Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Dec 7, 2018
718
1,643
1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )
J.Kalimteua.

J.P.M amemteua.
Na sasa Samia amemteua.

2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David )

3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda.

4. He has a threatening aura inayo mfanya aogopwe na viongozi walio chini yake na wananchi kwa ujumla jambo ambalo ni muhimu kwa kiongozi yoyote hasa wa nchi ya kiafrika kama alivyo sema Joseph Stallin alie wahi kuwa Rais wa USSR kwamba "I do rather be feared than loved"

Fear goes hand in hand with respect.

5. Ana EQ kubwa sana. Kwa kashfa alizopewa Makonda angekuwa mtu mwenye EQ ndogo angekuwa pengine amesha kufa.

6. Ni jemedari wa vita: ameshindana vita nyingi na kuvishinda. Vita vya nyama na vita cha rohoni.

Mfano we vita vya nyama = Makonda vs wauza dawa za kulevya. Makonda anabaki kuwa kiongozi pekee duniani ambae ameshindana na wauza dawa za kulevya na akaendelea kusurvive.

Vita vya rohoni = Gwjima akiwa live madhabahuni pake alimfuta katika ulimwengu wa siasa Paul Makonda lakini Makonda huyo bado anadunda jambo linalo dhihirisha nguvu ya Makonda katika ulimwengu wa roho. Ikumbukwe kuwa huyu Gwajima sio mtoto mdogo katika ulimwengu wa roho . Anatajwa kuwa mtu mwenye nguvu nyingi sana kwa upande huo. Huko mtaani kuna Tetesi kwamba hata yule kiongozi wa kiroho wa kanisa lile wanao vaa nguo nyeupe ambao waamini wake wana amini alipaa mbinguni ni Gwajima ndio ali" muua" katika ulimwengu wa roho. Inasemekana mdogo wake Gwajima alikuwa anasali kwenye kanisa la kiongozi huyo wa kiroho then siku moja wakaenda hija, wakiwa hija mdogo wake Gwajima pamoja na baadhi ya waamini wakapoteza maisha katika hali ya kutatanisha. Gwajima akampigia simu kiongozi huyo na kumwambia " ulicho mfanyia mdogo wangu ndio tutafanyiwa hivyo hivyo. Few days later kiongozi huyo akafa pia. So tunapo mtaja Gwajima jua tunamtaja mtu ambae ni giant katika ulimwengu wa roho. Lakini pamoja na yote hayo kamshindwa Makonda. Sawa hivi katika protocols za ccm, Makonda ni mkubwa kuliko Gwajima.

Ukitazama kinacho endelea katika maisha ya kisiasa ya Makonda unaweza kusema kwamba kwa sasa Makonda ana iishi ile Zaburi inayo sema " Bwana atafanya meza yangu machoni pangu mbele ya watesi wangu"

Itoshe kusema kwamba.Mungu wa Makonda ni mkubwa sana...

Watu aina ya Makonda ndio watu wanao pataga wafuasi watiifu kwa sababu siku zote watu huwa wanapenda kuwa wafuasi wa mtu asie ogopa na alie shinda vita nyingi kama.Makonda.. na sio mtu sijui mwenye PHD blah blah blah.

Kila sehemu anako pita watu wanamuona Makonda kama mtetezi wao au mtatuzi wa shida zao.

Mark my words Makonda atakuja kuwa Rais wa nchi hii ama baada ya Samia au baada ya Rais atakae kuja baada ya Samia.

CREDIT: UKURASA WA INSTAGRAM NA FACE BOOK wa LIKUD WA JAMII FORUMS.

CC: LIKUD
 
1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )
J.k alimteua.

J.p.m amemteua.
N.a. sasa Samia amemteua.

2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David )

3.Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda.

4. He has a threatening aura inayo mfanya aogopwe na viongozi walio chini yake na wanancho kwa ujumla jambo ambalo ni muhimu kwa kiongozi yoyote hasa wa nchi ya kiafrika kama.alivyo sema Joseph Stallin alie wahi kuwa Rais wa USSR kwamba " i do rather be feared than loved"
Fear goes hand in hand with respect.

5. Ana eq kubwa sana. Kwa kashfa alizopewa Makonda angekuwa mtu mwenye We ndogo angekuwa pengine amesha kufa.

6. Ni jemedari wa vita: ameshindana vita nyingi na kuvishinda.. vita cha nyama na vita cha rohoni.

Mfano we vita cha nyama = Makonda vs wauza dawa za kulevya. Makonda anabaki kuwa kiongozi pekee duniani ambae ameshindana na wauza dawa za kulevya na akaendelea kusurvive.

