Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu
1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia
2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
Serikali ya Malawi itaokoa TZS milioni 608.13 kutokana na kufutwa kwa safari mbili za Rais Lazarus Chakwera kama sehemu ya hatua za serikali za kubana matumizi.
Rais Lazarus hatahudhuria mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola mjini Kigali, Rwanda, na Kongamano la Maendeleo ya Mfuko...
Mheshimiwa Rais Safari zake zimekuwa nyingi sana tujifunze kwa wenzetu walioendelea viongozi wao hawasafiri hovyohovyo safari zao huwa ni za kimkakati Sasa Rais wetu anaposafiri safiri kila Mara hasara ni nyingi kuliko faida
Just imagine Rais ana mabalozi ana mawaziri wa wizara husika yeye...
Na George Bura, Dar es Salaam
Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali na kampuni kubwa za uchimbaji mafuta duniani zikiwemo Equinor na Shell kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezindua shamba la bangi kwa ajili ya dawa lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 27.
Shamba hilo limewekewa kiwanda cha kisasa cha usindikaji ambacho bangi yake itatumika kama suluhisho la matibabu ya kibaolojia na bidhaa za dawa katika soko la ndani...
Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023.
Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha.
Hakika serikali imeonesha nia ya kubana matumizi kwa akili kubwa sana. Jana ndio nilijua hivi kumbe Kuna watu wanalipwa mishahara ambayo...
Haingii akilini kwa kila jambo Rais anasafiri ovyo ovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi.
Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari.
Mkuu wa nchi ana heshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie.
Ndio maana tuna Mabalozi na ofisi...
Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania
Hali inayoendelea nchini Kwetu inafanya baadhi ya Watu kuhoji labda wanaosema Wana imani na RAIS hawana Imani naye Bali...
Viongozi wangu pamoja na Rais wangu hongereni kwa kazi ya kulijenga Taifa Changa kimaendeleo lakini Kongwe kiumri , kama mna nia ya Kweli na hii Nchi basi kuna Namna Mbili kuu za kuongoza na zote zitatupa maendeleo :
1. Machozi, hii ni njia Ngumu kidogo na ndio alijaribu kuipitia Hayati JPM, ni...
Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa.
Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
14 June 2022
Muscat, Oman
By: ONA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ampokea Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili alipofika katika makazi ya wageni mashuhuri (VIP) Kasri ya Al Alam kuonana na rais Samia Suluhu Hassan .
Mazungumzo ya Mh. Rais Samia Hassan na Mufti Mkuu wa...
Muda siku zote ni msemaji na ni shahidi mzuri sana ,Mara zote husema ukweli hivyo tusubiri mpaka 2025 ndio tufanye majumuisho.
Tunakosoa sana na kupongeza sana lakini ni Mwaka na kidogo tu Mama yuko madarakani.
Mama anasafiri kila wakati, nchi tunakopa pesa ,anakusanya Tozo ,anatafuta maeneo...
Wakuu Salam!
Moja kwa moja kwenye mada! Hivi karibuni akiwa ziarani katika moja ya mikoa ya kanda ya ziwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alizitaka mamlaka za kodi kuacha kudai kodi za kuanzia miaka miwili (2) nyuma, huku akibainisha wazi kuwa kitendo cha kodi hizo kulimbikizwa ni uzembe wa...
Baraka Shamte ni mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar ambae pia ni mtoto wa Waziri mkuu wa Kwanza wa Zanzibar, Mohammed Shamte amesema Rais wa sasa wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi hatoshi kuendelea baada ya miaka yake mitano kwisha.
Shamte amesema miaka yake mitano inakwisha na kurudia kosa ni...
Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.”
President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania
Rais Samia amewahakikishia wa Oman mazingira mazuri ya biashara kuwa na sera thabiti za fedha.
Akizungumza katika Kongamano lililojumuisha Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Rais...
RAIS SAMIA NA UCHUMI WA GESI, TUPO NJIA SAHIHI
Na David KAFULILA
Jumapili, Juni 12 , 2022
Jana, Juni11, 2022, Rais wetu SSH ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa $30bn kati ya Serikali yake na kampuni kubwa 5 za kimataifa ambazo ni Equinor, Shell, ExxonMobil, Medco Energy na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.