rais

  1. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa deko analowapa CHADEMA linaiua CCM?

    WanaJf, Salaam! Viongozi wa CCM wamewapa deko CDM katika maeneo yafuatayo:- (a). Msigwa kusaidiwa fedha na kutolewa gerezani; (b). Mbowe kutolewa gerezani na kufutiwa kesi; (c). Lema kuvunja Sheria za nchi na kufutiwa kesi; (d). Bawacha kumwalika Rais kwenye maadhimisho yatakayopambwa kwa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Miaka miwili ya Rais Samia alifanya maamuzi ya busara kuruhusu chanjo ya UVIKO-19

    Ikiwa ni miaka miwili tangu Rais Samia Suluhu aingie madarakani kuna mengi ameyafanya lakini kuruhusu chanjo ya UVIKO-19 nchini na yeye kuwa wa kwanza kuchoma chanjo mbele ya watanzania wote yalikua ni maamuzi ya busara na ujasiri. Ilionyesha jinsi gani yeye ni kiongozi kwenye chochote...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, maeneo ya kufanya maridhiano ni mengi

    Waraka kwa Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan. Waraka huu nautuma kwa Mh Rais Dr Samia Suluhu Hassan kutokana na kuonyesha dhamira ya kweli ya upatanishi katika jamii ya watanzania. Mh Rais maeneo ya upanishi ni mengi sana kutokana na uonevu uliofanyika wakati wa Serikali ya awamu ya Tano. Eneo...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni kiongozi wa wote

    Katika Kuelekea kilele cha Siku ya wanawake Duniani, Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni Rasmi Siku ya Maadhimisho hayo Yaliyoandaliwa na Bawacha (CHADEMA). Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alisema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa maadhimisho hayo...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Baraza la Biashara Afrika Mashariki lamshukuru Rais Samia kwa kuwapa ardhi

    Baraza la Biashara la Afrika Mashariki limemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukabidhi ardhi kwa baraza hilo yenye ukubwa wa hekta tatu. Hati miliki ya ardhi hiyo namba 4/2 iliyopo eneo la Mateves mkoani Arusha, ilipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa EABC, John Bosco Kalisa. Kwa mujibu...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, mwagize RC. Amos Makalla amsaidie mjane huyu, ni aibu kwa Serikali Yako!

    KUNA mambo yanafanyika nchi ambayo unaweza kuyakuta katika Banana Republic tu au "nchi ya kusadikika" isiyojali wala kuzingatia haki na misingi ya kisheria. Wakati Rais Samia Suluhu Hassan akiagiza wavamizi wa ardhi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa KIA mkoani Kilimanjaro walipwe fidia Ili...
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Familia ya Hans Poppe kutinga kwa Rais Samia kudai mabilioni ya baba yao yaliyoporwa na Hayati Magufuli kwenye ‘plea bargain’

    Kama tunavyofahamu vigogo watatu wa SSC,Evans Aveva,Hans Poppe na Geofrey Nyange Kaburu walikuwa na kesi inayowakabili mahakamani. Kesi yenyewe ni kutoa taharifa za uongokuhusiana na malipo ya kodi kifungu 106(1) AC(1) cha income tax sura 332 REF 2008 Wakati Aveva na kaburu wanakamatwa Hans...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais wapunguzie kina Mbowe asali, wamepagawa

    Mheshimiwa Rais, Shikamoo. Pole na hongera kwa majukumu mazito ya kujenga Taifa. Nakuandikia andiko hili kukuomba kwa heshima na taadhima kubwa kwamba , Mheshimiwa. Tafadhali, Tafadhali sana. Sana sana. Wapunguzie akina Mbowe na genge lake asali. Inawalevya, Wanapagawa na wanafanya mambo mpaka...
  9. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia kutoa kauli ya "Mwanaume ni yule anayejiamini" ni kijembe Kwa Hayati Magufuli?

    Rais Samia ametoa kauli yenye utata mkubwa, wakati wa ziara yake huko Usa River, Arusha, hapo majuzi. Wakati akitoka kwenye semina elekezi ya viongozi waandamizi huko Arusha, alitoa kauli hii wakati anazungumzia ujio wa Godbless Lema, hapa nchini, kuwa "Mwanaume ni yule anayejiamini" na...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Kitakachofuata kwa Mdee na wenzake baada ya Rais Samia kuhudhuria mwaliko wa kongamano la BAWACHA, kitawaumiza sana CHADEMA

    Keshokutwa ni siku ya wanawake duniani na tayari BAWACHA kupitia Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe.Mbowe wamempa mualiko Mhe.Rais wa kuhudhuria kongamao la BAWACHA. Kwa mtazamo wangu Jambo hilo sidhani kama litawezekana Mhe.Rais kuhudhuria. Kwanza Kongamano hilo litafanyika Kilimanjaro hivyo uwezekano...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanikiwa kutatua migogoro ya kisiasa

