rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Chakwera apiga marufuku Safari za Nje za Viongozi pamoja na yeye mwenyewe

    Rais Lazarus Chakwera amesitisha mara moja safari zote za Kimataifa zinazomhusisha yeye na maafisa wote wa Serikali huku akiwaagiza Mawaziri wote walioko nje ya nchi kwa sasa kurejea haraka Nchini humo. Pia, Chakwera ameweka vikwazo vya Safari za ndani ya Nchi na kupunguza kwa nusu ya mgawo wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Erick Kabendera: Rais Samia “Thucydides Trap” haitakuacha salama

    Kwenye historia ya vita na mahusiano ya kimataifa, kuna nadharia inaitwa “Thucydides Trap” ambayo utumika kuelezea ulazima wa kutokea mgogoro au vita endapo taifa linalochipukia linapotishia kulizidi nguvu na ushawishi taifa lenye nguvu. Kama wewe ni msomaji wa siasa za Nicollo Machiavelli...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza waliokuwa wanaishi Bonde la Mto Msimbazi kinyume na sheria kulipwa Tsh. Milioni 4 kila mmoja

    Waziri wa TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa amesema kuwa Serikali itaanza kuwalipa wakazi wa Bonde la Mto Msimbazi Tsh. Mil 4 kila mmoja kama sehemu ya fidia ili wahame eneo hilo. Malipo haya yataanza kufanyika kuanzia Novemba 16, 2023. === Hisia mchanganyiko za wakazi wa bonde la Mto Msimbazi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Romania, Klaus-Werner Iohannis kufanya ziara ya Kiserikali Nchini Tanzania

    Kwa mujibu wa taarifa ya Gazeti la Daily news, Rais huyo wa Romania atawasili Nchini tarehe 16 Kwa ziara ya siku 3 ambapo pamoja na mambo mengine atafanya mazungumzo na Mwenyeji wake Rais Dk Samia. ========== Rais wa Romania Klaus Werner Iohannis anatarajiwa kuwasili nchini Tanzania kwa ziara...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia akikupa mualiko Ikulu wa dakika 5 utamshauri nini kama kijana wa kitanzania?

    Awamu ya sita ya mama Samia tumeona mengi yakifanyika ikiwemo utekelezaji wa miradi ya umwangiliaji ya kilimo, BBT, Ruzuku ya mbolea, Afya, Ajira, Veta, kupandishwa madaraja kwa watumishi nk Lakini pia zipo changamoto kadha wa kadha ambazo watanzania wanatamani wamfikishie Rais wao, nao wajione...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia ungana na upepo wa Paul Makonda

    Mhe. Mwenyekiti wa CCM Ndugu Samia Suluhu. Kwanza nikupongeze kwa kumpa nafasi Makonda. Umefanua jambo kubwa pengine zaidi ya kile ulichokilenga. Ndugu Paul Makonda Wengi wanaamini kuwa umerudisha fadhila kwa kijana aliyepanda mbegu ya fikra ya uteuzi wako kama mwanamke wa kwanza kwa nafasi...
  7. U

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Mohamed Melick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu TASAC

    Wadau hamjamboni Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi. --- Rais Samia amemteua Mohamed Malick Salum kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC). Kabla ya uteuzi huu Salum alikuwa Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria, Wizara ya Uchukuzi. Bw. Salum anachukua nafasi ya Bw. Kaimu...
  8. JamiiForums Tanzania "Try again" amefarijiwa na Rais wa FIFA Infantino. Kiaina

    Mechi ya finali ya African football league kati ya Mamelods na Wydad alifanyika baada ya Simba kucheza na Yanga na Namungo. Salimu Abdullah Try again alihudhuria mechi ya final kule South Africa na kukutana USO kwa USO na Rais wa FIFA huko. Try again amesema infantino alimwambia kuwa kuwa kwenye...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ateua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kama ifuatavyo:- Amemteua Dkt. Jones A. Killimbe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Mawasiliano...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani hata mjukuu wa Rais analindwa na ulinzi mkali

