Rais Samia ateua Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,121
iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu

Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Aidha, Rais Samia amemteua George Daniel Yambesi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kwa kipindi cha pili.

IMG_20231002_212408_339.jpg
 
Na hii ndio sababu hasa akapewa digirii ya heshima (udakitari), teua...tengua!
 
iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu

Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Aidha, Rais Samia amemteua George Daniel Yambesi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kwa kipindi cha pili.

View attachment 2769855
Moja kwa moja kutokea....😍😍
 
Tusubiri bwana mbarawa aaaaa ,kwamba huu mkataba tuliona mboga mboga nyingi pale Doha ndio Mimi kuweka sahihi yangu ,kitila mkumbo ,,,kama mjuavyo mboga mboga hasa matembele kule tuliona yanarangi nyingi hivyo yatakuwa na faida nyingi lakini hata kwenye huu mkataba mnaona wenyewe 😎 ,,WASIRAAAAA jamani tunakwenda kulima mbogamboga pale mkuranga hivyo msiwe na wasiwasi hatujabinausishwa😎
 
iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu

Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Aidha, Rais Samia amemteua George Daniel Yambesi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kwa kipindi cha pili.

View attachment 2769855
Simu hizi DOHA ni ikulu Ndogo ya Tanzania ,? Mmmh 🤣🤣🤣 maaan nimeiona hapo
 
iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu

Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Aidha, Rais Samia amemteua George Daniel Yambesi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kwa kipindi cha pili.

Thank you President Samia for appointing a new SG of the Law Reform Commission of Tanzania. We wish Mr. George Nathanael Mandepo could hit the ground running! The Law Reform Commission of Tanzania is long time behind the time!

1696275815532.png

Here are the functions of the Commission....

1696276227318.png

1696276269812.png

1696276313291.png

1696276345546.png

1696276376738.png

1696276428849.png
 
Attachments

  • 1696276399416.png
    1696276399416.png
    9.4 KB · Views: 4
iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu

Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Aidha, Rais Samia amemteua George Daniel Yambesi kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU) kwa kipindi cha pili.

Pia mheshimiwa rais amewataka wananchi wengine wote kuendelea na majukumu yao kila mmoja kwa nafasi yake ndani ya Jamii, huku akiwataka wale wajishulishao na uharifu kuacha mara moja.
 
Back
Top Bottom