rais

  1. system hacker

    JamiiForums Tanzania Mwenendo wa siasa za CHADEMA na Rais samia kupitia CCM. Nani anapoteza nani anapata kati ya CDM na CCM?

    Simple sana. Anayepatia ni CDM, anayepoteza ni machawa wa CCM wala sio CCM. Hii ni kama kusema mwenendo wa siasa hizi ni CDM vs Machawa wa CCM. Kuna uzi humu nimeandika kwamba, adui mkubwa wa CDM ni Polisi na wala sio CCM. Polisi kwa namna nyingine tunaweza kuwaita ni machawa wa CCM...
  2. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Jenista Mhagama: Rais amedhamiria kila mlengwa wa TASAF aishi maisha Bora

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Jenista Mhagama amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amedhamiria kila mlengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini anaishi maisha bora kama ambavyo Serikali imekusudia...
  3. iamLyenda

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa mgeni rasmi kongamano la BAWACHA siku ya wanawake duniani

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye kongamano la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) lililoandaliwa na Baraza la Wanawake (Bawacha) wa chama hicho. Akizungumza na vyombo vya habari leo Jumapili, Machi 05, Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kioo cha kujitazama kwenye uongozi kwa vizazi vingi vijavyo

    Picha ya Rais Samia sio tu itabaki kumbukumbu kwenye kuta baada ya kustaafu kwake bali itajenga taswira ya kudumu mioyoni mwa watanzania na watanzania kutumia kama kioo cha kutazamia uongozi kwa vizaji vijavyo. Na hii ni kusema kwamba uongozi wake utaacha alama ya kudumu Rais Samia ni jasiri...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lema amuomba Rais Samia kurejesha biashara ya Tanzanite Arusha

    Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amemuomba Rais Samia Suluhu kurejesha biashara ya madini ya Tanzanite ili ifanyike katika Jiji Arusha. Lema amesema hayo leo Machi 4, 2023 wakati akizungumza na waandishi wa habari ambapo ameeleza kuwa lengo ni kukuza uchumi, ajira na...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Maagizo 8 ya Rais Samia kwa Wateule wake

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewataka wateule wake kuzingatia maeneo manane ya msingi, ikiwamo kujiamini katika utekelezaji wa majukumu yao. Rais Samia ametoa kauli hiyo leo Machi 4, 2023 katika mkutano wa faragha kwa mawaziri, manaibu waziri, makatibu wakuu, naibu makatibu wakuu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania wasema Rais Samia anatosha na hakuna sababu ya kufanyika kwa uchaguzi wa Rais 2025

    Ndugu zangu watanzania, sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya sheria na mfumo chini ya uongozi wa Rais Samia yanavyoutesa upinzani

    Amani iwe nanyi, Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo: i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi? ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini...
  9. Four-Star General

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama Rais wa Kenya Ruto aliikuta Kenya ina Deni Kubwa kutoka Nairobi hadi Johannesburg wa Jirani alikuta Deni la wapi na wapi?

    "Kwa Miezi hii Mitano tu nimefanikiwa Kupambana na Uchumi wa Kenya kwani Serikali iliyopita imetuachia Deni Kubwa la Urefu wa kutoka hapa Nairobi hadi Johannesburg" amesema Rais wa Kenya Ruto. Chanzo Taarifa: Radio One Nipashe GENTAMYCINE sijashangaa sana kwani kuna Rais wa nchi moja (...
  11. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Samahani Rais Mwinyi lakini kwenye hili umekosea

    Na Zitto Kabwe MAONI: Suala moja lililoibuliwa katika mikutano ya hadhara ya chama cha ACT Wazalendo inayoendelea katika visiwa vya Unguja na Pemba ni uendeshaji (ground handling) wa ‘Terminal 3’ katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar. Katika mkutano uliofanyika...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi wa Serikali mjitathmini

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi. Rais Samia amezungumza hayo alipofanya mkutano wa faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC)...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afichua siri ya kuwatumbua viongozi Serikalini

    Akizungumza jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri na Makatibu Wakuu uliofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa (AICC) jijini Arusha Rais wa Jamhuri ameeleza sababu za kufanya mabadiliko ya mara kwa mara ya viongozi licha ya yeye kutokupenda kufanya...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali kuchangia gharama za matengenezo ya kanisa lililovamiwa Geita

    Rais Samia amemtumia pole Askofu wa Kanisa Katoliki Geita kufuatia uvamizi wa Wezi ulipotokea Kanisani hapo RC Martin Shigella na RPC Sophia Jongo walimwakilisha Rais Samia katika kukagua uharibifu uliotokea Kanisani hapo Shigella amesema Serikali itachangia gharama za ukarabati wa Kanisa hilo...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Macron atua Afrika licha ya maandamano ya kupinga ziara zake

    Ziara hiyo ya Rais Emmanuel Macron imeanzia Nchini Gabon na kufanya mazungumzo na Rais Ali Bongo na baadaye ataelekea Angola, Congo-Brazzaville na DRCongo ambako tayari kumeibuka vurugu za kuipinga ziara hiyo. Ziara hizo zinafuatia hatua ya #Urusi kuanza kujenga uhusiano na Nchi zilizowahi...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Safari ya Rais Biden na Jinsi CIA walivyoandaa safari ya kijasusi Nchi Ukraine

    Mwezi wa pili wa mwaka 2023 ni mwezi ambao utaingia kwenye historia za Dunia ambapo idara nyeti ya usalama wa Taifa ikisaidiana na Pentagon walifanikisha safari nyeti ya Rais wa Taifa la Marekani na kuthibitishia ulimwengu kuwa wao sio wa viwango vya China au Urusi ila wao ni WA viwango vya juu...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Lissu na Lema wamerudi Salama. Chadema wameanza kufanya Mikutano. Rais Samia ashukuriwe sana

    Tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani upepo wa kisiasa nchini umebadilika sana . Tumeona Mikutano ya kisiasa ikirejea nchini, siasa za vyama vya upinzani majukwaani zimerudi tena na mazungumzo ya kuimarisha Demokrasia yanazidi kushika kasi. Kubwa zaidi tangu Rais Samia ashike madaraka...
  18. Nelson Jacob Kagame

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

    Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu. Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu...
  19. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa onyo la mwisho kwa mawaziri

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo la mwisho kwa wateule wake wasioelewana kwenye utekelezaji wa majukumu yao akisema ameachana na mtindo wa kuwapangua badala yake atawaengua. “Sipendi sana, nataka niwaambie, hii itakuwa mara ya mwisho kutumia sababu hii kupangua wizara...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Soka Ufaransa ajiuzulu baada ya ripoti mbaya ya ofisi yake na tuhuma za unyanyasaji wa kingono

    Noel le Graet (81) amechukua maamuzi hayo baada ya French ripoti kubainisha kuwa kuna "uchafu'' ndani ya Shirikisho la Soka la Ufaransa (FFF) licha ya kuwa muda wa kukaa madarakani ilikuwa hadi Mwaka 2014. Kabla ya kuchukua uamuzi huo kiongozi huyo alijiweka pembeni kwa muda wakati Serikali...
Back
Top Bottom