Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,830
21,460
Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja.

Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport.

Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka.

Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia. Nikifika Nitakujulisha niliyoyakuta ila CCM ilipoteza Rais Kwa kweli.

Tutatembelea bandari ya Mwanza, Meli alizozijenga, uwanja wa ndege wa Mwanza na mradi wa SGR Mwanza kwenda Isaka.

Mwisho nitatembelea daraja la kigongo busisi na Nitapiga picha!

Tuko timu ya watanganyika tunazunguka nchi nzima kuangalia miradi iliyoanzishwa na Hayati magufuli Ili kuwaeleza na kuwaambia CCM sifa za Rais tu naye mtarajiwa 2025.
 
Mkuu nakushauri fika na kivukoni,kigongo-busisi. Hujasema mpaka useme.
CHADEMA MADE ME TO HATE MAGUFULI,am sorry for that. NOW I HATE CHADEMA AND ALL ANTI-MAGUFULISM FROM ccm. Tulimpoteza Rais wa kweli kwa siasa mbovu na ufisadi uliokitiri.
 
Ninarudia kusema CCMkumpoteza Magufuli Ili pata hasara ya Karne moja.

Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport.

Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka.

Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia. Nikifika Nitakujulisha niliyoyakuta ila ccm ilipoteza Rais Kwa kweli.
Kazikwe naye"ZZK".
 
Kwenye upande wa miundombinu JPM hakuna wa kumlinganisha.

Anzia Vituo vya Afya, Stendi, SGR, Bwawa la Mwalimu JN, Barabara za Mwendokasi, barabara za Mikoa, Vivuko, Ndege, Viwanja vya ndege n.k

Yaani fedha ilikuwa inaonekana inavyotumika, ila miaka hii pamoja na kukopa sijui hata hizo hela zinatumika wapi.

Ndiyo kwanza leo bei ya Petrol huku nilipo nimenunua 3,478 kwa lita 1.

Imagine unataka uende kusalimia Wazee kijijini utatumia fedha kiasi gani kununua Petrol?
 
Magufuli miaka 6 hajawahi kwenda Ulaya.
568CB46C-D6C8-4EA6-A84D-8007A0B97560.jpeg
 
Mastendi madaraja kakini watu maskini sisi CHADEMA tunasema maendeleo kwa watu kwanza akaunti zisome ajira mishahara minono nk nk.
 
Unamaanisha wasomi waliogushi majina na vyeti.? Hao ilikiwa ni lazima wamchukie tu.

Kuna mzee wangu alikuwa ni Dr mkoa mmoja kanda ya ziwa, lile fagia la mzee lilimpitia, yaani mpaka leo hataki kabisa kusikia habari za JPM.
Sijamaanisha hivyo mkuu, nimelenga wale waliohitimu na wala hafikiria kuajiri
 
Magufuli kwenye miundombinu sidhani kama unaweza pinga. Labda kama utaangalia namna tenda kampuni ya Nyanza ilipata na vitu kama hivyo.

Jingine ni vile alideal na Kibiti.

Huko naona alikua sawa. Ila kusitisha kuajiri 2015? Kuwapa mamlaka makubwa baadhi ya RC mpaka wengine kutishiana na PM

Hehehe
 
Back
Top Bottom