Na John Mwakanga, Mbeya
Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitwika jukumu la kupunguza gharama kwa wananchi kwa kutoa ruzuku ya bilioni 100 kila mwezi.
Juni 10...
Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa.
Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu.
Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja.
Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa.
Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo...
Salaam wakuu,
Tuachane na habari za Ngorongoro huko Loliondo kwa muda kidogo.
Kuna hizi picha mbili za Kisiasa.
Baada ya Miaka 10, Sehemu alipopigia Picha Kikwete ndipo Kapigia Picha Rais Samia. Wote Wamefanya ziara kwa Siku 3.
Pia soma:
1. Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA
2...
Ujue kuna mambo mengine ya ajabu sana hasa kwa mtu anayetumia akili vizuri kutafakari mambo.
Juzi Rais Samia akiwa Kagera alihimiza kuhusu kichukua tahadhari zote za COVID-19 na akaenda mbali kuwataka wananchi wachanjwe.
Leo ameonekana Oman akiwa hajavaa barakoa na anashikana mikono na watu...
Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani
Waendesha mashtaka wa jeshi...
Kwako Mheshimiwa:-
Lengo kubwa la ujumbe huu ni kukufahamisha juu ya HESLB kuondoa allocations za field kwa wanafunzi wa mwaka wa pili ambao hawakuwa na field mwaka wa kwanza. PASIPO KUTOA TAMKO LOLOTE HADI SASA.
Mheshimiwa,
Nikupe historia juu ya upangaji wa mkopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu...
Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake.
Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma...
Contents za Rais
1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama naweza kusaidia kulisukuma mbele lakini lilikuwa zito kidogo na lina mambo mengi. Nilipopata nafasi...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
Rais Samia akifungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Bukoba Mkoani Kagera, leo Ijumaa Juni 10, 2022
Shukrani za kipekee kupitia kwako Muwakilishi wa Balozi wa Oman, ziende kwa Sultan wa Oman na vilevile kwa niaba ya mtangulizi wake ambaye ndiye muasisi wa ujenzi wa Msikiti huu. Mwenyezi Mungu...
Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ikiwa ni kwa njia ya swali fikirishi "Jee Jicho la Rais Mama Samia Suluhu Hassan, litaweza kuangazia ubatili huu ndani ya Katiba tetu, unaopora haki ya msingi ya kushiriki uchaguzi kwa kugombea...
Kufatia habari ya jana ya kustaafu kwa General Mabeyo ndani ya JWTZ, basi kama kawaida yetu sio mbaya tukafanya bashiri ya nani anaweza akawa CDF mpya.
Kwakuwa JF ni uwanja mpana, ina wadau wengi na wengine ni wa huko huko jikoni, sio mbaya tukapendekeza jina la CDF mpya kwa kuzingatia uweledi...
Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara...
Rais Samia Suluhu Hassan anaendelea na ziara yake Mkoani Kagera, hapa ni katika ziara yake kwenye Kiwanda cha Sukari Kagera, leo Alhamisi Juni 9, 2022
RAIS SAMIA ATEMBELEA KIWANDA CHA SUKARI KAGERA
Hamad Masauni, Waziri wa Mambo ya Ndani
Ni kweli Jeshi la Magereza linamiliki ardhi eneo...
Hakika lililoandikwa na Mwenyezi Mungu kabla mbingu hazijaumbwa haliepukiki.
Uongozi wa mama Samia umezidi "kuwakuna" watu na taasisi mbalimbali, baada ya Lissu, Mbowe, msigwa, taasisi za kimataifa, Sasa gwiji la Siasa za upinzani, Augustine Lyatonga Mrema ametoa ya moyoni, kwamba ni Samia tu...
Leo Rais Samia yuko mkoani Geita na ameendelea kusisitiza wembe ni uleule kama awamu iliyopita.
=======
Rais Samia: Awamu iliyopita nilikuwa makamu wa Rais chini ya kaka yangu marehemu John Pombe Magufuli, alinifundisha mambo mengi sana, niliisoma dhamira yake vizuri sana jinsi ya kupeleka...
=======
Rais Samia akiwa Bwanga Wilaya ya Chato Geita
Akizungumza na Wananchi wa Bwanga Wilayani Chato, Mkoani Geita Rais Samia Suluhu Hassan amesema kwasababu ya Vita inayoendelea Nchini Ukraine, bei ya mafuta imepanda duniani kote
Ameeleza, "Dunia nzima tunaziambia zule Nchi mbili ziache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.