Huku amepiga magoti, Morison amuomba Rais samia uraia wa Tanzania.

crankshaft

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,410
3,376
Katika mahujiano yake na global tv online mchezaji benard morison amemuomba rais samia ampe uraia wa tanzania kwani anajisikia amani na kuthaminiwa sana nchini.
pia amesema yupo tayari kuchezea timu ya taifa ya tanzania taifa stars.
Source:global tv online
 
Ujinga tu. Uraia unatolewa redioni na mitandaoni? Tangu lini Rais wa Tanzania anatoa uraia? Watu wanaomlisha maneno ya kuongea wawe smart walau hizo story zinoge.

Aliyemlisha hayo maneno ni Manara! Za ndani kabisa zinaeleza Manara ndiye chanzo cha Morrison kuzinguana na uongozi wa Mnyama na kutaka kuhamia Utopolo!
 
Angepewa tu mataifa mengi hufanya jambo hilo hasa wanapoangalia maslahi ya taifa ktk michezo
Kenya,ethiopia ni kawaida
 
apewe uraia tu! ana kipaji atatusaidia!

kuna Mazee mangapi maviongozi ni maraia ila ni majizi yanaifilisi nchi hii na tunayajua hayana faida kwa nchi na siku yakifa huwa tunashangilia bora Morrison atasaidia soccer national team
 
Back
Top Bottom