rais

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Nigeria 2023. Bola Tinubu atangazwa mshindi, upinzani wakacha kuhudhuria sherehe za utangazaji matokeo

    Wajuzi wa masuala ya kimataifa. Nigeria wanachagua Rais tarehe 25 mwezi huu wa pili. Nini kinaendelea huko? Nani anauwezekano mkubwa wa kushinda? ======= Siku ya Jumamosi, tarehe 25 Februari 2023, nchi yenye watu wengi zaidi barani Afrika itapiga kura kumchagua rais wao ajaye, Makamu wa Rais...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, RC wa DSM na Manispaa zote za DSM kwa Kuwarejesha Wamachinga Wakaidi maeneo Wasiyotakiwa Kisheria

    Wamerejea rasmi Tegeta kwa Ndevu, Mbezi Louis, Ubungo Riverside, Mwenge na maeneo mengine mengi ambayo Walifukuzwa Wiki Mbili zilizopita kwakuwa Kisheria hawatakiwi kuwepo. Ushauri wangu kwa Watajwa katika Kichwa changu cha Uzi huu ni kwamba Safari msihangaike Kuwatimua tena bali waacheni ili...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri Pindi Chana umeamua rasmi sasa kuwa 'Chawa Gegedu' wa Rais Samia?

    Haiwezekani leo katika Hafla fupi ya Kumkaribisha Naibu Waziri wako Mwana FA Wizarani umetumia dakika 17 zote Kumsifia (tena Kinafiki) Rais Samia huku ukitumia tu dakika 2 Kuelezea Malengo ya Wizara yako ambayo wenye Akili tunajua kuwa huiwezi na hutoiweza sema tu Mama ( Rais ) anaona Aibu...
  4. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi hana "chawa" wa kuwajibu ACT Wazalendo? Kama Rais alitakiwa kuwa last line of defence! Na wapinzani kazi yao kusutana

    Namshauri Mwinyi awatumie mawaziri wa kisekta kuwajibu ACT, yeye awe mtu wa mwisho in case wana-fail. Kama ikashindikana, atumie chama, kwa kuwa wanaompa changamoto, wanampa kwa kofia ya Siasa, wanaotumia kofia ya Siasa, wajibu kisiasa, ukiwajibu kitaalamu, ujumbe huwa haupenyi sawasawa. Na...
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Tshisekedi adai machafuko ya M23 yatavuruga Uchaguzi Mkuu Congo

    JF SUMMARY Rais #FelixTshisekedi ameliambia Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (OHCHR) kuwa Vita inayoendelea Mashariki mwa DRC inahatarisha mchakato wa Uchaguzi wa Desemba 20, 2023 kutokana Watu wengi kuyakimbia makazi huku Tume ikishindwa kuyafikia baadhi ya maeneo. Tume ya...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Watanzania kwa sasa hawajali Rais anamteua nani mwenye nini kama atasimamia Haki, amani na Maendeleo ya Taifa

    Kwanza nimpongeze Mh Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyezi Mungu azidi kumpa nguvu na hekima ktk utendaji wake. Kwamba ameteua Mpagani, Mwislam, mkristo au Myahudi hiyo sio issue wala kesi. Cha muhimu ni kuwa huyo anayeteuliwa anaamini katika misingi ya Utu, Haki, umoja na utamaduni wa kukataa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA bado mnajadili Rais Samia kupewa uchifu?

    Mwaka 2021 Mhe. Rais Samia Suluhu alisimikwa kuwa Chifu mkuu na Umoja wa Watemi wa Kisukuma kwa kushirikiana na Umoja wa Machifu Tanzania, katika tamasha la Utamaduni wa Mtanzania na kumpa jina la Hangaya, lenye maana ya Nyota inayong’aa asubuhi. Baada ya tukio hilo upinzani wakiongozwa na...
  8. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia Suluhu madarakani

    Tangu aapishwe Machi 19, 2021 Rais Samia Suluhu amekuwa akifanya jitihada za kuanzisha na kuendeleza miradi mikubwa ya maendeleo kwa lengo la kukuza uchumi. Baadhi ya miradi hiyo ni ujenzi wa Bwawa la Kuzalisha umeme la Julius Nyerere (JNHPP), Reli ya kisasa (SGR), barabara kubwa na ndogo...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais kusema hatoacha kufanya Mabadiliko katika Serikali yake ni Udhaifu usiovumilika na wenye Akili

    Na kwa wenye Akili tukiona Mabadiliko ya mara kwa mara tunathibitisha kuwa huenda kuna Watu wako mahala kwa bahati mbaya / Fluku. Ngoja tuendelee Kunywa Mtori taratibu na huenda Nyama tunazozitaka tutazikuta chini.
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Misri: Rais wa Zamalek atupwa jela kwa kumtukana Rais wa Al Ahly

