Rais Museveni aidhinisha fungu la Tsh. Bilioni 332.5 kwaajili ya Wabunifu wa Teknolojia, Afuta Kodi kwa Wabunifu Wafya

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,119
1699616952455.png


Rais Yoweri K. Museveni amesema Bajeti hiyo itakuwa ikitengwa kila mwaka ikiwa na lengo la ili kukuza ubunifu wa Kiteknolojia nchini humo pamoja na kuwapa motisha Wabunifu wanaoingia kwenye Soko la Teknolojia.

Kwa upande wake Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu Dk Monica Musenero, akizungumza katika Wiki ya Taifa ya Sayansi, amesema Serikali haiwezi kushindwa kuwekeza kwa Wabunifu japo kwa bajeti ndogo. Pia, ametoa wito kwa Sekta Binafsi kuweka nguvu zaidi katika eneo la Ubunifu.

Ikumbukwe hadi sasa, Uganda imefanikisha kuundwa kwa Magari yanayotumia Umeme (EV) yakiwemo Mabasi ya Abiria kutoka kiwanda cha Kiira Motors kinachomilikiwa kwa Ubia kati ya Serikali na Sekta Binafsi.

==========

Uganda's President Yoweri Museveni has okayed an annual allocation of Ush500 billion ($133 million) to boost technological innovations in the country.

President Museveni also permitted tax exemption for products from local innovators who are just entering the market.

He made the pronouncements on Thursday while addressing innovators, government officials and investors on the fourth day of National Science Week at Kololo Ceremonial Grounds.

His pronouncement followed the presentations at the event by Science, Technology and Innovation Minister Dr Monica Musenero, her Finance counterpart Matia Kasaija and other investors on the challenges crippling the advancement of local innovations in the country.

“We have been putting money project by project as Kasaija said, but some people interfere with it and we can stop them,” he said.

“Therefore, we don’t have a problem with this minimum funding you (Dr Musenero) are talking about. The seed capital for innovations can be provided through this annual allocation of this money. If we can get the private sector who can bring additional venture capital, that is very good,” he added.

THE EASTAFRICAN
 
Kwa kweli endapo akifanya hivyo itakuwa ni njia moja wapo ya kuzaidia vijan wanaojikwamua kimaish kwani wengi watapata fursa mbalimbali za kitechnolojia, pia ata itazaidia uchumi wa nchi kukua kwa kazi
 
Back
Top Bottom