Vita cya rohoni = Gwjima akiwa live madhabahuni pake alimfuta katika ulimwengu wa siasa Paul Makonda lakini Makonda huyo bado anadunda jambo linalo dhihirisha nguvu ya Makonda katika ulimwengu wa roho. Ikumbukwe kuwa huyu Gwajima sio mtoto mdogo katika ulimwengu wa roho . Anatajwa kuwa mtu mwenye nguvu nyingi sana kwa upande you. Huko mtaani kuna Tetesi kwamba hata yule kiongozi wa kiroho wa kanisa lile wanao baada nguo nyeupe ambao waamini wake wana amini alipaa mbingubi ni Gwajima ndio ali" muua" katika ulimwengu wa roho. Inasemekana mdogo wake Gwajima alikuwa abazali kwenye kabisa kiongozi huyo wa kitoho then siku moja wanaenda hija, wakiwa hija mdogo wake Gwajima pamoja na baadhi ya waamini wakapoteza maisha katika hali ya kutatanisha. Gwajima akampigia simu kiongozi huyo na kumwambia " ulicho mfanyia mdogo wangu ndio tutafanyiwa hivyo hivyo. Few days later kiongozi huyo akafa pia. So tunapo mteja Gwajima jua tunamtaja mtu ambae ni giant katika ulimwengu wa roho. Lakini pamoja na yote hayo mnashindwa Makonda. Sawa hivi katika protocols za ccm, Makonda ni mkubwa kuliko Gwajima.

Ukitazama kinacho endelea katika maisha ya kisiasa ya Makonda unaweza kusema kwamba kwa sasa Makonda ana iishi ile Zaburi inayo sema " Bwana atafanya meza yangu machoni pangu mbele ya watesi wangu"

Itoshe kusema kwamba.Mungu wa Makonda ni mkubwa sana...

Watu aina ya Makonda ndio watu wanao pataga wafuasi watiifu kwa sababu siku zote watu huwa wanapenda kuwa wafuasi wa mru asie ogopa na alie shinda vita nyingi kama.Makonda..

kila sehemu anako pita watu wanamuona Makonda kama mtetezi wao au mtatuzi wa shida zao.

Mark my words Makonda atakuja kuwa Rais wa nchi hii ama baada ya Samia au baada ya Rais atakae kuja baada ya Samia.

CREDIT: UKURASA WA INSTAGRAM NA FACE BOOK AS LIKUD WA JAMII FORUMS.

CC: LIKUD
Utakuwa ufalme wa kisukuma sasa
 
Huyu kijana atunzwe, ameonekana ni kama magufuli part two. Wananchi walikata tamaa ya kumpata rais mwenye utisho/ haiba na kariba, mwenye utashi ' authoritative' kama magufuli. Kijana ni mfuasi wa siasa za magufuli na anazifuata hatua kwa hatua tena huyu atakuwa zaidi kuliko magufuli hapendi uzembe kazini. Hapa tu ni katibu wa uenezi na itikadi wa chama chake anafanya hivyo, je akiwa rais atafanyaje? mawaziri na watendaji wa serikali sasa hivi wanapekeshwa mchakamchaka hata kama hawapo mkutanoni watapigiwa simu watoe maelezo ya jambo fulani linalosuasua kutendwa katika wizara zao, ni magufuli style iliyoboreshwa
 
IMG_20231111_122044.jpg
 
1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )
J.k alimteua.

J.p.m amemteua.
N.a. sasa Samia amemteua.

2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David )

3.Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda.

4. He has a threatening aura inayo mfanya aogopwe na viongozi walio chini yake na wananchi kwa ujumla jambo ambalo ni muhimu kwa kiongozi yoyote hasa wa nchi ya kiafrika kama.alivyo sema Joseph Stallin alie wahi kuwa Rais wa USSR kwamba " i do rather be feared than loved"
Fear goes hand in hand with respect.

5. Ana eq kubwa sana. Kwa kashfa alizopewa Makonda angekuwa mtu mwenye eq ndogo angekuwa pengine amesha kufa.

6. Ni jemedari wa vita: ameshindana vita nyingi na kuvishinda.. vita vya nyama na vita cha rohoni.

Mfano we vita vya nyama = Makonda vs wauza dawa za kulevya. Makonda anabaki kuwa kiongozi pekee duniani ambae ameshindana na wauza dawa za kulevya na akaendelea kusurvive.