    Halafu watu wazima wanasema hana mamlaka makubwa --- Secret Service agents protecting Biden's granddaughter open fire when 3 people try to break into SUV Secret Service agents protecting President Joe Biden’s granddaughter opened fire after three people tried to break into an unmarked Secret...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Rais Samia hapa Duniani yameleta Nuru kwa mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna watu wamezaliwa na kuwepo hapa Duniani kama vyombo vitumiwavyo na Mwenyezi Mungu kuvusha,kuponya,kuokoa,kufuta machozi, kufariji na kuwapa matumaini watu wake.kuna watu Mungu yupo ndani yao na aliwaumba kwa makusudi maalumu na anaendelea kuwalinda na kuwainua ili...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia awatakia kheri watahiniwa wa Kidato cha Nne 2023

    Rais Samia Suluhu Hassan kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii amewatakia kheri wahitimu wa kidato cha nne wote nchini wanaoanza mitihani yao leo Jumatatu Novemba 13 na kutarajiwa kuimaliza Novemba 30, 2023. “Nawatakia kila la kheri wanafunzi wote wa Kidato cha Nne mlioanza mtihani wenu...
  13. D

    JamiiForums Tanzania Pale Rais wa Dunia alipowacheka Simba

    Wana-JF, Niwakumbushe tu kuwa Infantino ni Rais wa Dunia toka 2016. Kwa miaka 7 ya Urais wake kaona mengi sana katika soka, lakini waliomchekesha ni Makolo tu. Kama kuna Kolo anayebisha basi atume video ya Infantion akiwa katika wadhifa wake kama Rais wa FIFA akiicheka timu nyingine yoyote...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Barabara Mwanza Mjini ijengwe njia nne

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kufanya usanifu wa kina wa barabara za Mwanza Mjini hadi Round about ya Usagara na barabara ya Mwanza Mjini hadi Igoma ili zipewe kipaumbele katika bajeti ya mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne...
  15. JamiiForums Tanzania 4Rs za Rais Samia gumzo kila kona, Padri Kitima, Askofu Mwamakula, Zitto wakoshwa

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC), Charles Kitima, amesema dhamira ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kufanya mageuzi makubwa kwa kutumia falsafa ya uongozi kwa kutumia 4Rs, inajidhihirisha kwa vitendo. Mbalina Padri Kitima, Askofu Emmaus Mwamakula, ameelezea mageuzi ya Miswada ya...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Ndege kuipeleka Taifa Stars Morocco

    Ameandika Katibu Mkuu Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa "Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha Timu ya Taifa ya Soka kwenda Marrakesh Morocco ambako itaumana na Timu ya Taifa ya Niger katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ijayo ya Kombe la Dunia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia ziara za Makonda hazina positive impact kwa CCM zaidi ya kuonyesha mapungufu ya serikali ya rais Samia.

    Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu. Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata...
  18. JamiiForums Tanzania Makonda: Rais Samia hana deni

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa, Itikadi na Uenezi, Cde. Paul Makonda amesema Rais, Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini kwahiyo deni limebaki kwa wasaidizi wake kuhakikisha wanatekeleza miradi na kufanya kazi kwa bidii ili kuondoa...
  19. JamiiForums Tanzania Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

    Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan MBUNGE, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge wa Jimbo la Kaliua akikabidhiwa gari ya wagonjwa kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la kaliua huku Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mchengerwa amewataka wabunge kupanga gari hizo...
  20. JamiiForums Tanzania Tumpongeze sana Rais. Hapa sasa kweli mambo ni mazuri

    kwa sasa huwezi kujua kama bwana zitto kabwe yupo Tanzania au hayupo . huyu mpigania haki zetu watanzania. kwa sasa haki anapata sidhani kama ana sababu tena ya kupiga kelele. ametulia hii ni ishara kuwa rais anatimiza anayoyasema. anatimiza ahadi zake. zitto namjua angekuwa hapewi haki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…