"Try again" amefarijiwa na Rais wa FIFA Infantino. Kiaina

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,318
12,622
Mechi ya finali ya African football league kati ya Mamelods na Wydad alifanyika baada ya Simba kucheza na Yanga na Namungo. Salimu Abdullah Try again alihudhuria mechi ya final kule South Africa na kukutana USO kwa USO na Rais wa FIFA huko. Try again amesema infantino alimwambia kuwa kuwa kwenye mechi ya Simba vs Al-Ahly, Simba ilicheza vizuri kuliko mamelods na wydad kwenye mechi Ile ya finali. Habari hii ilimfurahisha sana mwamba try again kiasi Cha kuyaamini maneno ya Infantino kuwa Simba Iko vyedi kuliko mamelods na wydad kiuchezaji hadi kuja kuwahadithia wanasimba.

Hivi ni kweli Infantino alichomwambia try again au alimfariji kwa kumdhihaki ? Ni kweli Simba Iko vizuri kuliko mamelods? Try again anataka kuwaambia nini wanasimba Yao?
 
Mechi ya finali ya African football league kati ya mamelods na wydad alifanyika baada ya Simba kucheza na Yanga na Namungo. Salimu Abdullah Try again alihudhuria mechi ya final kule South Africa na kukutana USO kwa USO na Rais wa FIFA huko. Try again amesema infantino alimwambia kuwa kuwa kwenye mechi ya Simba vs Al-Ahly, Simba ilicheza vizuri kuliko mamelods na wydad kwenye mechi Ile ya finali. Habari hii ilimfurahisha sana mwamba try again kiasi Cha kuyaamini maneno ya Infantino kuwa Simba Iko vyedi kuliko mamelods na wydad kiuchezaji hadi kuja kuwahadithia wanasimba.

Uongo mkubwa huo wa Try Later.
 
Kwa hyo team ikifungwa goal tano ndio inakuwa haina mpira tena imekwisha watanzania kweli kwenye mpira bado al ahly alipigwa 5 na mamelody sundowns na akabeba Caf champions league ulaya liverpool alifungwa 7 na Aston villa man city na arsenal licha ya soka lao la kuvutia ila wanafungwa sasa shida iko wapi hapo au team ikifungwa ndio imeshuka kiwango mkuu jifunze mpira acha emotions.
 
Kama ilicheza vizuri kuliko mamelods kwanini wamfukuze kocha robertihno? Mmerogwa?
 
Kwa hyo team ikifungwa goal tano ndio inakuwa haina mpira tena imekwisha watanzania kweli kwenye mpira bado al ahly alipigwa 5 na mamelody sundowns na akabeba Caf champions league ulaya liverpool alifungwa 7 na Aston villa man city na arsenal licha ya soka lao la kuvutia ila wanafungwa sasa shida iko wapi hapo au team ikifungwa ndio imeshuka kiwango mkuu jifunze mpira acha emotions.
Watanzania kwenye mpira bado kuliko watu wa wapi? Kama goli 5 ni kitu cha kawaida kwanini afukuzwe kocha?
 
Hawa hapa sasa mbumbumbu
 
Watanzania kwenye mpira bado kuliko watu wa wapi? Kama goli 5 ni kitu cha kawaida kwanini afukuzwe kocha?
Goli 5 na aliyekufunga ni mpinzani wako mkuu si kitu cha kawaida lazima apatikane wa kubeba lawama na kocha ni rahisi zaidi kuibeba hiyo lawama. Ubovu wa Simba msimu huu utahitimishwa mwisho wa msimu sio kwa kufungwa na Yanga.
 
Mechi ya finali ya African football league kati ya mamelods na wydad alifanyika baada ya Simba kucheza na Yanga na Namungo. Salimu Abdullah Try again alihudhuria mechi ya final kule South Africa na kukutana USO kwa USO na Rais wa FIFA huko. Try again amesema infantino alimwambia kuwa kuwa kwenye mechi ya Simba vs Al-Ahly, Simba ilicheza vizuri kuliko mamelods na wydad kwenye mechi Ile ya finali. Habari hii ilimfurahisha sana mwamba try again kiasi Cha kuyaamini maneno ya Infantino kuwa Simba Iko vyedi kuliko mamelods na wydad kiuchezaji hadi kuja kuwahadithia wanasimba.

Hivi ni kweli Infantino alichomwambia try again au alimfariji kwa kumdhihaki ? Ni kweli Simba Iko vizuri kuliko mamelods? Try again anataka kuwaambia nini wanasimba Yao?
na hata kama alimwambia,yeye try again haioni timu yako inavyocheza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mechi ya finali ya African football league kati ya mamelods na wydad alifanyika baada ya Simba kucheza na Yanga na Namungo. Salimu Abdullah Try again alihudhuria mechi ya final kule South Africa na kukutana USO kwa USO na Rais wa FIFA huko. Try again amesema infantino alimwambia kuwa kuwa kwenye mechi ya Simba vs Al-Ahly, Simba ilicheza vizuri kuliko mamelods na wydad kwenye mechi Ile ya finali. Habari hii ilimfurahisha sana mwamba try again kiasi Cha kuyaamini maneno ya Infantino kuwa Simba Iko vyedi kuliko mamelods na wydad kiuchezaji hadi kuja kuwahadithia wanasimba.

Hivi ni kweli Infantino alichomwambia try again au alimfariji kwa kumdhihaki ? Ni kweli Simba Iko vizuri kuliko mamelods? Try again anataka kuwaambia nini wanasimba Yao?
Alimwambia mechi ya Simba na Al ahyl Simba ilicheza vizuri kuliko mechi ya fainali ya Mamelody na Wydad. Wapi amezungumzia Simba ni Bora kuliko Mamelody, halafu mkiambiwa wenye akili ni wawili mnalalamika.
 
Tatizo siyo yeye try again kuambiwa , kuambiwa na infantino sio kosa kabisa maana huwezi mzuia kusema. Tatizo ni kuyabeba maneno yale nankuyaleta kwa mashabiki wa simba, hili ni tatizo kubwa linaonesha uwezo wa viongozi hawa tulionao
 
Try again ameshawajua mashabiki anaowaongoza ni mambumbumbu wanapenda sana habari kama hizo kwahyo nae anatembea humo humo tu
 
Back
Top Bottom