Vita vya rohoni = Gwjima akiwa live madhabahuni pake alimfuta katika ulimwengu wa siasa Paul Makonda lakini Makonda huyo bado anadunda jambo linalo dhihirisha nguvu ya Makonda katika ulimwengu wa roho. Ikumbukwe kuwa huyu Gwajima sio mtoto mdogo katika ulimwengu wa roho . Anatajwa kuwa mtu mwenye nguvu nyingi sana kwa upande huo. Huko mtaani kuna Tetesi kwamba hata yule kiongozi wa kiroho wa kanisa lile wanao vaa nguo nyeupe ambao waamini wake wana amini alipaa mbinguni ni Gwajima ndio ali" muua" katika ulimwengu wa roho. Inasemekana mdogo wake Gwajima alikuwa anasali kwenye kanisa la kiongozi huyo wa kiroho then siku moja wakaenda hija, wakiwa hija mdogo wake Gwajima pamoja na baadhi ya waamini wakapoteza maisha katika hali ya kutatanisha. Gwajima akampigia simu kiongozi huyo na kumwambia " ulicho mfanyia mdogo wangu ndio tutafanyiwa hivyo hivyo. Few days later kiongozi huyo akafa pia. So tunapo mtaja Gwajima jua tunamtaja mtu ambae ni giant katika ulimwengu wa roho. Lakini pamoja na yote hayo kamshindwa Makonda. Sawa hivi katika protocols za ccm, Makonda ni mkubwa kuliko Gwajima.

Ukitazama kinacho endelea katika maisha ya kisiasa ya Makonda unaweza kusema kwamba kwa sasa Makonda ana iishi ile Zaburi inayo sema " Bwana atafanya meza yangu machoni pangu mbele ya watesi wangu"

Itoshe kusema kwamba.Mungu wa Makonda ni mkubwa sana...

Watu aina ya Makonda ndio watu wanao pataga wafuasi watiifu kwa sababu siku zote watu huwa wanapenda kuwa wafuasi wa mtu asie ogopa na alie shinda vita nyingi kama.Makonda.. na sio mtu sijui mwenye PHD blah blah blah.

Kila sehemu anako pita watu wanamuona Makonda kama mtetezi wao au mtatuzi wa shida zao.

Mark my words Makonda atakuja kuwa Rais wa nchi hii ama baada ya Samia au baada ya Rais atakae kuja baada ya Samia.

CREDIT: UKURASA WA INSTAGRAM NA FACE BOOK wa LIKUD WA JAMII FORUMS.

CC: LIKUD
Kwa Gwajima waliyamaliza na wakaomba pamoja na miongoni Kwa mambo ambayo gwajima aliyasema anajutia ni kujizana na Pengo na makonda so wale ni wamoja sana na ndio wanaofukuzia kiti cha uraisi aidha makonda au Gwajima lazima mmoja atakamata pale juu

Itunze hii ni kweli na hakika itatukia
 
anatumika tu, wakimaliza wata damp kama wengine tu, raisi samia alikwenda mpka ikulu ya USA kumponda Magufuli na alitembea kila mahali akimkekejeli na kumdhihaki kwenye vyombo vya habari ya kimataifa hata alipokutana na Kamala Harris USA alimponda Magufuli na kumkejeli leo hii kaMakonda kaje kuanza kumsifia na kameteuliwa na raisi samia? Com on, man amka hiki kinachoendelea ni satanic …
 
Huyu kijana atunzwe, ameonekana ni kama magufuli part two. Wananchi walikata tamaa ya kumpata rais mwenye haiba na kariba, mwenye utashi ' authoritative' kama magufuli. Kijana ni mfuasi wa siasa za magufuli na anazifuata hatua kwa hatua tena huyu atakuwa zaidi kuliko magufuli hapendi uzembe kazini. Hapa tu ni katibu wa uenezi na itikadi wa chama chake anafanya hivyo, je akiwa rais atafanyaje? mawaziri na watendaji wa serikali sasa hivi wanapekeshwa mchakamchaka hata kama hawapo mkutanoni watapigiwa simu watoe maelezo ya jambo fulani linalosuasua kutendwa katika wizara zao, ni magufuli style iliyoboreshwa
Nakazia
 
Back
Top Bottom