaka 1973 na sasa taasisi zote muhimu zinakamilisha ujenzi wa majengo yake Dodoma ikiwemo Ikulu na wizara zote zimetengewa bilioni 20. Simbachawene amesema zipo taasisi zinazosita kuhamia Dodoma na wako watu...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada tu ya Kuisikia hii Nukuu ya Rais ya Radio One Leo, kuanzia sasa sina Lawama na Mtu nitamsubiria huyo wa Kumrithi 2030

    "Kila Matokeo ya Mitihani yakitoka Wizara ya Elimu akina Mkenda huniletea Vitabu vikubwa pamoja na Flash hivyo nikiiweka tu katika Computer yangu Kwanza huanza Kuangalia Kwetu Mkoani Kusini Unguja kisha nikiona huwa nasema Mama yangu ni nini hiki? Yaani Mkoa anaotoka Rais ndiyo unaongoza kila...
  17. meck pro

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada jinsi ya kufika Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, UDOM

    Wakuu habari, Naomba msaada wa maelekezo ya kufika hapo Ofisi ya Rais Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma zilizopo majengo ya Dkt. Asha Rose Migiro, Udom nikitokea stand ya dalala Sabasaba. Asante sana 🙏
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Uzinduzi Zanzibar akosoa kuchukua waliofeli kuwa walimu asema ndio wanadumisha elimu nchini

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation - Zanzibar Rais ahuzunika kwa kufeli sana kwa mkoa anaotokea, Kusini Unguja. Rais Samia azungumzia ubovu wa matokeo Zanzibar ambapo alitoa maelekezo na sasa ufaulu kwa wanafunzi umeongezeka. Amezungumzia...
  19. Dan Zwangendaba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Usiache Kufanya Haya katika Kipindi cha Uongozi Wako

    Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la ujenzi wa shule ya sekondari kila kata limekuwa na msaada mkubwa kwenye jamii tofauti na huko nyuma...
  20. K

    JamiiForums Tanzania OMBI: Wastaafu na sisi tunaomba tufikiriwe kwenye tunachopokea

    Leo nimesoma kupitia mtandao wa kijamii kuwa Rais ameongeza mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa kuongeza 23% kwa kima cha chini. Ninauliza, Je na sisi Wazee wa pensheni tuko kwenye mfumo huo? Ichukuliwe kuwa maisha yamepanda kwa kila mtu na wengine ile pensheni ya mkupuo...
Back
Top Bottom