rais

  1. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Ndege kuipeleka Taifa Stars Morocco

    Ameandika Katibu Mkuu Wizara ya Michezo, Gerson Msigwa "Rais Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan atoa ndege kwa ajili ya kuisafirisha Timu ya Taifa ya Soka kwenda Marrakesh Morocco ambako itaumana na Timu ya Taifa ya Niger katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ijayo ya Kombe la Dunia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kiuhalisia ziara za Makonda hazina positive impact kwa CCM zaidi ya kuonyesha mapungufu ya serikali ya rais Samia.

    Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu. Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Makonda: Rais Samia hana deni

    Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM-Taifa, Itikadi na Uenezi, Cde. Paul Makonda amesema Rais, Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo nchini kwahiyo deni limebaki kwa wasaidizi wake kuhakikisha wanatekeleza miradi na kufanya kazi kwa bidii ili kuondoa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan

    Kaliua Wapokea Gari la Wagonjwa Bungeni, Mbunge Kwezi Amshukuru Rais Samia Suluhu Hassan MBUNGE, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi, Mbunge wa Jimbo la Kaliua akikabidhiwa gari ya wagonjwa kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la kaliua huku Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mchengerwa amewataka wabunge kupanga gari hizo...
  5. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Tumpongeze sana Rais. Hapa sasa kweli mambo ni mazuri

    kwa sasa huwezi kujua kama bwana zitto kabwe yupo Tanzania au hayupo . huyu mpigania haki zetu watanzania. kwa sasa haki anapata sidhani kama ana sababu tena ya kupiga kelele. ametulia hii ni ishara kuwa rais anatimiza anayoyasema. anatimiza ahadi zake. zitto namjua angekuwa hapewi haki...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

    1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi ) J.Kalimteua. J.P.M amemteua. Na sasa Samia amemteua. 2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David ) 3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda. 4. He has a threatening aura...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nimesema tujiandae kisaikolojia kuhusu miswada ya leo bungeni, Kila kitu anachagua Rais tume ya uchaguzi directly or indirectly

    Tume huru ya uchaguzi iko wapi ikiwa kila kitu anachagua rais? directly or indirectly At least nilitegemea kitu kama hiki..... to say the least Pascal Mayalla Erythrocyte johnthebaptist 20. The Swedish Election Authority is organised as follows: 21. The Election Authority is governed by a...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika jijini Riyadh, Saudi Arabia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni aidhinisha fungu la Tsh. Bilioni 332.5 kwaajili ya Wabunifu wa Teknolojia, Afuta Kodi kwa Wabunifu Wafya

    Rais Yoweri K. Museveni amesema Bajeti hiyo itakuwa ikitengwa kila mwaka ikiwa na lengo la ili kukuza ubunifu wa Kiteknolojia nchini humo pamoja na kuwapa motisha Wabunifu wanaoingia kwenye Soko la Teknolojia. Kwa upande wake Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu Dk Monica Musenero...
  10. Patriot

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais, itazame nchi kwa umoja wake. Ukabila na upendeleo unashika kasi ukiwepo

    Kila aliyesikiliza mjadala wa ripoti ya CAG na majawabu ya mawaziri, ameelewa wazi kwamba mawaziri wanahusika na wizi huo. Kama wasingehusika, ingekuwa ni taharuki maana hakuna anayetaka kuibiwa. Pamoja na kuhusika ktk wizi, yaonekana wapo ktk nafasi kwa urafiki binafsi na rais, na kuna...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Saudi Arabia kushiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania,mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia,shujaa wa Afrika,simba wa nyika amewasili salama nchini saudi Arabia ambako atashiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia utakao fanyika November 10 mjini...
  12. F

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia tafadhali chunguza BRELA kwani ni kikwazo kwa wafanyabiashara, bila hongo hufungui kampuni

    BRELA wamekuwa sababu ya wafanyabiashara wengi kushindwa kurasimisha biashara zao kwani ukitaka kufungua kampuni utapitia machungu na mwisho utaacha kabisa. Brela wamekuwa wanafanya masahihisho ya maombi kwa mtindo wa kuchelewesha ili mwombaji atoe rushwa. Brela wanasahihisha neno moja moja na...
  13. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateua Mabalozi pamoja na kuvunja Bodi ya TCRA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi na kuvunja bodi kama ifuatavyo: 1. Amemteua Balozi James Gilawa Bwana kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Afrika kusini. Balozi Bwana anachukua nafasi ya Balozi Meja Jenerali Gaudence...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mabunge Duniani ni mfano "role model"

    Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU). Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye bahati Sana kupata HESHIMA hii. Tofaut na miaka mingi iliyopita, Mbeya Mjini tumepata Msomi na...
  15. benzemah

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Rais Samia amewaona waliodandia Treni

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiona ‘video clip’ ya abiria wa treni Jijini Dar es Salaam maarufu kama treni ya ‘Mwakyembe’ wakid andia na kuning’inia milangoni usiku. Kutokana na hatua hiyo, RC...
  16. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asema suala la kupanda kwa bei ya mafuta halifamfanyi akose usingizi, mikono yake imefungwa

    Katika mkutano wa bunge ulioitishwa na Rais Ruto kama kiongozi wa chama cha UDA na Muungano wa Kenya Kwanza, uliohudhuriwa na zaidi ya wabunge 200, ukweli wa gharama kubwa ya maisha ambayo kwa kiasi kikubwa imetokana na ongezeko la bei ya mafuta lilipewa umuhimu mkubwa. Vyanzo vilivyokuwa na...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi Afrika, Jijini Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=SJN3jOLB9G8 === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa IPU kwa kishindo, apata kura 172 kati ya 303

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa umoja wa mabunge duniani(IPU) leo Octoba 27, 2023. Kura 303 zilipigwa huku mshindi akihitaji angalau nusu ya kura hizo(kura 152) Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo Ms. Adji Diarra Mergane Kanouté(Senegal) kura...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Kigezo cha Ufaulu chawatema Wanafunzi 200 kwenye Samia Scholarship

    Wakati wanafunzi 226 wakitemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship’ kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo, Serikali imewahakikishia kupata mikopo ili waendelee na masomo yao. Wanafunzi hao ni kati ya 640 walionufaika na ufadhili huo katika...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Eti aliyeingiza jezi feki kutoka China analindwa na mtu kutoka juu?

    Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane na jezi hizo feki kutiwa kiberiti. Hata hivyo zipo taarifa kuwa mhusika wa jezi hizo ambaye ni...
Back
Top Bottom