Sijatumwa na mtajwa hapo juu, wala sio shabiki wa mtu yoyote kwenye siasa.
Sema kutokana na uchapakazi wake, uadilifu na uongozi uliotukuka toka akiwa Hanang na Tanga vimenifanya nione kuwa ni mtu anaefaa kupewa nafasi ya ukuu wa mkoa wa Shinyanga.
Tanzania Bado ni nchi ya kikoloni!! Kama haupo kwenye cycle ya utawala utaendelea kutawaliwa TU!! Kila teuzi zinazotangazwa wanateuliwa wale wale ambao wamo kwenye uongozi na utawala miaka nenda Rudi!!
Hakuna namna ya kujikomboa kama vijana wa nchi hii!!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
Hii kauli imezoeleka sana na watanzania. Ukweli hii ni kumtukana Rais. Maana yake unasema kuwa Rais hawezi kung'amua ushauri mbaya na mzuri.
Kwamba wewe umeweza kuona ushauri mbaya aliopokea lakini Rais ana uwezo mdogo wa kutambua mambo hivyo amashindwa kujua zuri na baya!?
Wengi wanafikiri...
Kamishna Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anawatangazia wanachi kuwa wamiliki wa viwanja na mashamba kwenye orodha hii milki zao zimebatilishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi No. 4 Sura ya 113 kwa amri ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 3 na 8 Agost 2022...
Serikali Kupitia Rais imepambana sana kuhakikisha miradi mikubwa inafunguka kwa ajili ya kunufaisha Watanzania wote.
kwanini Mataragio na Genge lako hapo TPDC mnakwamisha mradi wa Gesi asilia? Mnazuia vibali vya makampuni kufungua vituo vya kujaza Gesi kwenye magari kwa maelekezo ya nani? Hata...
Baada ya kukwama mara ya kwanza hatimaye Mfanyabisahara maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz anatarajia kuanza rasmi utekelezaji wa mradi wake wa gesi nchini Kenya huku akisifia mazingira bora ya uwekezaji katika nchi hiyo.
Rostam kupitia kampuni yake ya Taifa Gas ameruhusiwa kutekeleza mradi...
Kitwanga anasema kuna kundi ambalo limejipenyeza kwa rais na kila mahala linamshauri vibaya Rais.
==========
WAZIRI wa zamani wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Charles Kitwanga, amesema kuna kundi linalomzunguka Rais Samia Suluhu Hassan ambalo limekuwa likiweka vigingi kwa watu, wakiwamo wataalamu...
Kapteni Paul Rukaria, amefungua mashtaka dhidi ya Rais #WilliamRuto na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga kutenguliwa Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Biashara la Kenya (KNTC).
Rukaria amedai kuwa Rais hakushauriana na Kamati ya Ushauri ya Mashirika ya Serikali kabla...
Tunapoelekea katika hio siku muhimu ya kuenzi kifo cha JPM, ni vyema huu mwaka Mh SSH akaitangaza rasmi hio siku kuwa sikukuu ya kitaifa, ili kuenzi mema na makubwa kabisa aliyo yafanya Hayati Dr. Magufuli.
17 march: Magufuli Day
Kwenu wakereketwa...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwapa ujuzi na mahitaji ya kuwawezesha kuanza shughuli za kilimo unakwenda kubadili hostoria ya Afrika.
Kupitia mpango huu wa BBT, kila kijana anapata fursa ya kuijenga kesho yake iliyo bora. Wakati suala la ajira likiwa changamoto...
Kwa mujibu wa Taarifa ya Ikulu ya #WhiteHouse, ziara hiyo inayoanza leo Februari 22, 2023 inalenga kuimarisha uhusiano kati ya #Afrika na #Marekani, kuangalia hali ya Usalama wa Chakula na Uwezeshaji wa Wanawake.
Hii itakuwa ziara ya 6 kwa #JillBiden kufika Afrika ambapo ziara 5 alikuja wakati...
Aisha Buhari amewataka wadukuaji kuondoa taarifa za uwongo walizoweka kwenye kurasa zake za Instagram na Facebook baada ya kumdukua kwa kuwa zinapotosha Jamii.
Kupitia kusara hizo ilichapishwa taarifa kuwa Benki Kuu ya Nigeria imesogeza mbele ukomo wa kubadili matumizi ya noti za zamani za...
Maafisa utumishi hii sio sahihi ...sina mshahara natafuta chakula Leo nikatoe kopi kibao.?
Open performance haiwezi Kwa kumtesa mtumishi kumuongiza gharama za ajabu ajabu.
Piga nakala 4 x opras 1 =700*4
MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ahadi ya kununua magoli yatakayofungwa na Simba SC na Yanga kwenye mashindano ya kimataifa iliyowekwa na Rais Samia Suluhu Hassan inaendelea hadi mwisho wa mashindano ambayo timu hizo zinashiriki.
Msigwa amesema katika michezo ya timu hizo...
Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi kuhusu vita vya Ukraine lakini pia tathmini ya hali ilivyo kimataifa pamoja na kutowa mwelekeo wa hali halisi ya nchi hiyo baada ya nchi za Magharibi kuiwekea vikwazo chungunzima. Hotuba hiyo ya Putin...
Hotuba ya mwaka ya Putin yatowa mwelekeo wa Urusi kuhusu vita nchini Ukraine wakati rais wa Marekani Joe Biden akitarajiwa kuwahutubia washirika wake akiwa Poland baada ya kuitembelea Kiev Jumatatu.
Hotuba ya Putin kwenye bunge la nchi hiyo imetowa tathmini kwa viongozi wa kisiasa na kijeshi...
Katika kuboresha huduma za mifugo na kuiepusha dhidi ya magonjwa, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia matumizi ya jumla ya Shilingi Bilioni 5.9 kwa ajili ya ujenzi wa majosho 257 katika Halmashauri 80, ambapo kati ya hayo tayari majosho 88 yamekamilika.
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.