rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro ili kuelekea Katesh Wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro tarehe 7 Desemba, 2023 tayari kuelekea Katesh wilayani Hanang kulipotokea maafa ya mafuriko makubwa.
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi tuna haki kufahamu alipo Makamu wa Rais Philip Mpango

    Tulimpoteza Magufuli kwa sababu kuumwa hadi kuzidiwa kulifanywa National Bigly Secret ambapo wananchi hatukujulishwa iwapo anaumwa ama amezidiwa zaidi ya kustuliwa na taarifa ya kifo chake mnamo 17 March 2021. Rais ni wa Jamhuri ijulikane kuwa anamilikiwa na wananchi wote bila kujali itikadi...
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  4. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejea kuomboleza msiba wa Hanang au amekuja kutuhamishia Burundi?

    Naingia kwenye mada moja kwa moja sitaki kuwachosha. Mnakumbuka vizuri madhila yaliyotupata watanzania mwaka jana wakati serikali ilipoongezeka tozo za miamala maradufu hivyo kufanya maisha ya watanzania kuwa magumu maradufu. Kana kwamba hiyo haitoshi waziri wa fedha msomi, Mwigulu Nchemba...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Mauritania afungwa miaka 5 jela kwa makosa ya ufisadi

    Ni aliyewahi Mohamed Ould Abdel Aziz ambaye alikuwa Rais wa taifa hilo kati ya mwaka 2008 hadi 2019. Aziz amekutwa na hatia ya kujipatia mali kwa njia za haramu ikiwemo ubadhirifu. Mstaafu huyo pamoja na Viongozi wengine 10 wakiwemo waliowahi kuwa Mawaziri Wakuu walikuwa kwenye uchunguzi juu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Wanamibia wang'aka baada ya watoto wanne wa Rais kujumuishwa kwenye ujumbe wa Serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa COP28

    Baadhi ya WaNamibia wamekasirishwa baada ya kujua kwamba watoto wanne wa Rais Hage Geingob walijiunga na ujumbe wa serikali kwenye mkutano wa hali ya hewa wa COP28. Walikuwa miongoni mwa watu sita kutoka familia ya rais iliyoorodheshwa kama sehemu ya ujumbe wa Namibia huko Dubai. Ofisi ya Rais...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  9. W

    JamiiForums Tanzania Paul Barthélemy Biya’a ndie Rais mzee zaidi barani Afrika

    Paul Biya, Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982 Jina lake kamili ni Paul Barthélemy Biya’a bi Mvondo. Alizaliwa Februari 13, 1933 katika kijiji cha cha Mvomeka Nchini Cameroon, kwa sasa ana umri wa miaka 90. Amekuwa Rais wa Cameroon tangu mwaka 1982 baada ya Rais Ahmadou Ahidjo kujiuzulu ghafla...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya Makamu wa Rais ni yapi?

    Asalaam Aleykum. Leo nimelazimika kuuliza hili swali maana huwa hata sielewi maana ya hiki cheo kuwepo. Niliwahi kusikia kwamba mojawapo ya majukumu ya Makamu wa Rais ni pamoja na kushughulikia masuala ya mazingira. Sasa kama ni hivyo kweli, na huko Manyara tumepata mafuriko kutokana huenda...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wakati Watanzania takribani 50 wakiangamia huko Hanang na maelfu wakiachwa majeruhi, Rais wetu na Makamu wake hawako nchini

    Hii ni hali ya hatari. Inabidi Rais akatize kile anachofanya huko Uarabuni aje asimamie mapambano ya uokoaji. Yeye kama Amir jeshi mku wa vikosi vya ulinzi na usalama inatakiwa awe mstari wa mbele akiwa katika ardhi ya Tanzania. Rudi nyumbani mama utufute machozi kutuma Salaam za pole ukiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwani Rais huoni hili tatizo la CWT?

    i) Mapato yatokanayo na vitega uchumi vya chama mfano: Mwalimu house na ofisi za CWT kila mkoa (rent), je vinamnufaishaje mwalimu ambaye ni mchangiaji mkuu? ii) Kwanini C.W.T wanakusanya michango kwa wanachama kila mwezi badala ya kukusanya mara moja kwa mwaka kama vyama vingine? iii) Kwanini...
  13. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Rais akishamaliza muhula wake ndio uwe ukomo wake kwenye utumishi wa umma

    Rais ni madaraka ya juu kabisa kwenye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Yeye ndiye mkuu wa vyombo vyote vya ulinzi na usalama. Sheria ya Wastaafu inampa Rais unafuu mkubwa kuendelea kuhudumiwa na Hazina kwani pamoja na kujengewa makazi na serikali, anaokea mshahara 100% ya rais aliyepo...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

    Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais, nitaifuta TAKUKURU ni nitakamata waliowahi kuwa wakimbiza mwenge kitaifa. Hakutakuwa na ujambazi Wala ajari za barabarani.

    Wakuu, TAKUKURU kama Haina kazi. Rushwa ni Kila sekta. Nikiwa Rais maofisa wa TAKUKURU wenye miaka 40 kwenda juu nitawastafisha Kwa manufaa ya umma. Walio chini ya umri huo wanaenda depo la jkt mwaka mzima wakalime na kupata uzalendo. Wakifuzu wanahamishiwa halmshauri kwenda kupangiwa majukumu...
  16. JamiiForums Tanzania Wananchi wa tanzania wanampenda na kumuamini sana Rais samia, mataifa duniani yanamkubali mno

    Kwa upendo wa wazi na wa dhati walionao wa Tanzania dhidi ya kiongozi huyu mkuu wa nchi, wanatamani aiongoze Tanzania bila ukomo, lakini ndio hivyo tena anaheshimu na kuitii katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, dhidi ya utaratibu ukomo wa uongozi. Na kwahivyo baada ya ngwe zake kwisha...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Serikali ya Rais Ruto 'imeliteka' Bunge, sasa limekuwa 'hanisi'

    Azimio la Umoja One Kenya coalition party leader Raila Odinga now claims the Kenya Kwanza administration has captured the legislative arm of the government, thereby rendering Parliament unable to conduct its oversight role on behalf of Kenyans. Speaking during the burial of Phyllis Mawathe, the...
  18. JamiiForums Tanzania Kuna watu wameamua kumwambia ukweli Rais Samia

    Salam kwenu nyote, Haya mabadiliko na makelele ya wastaafu mnayo yasikia si bure. Tupongeze vyombo vya usalama kwa kuamua kumwambia ukweli kiongozi wa nchi. Na pia tuwapongeze kwa kumfanya aweze kujoamini katika kazi zake na maamuzi bila kuingiliwa. Hongera kwa vyombo vya usalama kwa kufanya...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya watumishi wa sekta ya afya waliopata ufadhili kupitia mpango wa “Samia health super specialisation scholarship program 2023/24”

    1. Hongera waliopata 2. Je, ni kweli wanalipa maana kumekuwa na tabia, tangu huko nyuma, ya kulipa kwa mbinde mpaka walio nje kufedheheka kwa kukosa huduma za kishule AU ni uchaguzi UNAKARIBIA. Short of that napongeza hatua hii.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Halmashauri ya CCM Taifa, Ikulu DSM Leo Novemba 29, 2023

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 29 Novemba, 2023 Ikulu Jijini Dar es salaam, Awali kikao hicho kilitanguliwa na kikao cha Kamati Kuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…