rais

  1. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Ipo siku wale waliomtukana Rais Hayati Magufuli na sauti zao kuvuja watafunguliwa kesi ya Uhaini.

    Wasalaam JF, Ndugu Watanganyika wenzangu wakati vuguvugu hili la Bandari zetu kuwa katika hali ya sintofahamu. Niwakumbushe huyu Mwamba anaezuia mainstream media kuripoti taarifa mbalimbali za kukataa mpango wa Bandari zetu kugawiwa kwa DP World. Miaka kadhaa nyuma huyu bwana na wenzako...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu ana emotional intelligence, utulivu wa hali ya juu

    RAIS SAMIA SULUHU ANA EMOTIONAL INTELLIGENCE, UTULIVU WA HALI YA JUU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua hivi vyeo bhana ukileta mchezo unaweza kujikuta unafanya mambo ambayo hata wewe ukija kutulia unajishangaa. Vyeo vinaleta Kiburi, Jeuri na majivuno. mamlaka na utajiri bhana haviwafai...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Jakaya Kikwete: Msijaribu Kuchanganya Dini na Siasa Hata Kidogo

    "Napenda kuchukua nafasi hii kukumbushana kuhusu tunu nyingine muhimu nayo ni kutokuchanganya dini na siasa. Tukiivunja tunu hii gharama yake tutaiona, na kama kuna viongozi wa dini wanataka kutuelekeza kuitumia dini kwa manufaa ya kisiasa, na kama kuna viongozi wa siasa wanataka kuitumia dini...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo - Ikulu, Dar, leo Agosti 22, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mwenyeji wa Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Joko Widodo ambaye aliwasili Nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku mbili Tarehe 21 - 22 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=fD3KSwiNGxI...
  5. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Tumuombee Rais Samia afanikiwe katika kazi yake na watesi wake washindwe

    Tuifanye hii kuwa wikiendi ya kumuombea Rais ashinde katika kazi zake. Kwa kumtaja Rais wetu tumuombee kwa Mungu amuweke salama kwa kuwataja adui zake Rais, tuombe watu hawa washindwe. Tujizatiti kuikomboa nchi yetu kutoka kwenye vikwazo vyote. Tumuombee Rais, kila mtu kwa imani yake...
  6. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Fredrick Shoo asema Kanisa la Kilutheri lina imani na Rais Samia

    MHESHIMIWA RAIS KANISA LIPO PAMOJA NAWE Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Fredrick Shoo amesema Kanisa hilo lina imani na Rais Samia Suluhu Hassan na kwamba litaendelea kusimama naye katika maombi na kumuunga mkono katika kusukuma mbele gurudumu la maendeleo. Dkt...
  7. Patriot

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo Hajasema anaunga mkono Mkataba. Kasema uwekezaji

    Naangalia maoni ya wasomaji, na maneno ya rais, ufahamu ni tatizo. Kuna dalili za kushabikia maoni ya Askofu Shoo kama ahueni kufuatia Waraka wa Katoliki kumbe ni uzi ule ule! Katoliki hawakupinga Uwekezaji. Tatizo ni Mkataba. Askofu Shoo anasema anaunga mkono Uwekezaji. Hajasema anaunga mkono...
  8. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Wakati KKKT wakiunga mkono Uwekezaji Bandarini Rais Samia asema hakuna wa kuligawa Taifa

    "Nimeyasikia yote uliyoyasema kuhusu usalama, amani, umoja na muendelezo wa taifa letu, niliamua kunyamaza kimya, na naendelea kunyamaza kimya, nachotaka kuwahakikishia hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuligawa taifa hili, na hakuna mwenye misuli na ubavu wa kuuza taifa hili, na hakuna mwenye...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais wa Indonesia kuwasili Tanzania, leo Agosti 21 katika ziara ya siku mbili

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Segomana Tax ameelezea ujio wa kiongozi huyo, Rais wa Indonesia, Joko Widodo katika ziara yake ya siku mbili Nchini Tanzania. Waziri Dkt. Tax amesema ziara hiyo ni matokeo ya kazi kubwa anayoifanya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, usipuuze maono na ushauri wa viongozi wa dini.

