Mbunge asema mbele ya Rais Samia kuwa Umeme umekatika mara 21 ndani ya siku mbili

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,812
11,987
Rais samia akiwasalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Jijini Dar es Salaam

MBUNGE: UMEME UMEKATIKA MARA 21 NDANI YA SIKU MBILI
Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Francis Ndulane akielezea changamoto ya umeme kukatika katika Jimbo hilo na kusababisha kero kubwa kwa Wananchi, amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan aliposimama kusalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam, leo Septemba 20, 2023.

Si jana walisema Lindi(Ruangwa) hakuna changamoto yoyote kila kitu kipo sawa au masikio yangu yalikuwa ni mabovu? hawa wapumbavu watabaki kuwa masikini haswa
 
Kuna jamaa mmoja kaambiwa "Tweeter moja yenye ujumbe wa kina ni zaidi ya taarifa ya habari ya TBC ya Mwezi mzima"
 
Bora hata kamwambia KIZIMKAZI hata hajui shida hii kwa Sasa. Nendeni na hili mkalitizame.YY akiwa bize na kuuza bandari tu
 
Rais samia akiwasalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Jijini Dar es Salaam

MBUNGE: UMEME UMEKATIKA MARA 21 NDANI YA SIKU MBILI
Mbunge wa Kilwa Kaskazini, Francis Ndulane akielezea changamoto ya umeme kukatika katika Jimbo hilo na kusababisha kero kubwa kwa Wananchi, amesema hayo mbele ya Rais Samia Suluhu Hassan aliposimama kusalimia Wananchi wa Somanga akiwa njiani kuelekea Dar es Salaam, leo Septemba 20, 2023.

Ni sahihi kabisa na Rais analijua hili hivyo wavute subira.

Shida za Tanesco ziko wazi kwamba inatakiwa pesa Ili kusiwe na shida za umeme hakuna blaa blaa.

Mwendazake hakuwekeza vya kutosha kwenye umeme ila alikomaa na bwawa tuu shida zake ndio hizi Sasa.
 
Si jana walisema Lindi(Ruangwa) hakuna changamoto yoyote kila kitu kipo sawa au masikio yangu yalikuwa ni mabovu? hawa wapumbavu watabaki kuwa masikini haswa
wewe mpumbavu kama huijui 'jeografia' ya nchi usiwe unaropoka,Ruangwa ni Kilwa? Kusema ukweli kama kuna hiyo changamoto ni kosa!! Shubaamiit zako.
 
Back
Top Bottom