Rais Mstaafu Edgar Lungu aishtaki Serikali kwa kumzuia kusafiri

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,120
1695047995565.png
Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu amefungua mashtaka hayo akidai Mamlaka za Nchi hiyo zilimzuia kwenda Nchini Korea Kusini kwaajili ya kuhudhuria Mkutano wa Amani.

Amesema alikutana na pingamizi la safari yake na kushushwa kutoka ndani ya Ndege huku akitajiwa sababu ni kutaka kusafiri bila kibali maalumu cha Serikali.

Lungu alipoteza Urais baada ya kushindwa katika Uchaguzi dhidi ya Rais Hakainde Hichilema mwaka wa 2021. Ingawa alitangaza kustaafu Siasa, tetesi zinadai anapanga kurejea upya na huenda akawania Urais mwaka 2026.

==========

Zambia's former President Edgar Lungu has taken the government to court after he was allegedly blocked from travelling to South Korea for a conference. It is alleged that Mr Lungu was invited for a world peace conference but when he was about to depart, he was ejected from his plane because he did not have the government’s clearance to travel.

Mr Lungu is now seeking a judicial review in the Lusaka High Court, where he is challenging the government’s decision to stop him from travelling to South Korea, according to court papers he has filed. His party, the Patriotic Front (PF), has condemned the government's alleged action, calling it illegal.

"If he is invited and the trip is paid for or he can meet the cost of his own trip and that of his entourage, he doesn't need to inform governments," argued Emmanuel Mwamba, the PF's spokesperson. Mr Mwamba said the former president had been stopped from travelling for a medical trip earlier despite seeking permission from the cabinet office.

"These draconian and dictatorial actions are a violation of fundamental rights of the former president and have no place in true democracy," he said. Mr Lungu lost power to incumbent Hakainde Hichilema in 2021.

Though he announced his retirement from active politics afterwards, it is widely believed he is eyeing a comeback and might run in the 2026 elections.

BBC
 
Huyu Edgar Lungu aachane na ndoto za kutaka kugombea tena urais kwani hiyo ni tamaa ya kijinga, hakuna atakachofanya ambacho alishindwa kufanya kwa kipindi alipokuwa rais.

Akumbuke alivyo mnyanyasa mwenzake wakati alipokuwa rais. Mema na mabaya unayofanya hapa duniani malipo yake huanzia hapa hapa duniani kwa Mungu ni fainali tu.
 
Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu amefungua mashtaka hayo akidai Mamlaka za Nchi hiyo zilimzuia kwenda Nchini Korea Kusini kwaajili ya kuhudhuria Mkutano wa Amani.

Amesema alikutana na pingamizi la safari yake na kushushwa kutoka ndani ya Ndege huku akitajiwa sababu ni kutaka kusafiri bila kibali maalumu cha Serikali.

Lungu alipoteza Urais baada ya kushindwa katika Uchaguzi dhidi ya Rais Hakainde Hichilema mwaka wa 2021. Ingawa alitangaza kustaafu Siasa, tetesi zinadai anapanga kurejea upya na huenda akawania Urais mwaka 2026.

==========

Zambia's former President Edgar Lungu has taken the government to court after he was allegedly blocked from travelling to South Korea for a conference. It is alleged that Mr Lungu was invited for a world peace conference but when he was about to depart, he was ejected from his plane because he did not have the government’s clearance to travel.

Mr Lungu is now seeking a judicial review in the Lusaka High Court, where he is challenging the government’s decision to stop him from travelling to South Korea, according to court papers he has filed. His party, the Patriotic Front (PF), has condemned the government's alleged action, calling it illegal.

"If he is invited and the trip is paid for or he can meet the cost of his own trip and that of his entourage, he doesn't need to inform governments," argued Emmanuel Mwamba, the PF's spokesperson. Mr Mwamba said the former president had been stopped from travelling for a medical trip earlier despite seeking permission from the cabinet office.

"These draconian and dictatorial actions are a violation of fundamental rights of the former president and have no place in true democracy," he said. Mr Lungu lost power to incumbent Hakainde Hichilema in 2021.

Though he announced his retirement from active politics afterwards, it is widely believed he is eyeing a comeback and might run in the 2026 elections.

BBC
Afadhali yeye kashushwa kwenye ndege,
Mwenzake alimnyanyasa sana, alimpigia mabomu kwenye makaazi yake, wafanyakazi wa mwenzake aliwabana korondani kwa vyombo maalumu ili tu waseme alipo mpizani wake,
Alimkamata na kumfungulia kesi ya uhaini.
Ningekuwa mimi ndiye rais wa Zambia, Lungu asingekuwa mtaani, ningekuwa nimemtafutia faili lake na kumtupa gerezani ili funzo kwa watawala wa aina ya Lungu.
 
Bara la Giza🤺
The dark Continent 🏌️
Hapa kina musukumah na Babu tale hawawezi elewa nimeandika nini,ingawa ni madakitari wa falsafa🤣🤣
 
Back
Top Bottom