    Wakati wa utawala wa Magufuli madhehebu ya dini ya Kikristo yalipoona uminywaji wa demokrasia na uhuru wa kujieleza, kupotea kwa watu uliokuwa ukifanywa na serikali, hayakukaa kimya yalitoa Nyaraka mbali mbali kumuonya Rais Magufuli na serikali yake. Lilianza Baraza la Maaskofu wa kanisa la...
  11. palalisote

    JamiiForums Tanzania Picha: Jakaya Kikwete akibusu mkono wa Papa Benedict

    The Roman Empire bado inatawala dunia. Wao kwa gharama yoyote ile watamuweka Rais madarakani.
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajua japo Rais ni sehemu ya Bunge, bado hana mamlaka ya kuliingilia Bunge? Ili kufuta IGA ya DPW, Rais anapaswa kulivunja Bunge?

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nikipata fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa, makala ya leo ni kuhusu Ijue Katiba: Japo Rais ni Sehemu ya Bunge, kwa kuliunda, kulivunja na kuridhia miswada kuwa sheria, lakini Rais Hana Mamlaka ya Kuliingilia Bunge?. Baraza la Maaskofu...
  13. Victoire

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Rais wa matajiri(?)

    Rais Samia tokea kaingia madarakani anafavor sana matajiri,yaani walionazo pesa tayari. Kwanza kabisa alimzawadia Mwinyi Rais mstaafu Benz la million 100. Imagine kuna watanzania hata maji ya kunywa hawana. Pili amekuwa akinununua magoli kwa Yanga na Simba ,team ambazo wawekezaji wake ni...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amtembelea Mkuu wa Majeshi wa Kwanza Mstaafu, Jenerali Mrisho Sarakikya, Nyumbani Kwake Arusha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Nkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
  15. Rutashubanyuma

    JamiiForums Tanzania Askofu Profesa Victor Chisanga kaambiwa na Mwenyezi Mungu asitii mamlaka kwenye swala na bandari bali ampinge Rais

    https://youtu.be/CsfIiDj5LQY Askofu profesa Victor Chisanga kwenye mahojiano yake na Jambo TV kadai ana maelekezo ya Mwenyezi Mungu lazima apinge mamlaka kwenye uwekezaji wa bandari na asipofanya hivyo atakwenda motoni.
  16. R

    JamiiForums Tanzania Rais akiri yapo mashirika yalikuwa yanakopa fedha ili watoe gawio kwa serikali

    Nchi hii in maajabu sana; tunadanganywa sana. Kama wapo wakurugenzi walikuwa wanakopa kudeclare gawio kwa serikali tena wakiwasilisha hizo taarifa kwa Mhe. Rais unajiuliza hadi udanganyifu huu ubarikiwe nani na kufanyika mbele ya camera wahusika walikuwa wananufaikaje? Je, hayo madeni nani...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mahakama yaagiza Rais Mstaafu wa Brazil kuchunguzwa kwa Ubadhirifu na Ukwepaji Kodi

    Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa Rais. Bolsonaro na Mkewe wametuhumiwa Kukwepa Kodi, Kuuza pamoja na kuondoka Ikulu na Vito vya Thamani...
  18. DALLAI LAMA

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia, Barabara ya Ngorongoro Crater ni mbovu, Watalii wanapata ajali mara kwa mara

    Rais Samia Pole na Majukumu ya Kuliongoza taifa. Kwa niaba ya madereva Guide wa Utalii nipende kuelezea kero juu ya kona kali ya perving ya kupandia kutoka ndani ya Crater. Mh Rais ni kwamba Mamlaka ya Ngorongoro imeshindwa kuchonga Mwamba hata mita mbili ili kuondoa wimbi la ajali inayotokea...
  19. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais haionekani tena Mtandaoni, itakuwa imekwenda wapi?

    Toka imeondoka nchini kuelekea kule Arabuni nadhani ndiyo ilikuwa safari ya mwisho hadi leo sijaona ikiwa hapa uwanja wa ndege Dar Es Salaam au kule Zanzibar. Kwenye ile rada maarufu ya kutrack ndege inayoitwa Flightradar24 haionekani, lakini ukiacha hiyo ambayo inawezekana ikafahamika ilipo je...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzindua Miradi Nane Kizimkazi Day"

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua na kuweka mawe ya msingi miradi nane yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni moja iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni kuelekea katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Day) linalotarajiwa kuanza Àgosti 26 mwaka huu. Akiota taarifa kwa vyombo vya...
Back
Top Bottom