    Rais Samia Suluhu alipoingia madarakani alikuta nchi iko katika hali mbaya ya kisiasa lakini aliamua kuunda nguzo 4 (4R) ambazo zitamsaidia katika kuiongoza Tanzania ambazo ni Reconcilation (Maridhiano) Resiliency (Ustahimilivu) -Reforms (Mabadiliko) -Rebuilding (Kujenga Upya) Kweli tunaona...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bodaboda ni watoto wangu nitakwenda nao 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema anatambua kundi la vijana waliojiajiri kupitia bodaboda na yuko tayari kwenda nao mpaka 2025. Rais Samia Suluhu alizungumza hayo aliposimama kuzungumza na wakazi wa Usa River wilaya ya Arumeru mkoani Arusha. Vijana hao wa...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maji atoa wiki 2 kwa mkurugenzi, Rais Samia apigilia msumari ''hi kero nisiikute''

    ENG. MARYPRISCA MAHUNDI - NAIBU WAZIRI WA MAJI ATOA WIKI 2 KWA MKURUGENZI, RAIS SAMIA APIGILIA MSUMARI ''HI KERO NISIIKUTE'' Mhe. Eng. Mahundi akiwa Usa River Ausha amesema kuwa Wizara ya Maji imepeleka neema ya miradi ya Maji ili kutimiza dhamira njema ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Halima na wenzake 18 kuambatana na Rais Samia mkutano wa BAWACHA?

    Najaribu kufikiri kwa kina kuhusu maamuzi haya mawili. Moja ni uamuzi wa chadema kupokea ruzuku inayotokana na wabunge haramu (covid-19). Tafsiri ya uamuzi huu ni kwamba Sasa chadema inawakubali na kuwatambua rasmi covid-19. Je, Halima Mdee na wenzake wakiomba kuhudhuria kongamano...
  15. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Urafiki wa CHADEMA na Rais Samia; Je, anajua vita hii kwa Wahafidhina ndani ya CCM?

    Salaam, Hilo ni swali kwa wana CCM na chawa wa Rais Samia. Je, mmejipanga au mnawahadaa CHADEMA, Wahafidhina ndani ya CCM hawashindwi wanakuacha ujimwambafy kwa muda tu. Tunawacheki tu na hayo maigizo yenu ya kulambishana asali.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya wale Viherehere na mwenye Chuki na Rwanda, Rais Kagame na Wanyarwanda mjibuni sasa Rais wa Ufaransa Macron

    " Congo DR iache kila mara Kulaumu Kuvamiwa na Rwanda, tumechoka na kabla ya Kuwashutumu Majirani zao Wajiimarishe hasa Kiusalama na Kuimarisha kama Taifa kwa Umoja na Kuwaunganisha Wakongo wote* amesema Rais wa Ufaransa Manuel Macron alipokuwa Ziarani nchini Congo DR. Chanzo Taarifa: Amka na...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais aliyekuwa akihonga wapinzani kama Hayati Magufuli (kuwalambisha asali)

    Kuna watu wanadai eti Magufuli alikuwa anataka upinzani imara tofauti na Samia ambaye inadaiwa amewalambisha asali. Napenda kuwakumbusha hawa wenye kumbukumbu fupi kuwa hakuna rais aliyetumia nguvu kubwa ili wamsifie kama Magufuli. Magufuli alikuwa akinunua madiwani na wapinzani kwenda CCM na...
  18. MK254

    JamiiForums Tanzania Waafrika weusi wafurushwa Tunisia baada ya amri ya Rais

    Wageni weusi kutokea mataifa kutokea mataifa mengine Afrika waanza kuikimbia Tunisia baada ya rais kufyatuka na kuwalaumu kwa wao kujaribu kubadilisha kizazi cha watu wa Tunisia (ambao ni waarabu) na pia kulaumu weusi kwa uhalifu. Makundi ya waarabu yameanza kutembeza kichapo kwa weusi...
  19. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Ibara ya 107B ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa mahakama zitakuwa huru kuendesha mashauri. Inashangaza Rais Samia kumfutia mharifu makosa Hii ni kinyume na katiba. 👇
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Zaytun Swai amuomba Rais Samia mashamba yafufuliwe ili kuinua uchumi wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AMUOMBA RAIS SAMIA MASHAMBA YAFUFULIWE ILI KUINUA UCHUMI WA ARUSHA Mbunge wa Viti Maalum CCM - Arusha na Mjumbe wa Kamati ya Bajeti ya Kudumu ya Bunge Mhe. Zaytun Swai amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kufufua Mashamba ya Maua na...
Back
Top Bottom