    Mortada Mansour Rais wa Zamalek, Mortada Mansour amehukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela katika kesi aliyoshtakiwa na Rais wa Al Ahly, Mahmoud al-Khatib. Mansour, ambaye ni Mbunge wa zamani alikuwa akitumia nafasi yake hiyo kuzuia kushtakiwa lakini baada ya kupoteza katika uchaguzi wa Mwaka...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mabadiliko yametokea kwa sababu ya kutokuelewana

    Rais Samia amesema sababu nyingine ya kupangua wizara ni kwa sababu ya kutoelewana kati ya mawaziri na makatibu wakuu na manaibu waziri. Hali hiyo imeonesha kuwa kazi hazifanyiki. Rais amesema hii ni mara ya mwisho kupangua kwa sababu ya kutokuelewana, wakati mwingine atawaondoa wote badala ya...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nilidhani ningefika nao upande wa pili lakini ajali zinatokea

    Rais Samia amesema Waziri mmoja amedondoshwa kwa kuwa ni kawaida kwenye safari kuna ajali zinatokea. Amesema hayo katika hotuba yake baada ya kuwaapisha wateule wake aliowateua hivi karibuni. Rais amesema alitamani team yake ya awali amalize nayo hadi kufika ngwe ya pili (Muhula wa pili wa...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kila akisifia mazuri yaliyofanywa na Hayati Magufuli; Nderemo, shangwe na makofi hutawala. Hii ina maana gani?

    Asalaam Aleykum wapendwa wana jamvi. Ama baada ya salamu hizo napenda kuishukia mada tajwa hapo juu kama ifuatavyo; Nimefanya utafiti kulingana na kiwango changu cha elimu nilichonacho, nikagundua kwamba, kila mara Mh. Rais, mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hasani akimtaja mtangulizi wake kwa...
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha ndugu zangu wanaJF. Naungana na ndugu Charles Kitwanga kuhitimisha kwamba mama Samia ni Rais mzuri mwenye uwezo wa kuivusha nchi salama lakini amezungukwa na GENGE la watu (possibly SUKUMA GANG) wanaomshauri vibaya. Tangu Rais...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante sana Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said kwa Kutuandaa vyema Kisaikolojia wana Yanga SC na Wanamichezo nchini

    "Yanga SC imeshatimiza malengo yake ya kuingia Makundi CAFCC kwa mwaka huu na haya mafanikio ya sasa katika Mechi zetu za Makundi ni Bonus tu kwetu. Hivyo hata tukitolewa hatutokuwa na deni kwa Wachezaji wetu waliopambana," Injinia Hersi Said (Rais wa Yanga SC) alipokuwa akizungumza na kipindi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaishi mbele ya wakati

    Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa ukimsikiliza vizuri Rais Samia maneno yake, mikakati yake,matendo Yake, kauli zake, mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanyia unaona Ni kiongozi na Ni Rais anayeishi mbele ya wakati tuliopo,Jambo ambalo ni la bahati Sana kwetu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Sugu: Rais Samia ni mama msikivu nampigia simu hata usiku

    Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 'Sugu' amewaambia Wananchi wa Mbeya kuwa ana uwezo wa kumpigia simu Mh Rais Samia Suluhu Hassan hata usiku kumueleza changamoto za Wananchi wa Mbeya, kama aliweza kumpigia simu na aliweza kufika kwenye shoo yake usiku. Sasa atashindwa...
  18. benzemah

    JamiiForums Tanzania Mbowe anavyozidi kumshukuru Rais Samia tunajifunza nini?

    Sote tunakumbuka katika mkutano wa kwanza wa tangu kuruhusiwa tena kwa mikutano ya kisiasa nchini, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Aikaeli Mbowe, alitumia muda mrefu sana kumshukuru na kumuongelea Rais Samia Suluhu Hassam, maswali yalikuwa mengi miongoni mwa wana-CHADEMA na Watanzania...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia unda Kikosi Maalum cha Ujasusi ili kukupa Ukweli wa hiki ninachokisikia na kinachosikika

    Kuwa Siku hizi ili upate Uteuzi Serikalini au katika Taasisi au Mashirika za / ya Serikali mpaka Ubalozini na kupata Ziara za kwenda nje unatakiwa Kuandaa kati ya Shilingi Milioni Mbili hadi Milioni Saba na wakati mwingine hata Milioni 10 na Milioni za Kitanzania. Na Mheshimiwa Rais Samia...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Rais anayetafuta legacy ya kudumu asimamie mipango miji

    Akili na ustaarabu unaanzia kwenye mipango miji. Kama kuna Rais anayetafuta legacy ya kudumu asimamie mipango miji. Mipango miji ni legacy ya milele. Ukishapanga mitaa na barabara zitabaki hivyo milele. Ukishindwa kupanga kuja kurekebisha ni ngumu sana. Gharama yake ni kubwa sana kiasi kwamba...
Back
Top Bottom