rais

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rais Yanga: Ni kipimo kizuri kupangwa na Al Ahly

    ''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naibu Rais Gachagua: Tunajua China inatudai Pesa nyingi lakini tutakopa tena

    Akizungumza na Kituo cha Redio cha Inooro FM, Rigathi Gachagua amesema Rais William Ruto anatarajia kusafiri kwenda China kwaajili ya kuomba mkopo wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukamilisha miradi ya Barabara iliyokwama Ameongeza kuwa miradi mingi ilisimama kutokana na Wakandarasi kutolipwa...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kuifungua Tanzania, kuanza ziara ya kikazi Nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi nchini India kuanzia Tarehe 6-11 mwezi huu wa October kwa mualiko maalumu wa Rais wa nchi hiyo. Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Rais ameambatana na...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  5. JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Dkt. Samia akiendelea kufungua nchi!

  6. JamiiForums Tanzania Mahakama yasitisha utekelezaji wa Tamko la Rais kuanzisha pori la Akiba la Pololeti

  7. JamiiForums Tanzania Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

    Watanzania mchangamkie fulsa za mbogamboga na matunda. https://twitter.com/DIONIZKIPANYA25/status/1709048646375805055?t=HyUFD88LmFNZDr0eAmNBSQ&s=19
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Rais hamuamini Makamu wake?

    Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama...
  9. JamiiForums Tanzania Mageuzi anayofanya Rais Samia Suluhu kwenye kilimo hayakuwahi kutokea

    Idadi ya watu Duniani inatarajiwa kufikia watu bilioni 10 kufikia mwaka 2050,wakati nchini Tanzania idadi ya watu inatarajiwa kufikia 137 milioni.Idadi hii kubwa ya watu itahitaji chakula kingi ukilinganisha na chakula kinachozalishwa kwa sasa. Idadi kubwa ya watu inahitaji fursa za ajira pamoja...
  10. JamiiForums Tanzania This is Africa: Rais wa Nigeria yabainika alitumia cheti cha mwanamke kudanganya ni degree yake. Je, atawajibika kwa kuidanganya nchi anayoiongoza?

    Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao. Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria

    iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hassan awasili Doha, Qatar maonesho ya kilimo expo 2023

    Doha 2 October 2023 Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint...
  13. JamiiForums Tanzania Mbunge Atupele Mwakibete amshukuru Rais Samia, asema Busokelo Sekta ya Afya Wamepiga Hatua Nzuri Sana

    "Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeniteua tarehe 08 Januari, 2022 kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi. Alituheshimisha sana Vijana, alituheshimisha sana wana Busokelo na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla. Ninaamini nilifanya kazi kwa Weledi, Uaminifu na nina hakika bado...
  14. JamiiForums Tanzania Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

  15. JamiiForums Tanzania Mobhare Matinyi - Mpiganaji mpya wa Rais Samia kwenye ulingo wa habari na mawasiliano

    Na Kevin Lameck Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa. Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi. Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
  17. JamiiForums Tanzania Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

    Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote. Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote. Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Bandari ya Mombasa Haitabinafsishwa

    Kauli hiyo ya Rais wa Kenya inafuatia uwepo wa taarifa kuwa Serikali ina mpango wa Kubinafsisha Shughuli zote za Uendeshaji wa Bandari ya Mombasa, taarifa ambazo Ruto amezikanusha na kueleza Serikali yake inapanga kupanua Bandari kwa nia ya kuongeza utendaji kazi na kutoa ajira kwa vijana. Ruto...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Chuo cha Diplomasia sasa kitaitwa Chuo cha Dkt. Salim Ahmed Salim

    https://www.youtube.com/watch?v=Y8ALXkIaiow Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa shughuli ya Uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Dkt. Salim Ahmed Salim, leo Septemba 30, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es Salaam. Maktaba hiyo ya...
  20. JamiiForums Tanzania Uzalendo umeshuka na kutoweka kwa Watanzania bada ya Rais Samia kurithi Urais. Watanzania hawamuaamini kwa kila kila jambo

    Mitaani anaonekana ni rais anaendesha nchi kama picha tu huku wanaomua nchi iende vipi wapo kando . Ameonekana ni rais ambaye hana maamuzi ya msingi. Wanaoiba mali za umma kwa ufisadi mkubwa yuko nao. Watumishi wa hali ya chini wakiiba hata mil 5 anag'aka. Anaendesha nchi kwa kwa kudhibitiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…