Rais Samia analazimisha kuizanzibarisha Tanganyika kwa nguvu

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,859
18,282
Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao wachina, wahindi, wakenya, n.k, na haijawahi kuwa shida.

Kinachoudhi na kusikitisha zaidi ni kitendo cha Rais Dr Samia kuwachukua wazanzibar (hata wasiokuwa na vigezo) na kuwapa vyeo hapa Tanganyika wakati watanganyika hawana kazi. Ukitembelea kwenye ofisi za umma utashangaa kuona utitiri wa wazanzibar wakiwa wamepewa nyadhfa mbali kama vile wakurugenzi, DAS, RAS, wakuu wa mashirika ya umma, wenyeviti wa bodi mbalimbali, n.k. Rais anafanya haya yote kwa makusudi na kwa lazima huku akiwaacha watanganyika wakipuyanga bila kazi. Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi.

Ndugu wanaJF na wananchi kwa ujumla, tuhuma hizi hazijaanza leo. Soma baadhi ya nyuzi zilizowahi kuwekwa humu kulalamikia upendeleo unaofanywa na mamlaka kwenye teuzi mbalimbali:

1. Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

2. Teuzi za Rais Samia kulikoni?

3. Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Kelele za watanganyika kukosa kazi baada ya kuhitimu zipo dhahiri. Hata humu JF siku za karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi zinazoonyesha wasomi wa Tanganyika kuhitimu vyuo vikuu na kuishia kufanya kazi za ovyo ovyo wakati kazi walizostahili kufanya zinagawiwa ovyo kwa wazanzibar. Nyuzi zifuatazo ni sehemu ya ushahidi huo:

1. Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

2. Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

3. Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

MAONI YANGU
Idadi ya watu wa Zanzibar (Pemba, Unguja na visiwa vingine) haipindukii milioni moja. Tanganyika ina idadi ya zaidi ya watu milioni 64. Sasa iweje Zanzibar yenye watu wachache kiasi hiki wananchi wake wapewe kipaumbele huku watanganyika walio wengi wanaendelea kusaga meno?

Ifike mahali katiba itamke bayana idadi ya nafasi wanazostahili wazanzibar (kwa kufuata uwiano wa idadi ya watu) badala ya kufanya teuzi kibubu na kusababisha malalamiko. Na tunapendekeza hili jambo liingizwe kwenye katiba mpya kabisa ili kukata mzizi wa fitna.

Nawasilisha.
 
Wabunge wetu ni mazwazwa ndo wametufikisha huko. Ndani ya CCM kuna machawa wengi ambao ni maseti tupu vichwani mwao
 
Karibu kunakucha ,
 
Hii issue naona kila siku tutazidi kulaumiana tu, ikipatikana Katiba bora ikawabana hawa jamaa kufanya haya mambo ndio tutapata majibu ya maana, lakini tofauti na hapo sioni kama midomo yetu itakuja kuwafunza chochote hawa watawala.

Bila shaka Samia alijifunza kwa Magufuli, akaona jinsi mambo yalivyokuwa yakifanywa na mtangulizi wake, nae amekuja kuendeleza pale alipoishia mtangulizi wake, inshort ana experience na exposure ya kile anachokifanya ndio maana haogopi chochote.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo nchi hii imejaa michawa kila kona. Na uchawa unaua uzalendo kabisa. Mijitu inayofanya vetting kwa kumfurahisha rais na yenyewe ni michawa tu. Haina uzalando hata kidogo. Kwanini ijaze nafasi nyingi kwa wazaznzibar huku watanganyika wakikosa kazi za kufanya?

Kwanza wizara ya TAMISEMI sio ya muungano. Hii ni wizara ya watanganyika. Sasa inashangaza eti hadi DAS, RAS na wakurugenzi eti nao wanatokea Zanzibar? Nchi ya kipuuzi sana hii.
 
Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao wachina, wahindi, wakenya, n.k, na haijawahi kuwa shida.

Kinachoudhi na kusikitisha zaidi ni kitendo cha Rais Dr Samia kuwachukua wazanzibar (hata wasiokuwa na vigezo) na kuwapa vyeo hapa Tanganyika wakati watanganyika hawana kazi. Ukitembelea kwenye ofisi za umma utashangaa kuona utitiri wa wazanzibar wakiwa wamepewa nyadhfa mbali kama vile wakurugenzi, DAS, RAS, wakuu wa mashirika ya umma, wenyeviti wa bodi mbalimbali, n.k. Rais anafanya haya yote kwa makusudi na kwa lazima huku akiwaacha watanganyika wakipuyanga bila kazi. Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi.

Ndugu wanaJF na wananchi kwa ujumla, tuhuma hizi hazijaanza leo. Soma baadhi ya nyuzi zilizowahi kuwekwa humu kulalamikia upendeleo unaofanywa na mamlaka kwenye teuzi mbalimbali:

1. Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

2. Teuzi za Rais Samia kulikoni?

3. Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Kelele za watanganyika kukosa kazi baada ya kuhitimu zipo dhahiri. Hata humu JF siku za karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi zinazoonyesha wasomi wa Tanganyika kuhitimu vyuo vikuu na kuishia kufanya kazi za ovyo ovyo wakati kazi walizostahili kufanya zinagawiwa ovyo kwa wazanzibar. Nyuzi zifuatazo ni sehemu ya ushahidi huo:

1. Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

2. Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

3. Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

MAONI YANGU
Idadi ya watu wa Zanzibar (Pemba, Unguja na visiwa vingine) haipindukii milioni moja. Tanganyika ina idadi ya zaidi ya watu milioni 64. Sasa iweje Zanzibar yenye watu wachache kiasi hiki wananchi wake wapewe kipaumbele huku watanganyika walio wengi wanaendelea kusaga meno?

Ifike mahali katiba itamke bayana idadi ya nafasi wanazostahili wazanzibar (kwa kufuata uwiano wa idadi ya watu) badala ya kufanya teuzi kibubu na kusababisha malalamiko. Na tunapendekeza hili jambo liingizwe kwenye katiba mpya kabisa ili kukata mzizi wa fitna.

Nawasilisha.
Wivu mtupu. JPM alijaza ndugu zake wasukuma, wazinza na wanyantuzu kwenye halmashauri zote nchini na hakuna aliyeinua mdomo wake.
 
2025 ndani ya CHAMA achukue fomu na kipitishwa mtanganyika CCM tunaomba, hii colambo mwinyi mzenji Samia mzenji linavyokwenda muda mrefu mtakipata Cha mtemakuni....
 
Kinacho takiwa ni kuvunja huo upuuzi unaitwa "muungano" usio kua na maana hata kidogo, ili Kila mmoja afunge magoli yake😡😡😡, wapigie mstali hadi dunia inapinduka hawatawahi tena kutawala tanganyika, washukuru kuogota pooza chini ya mnazi 😡😡😡
 
Tulizoea kuona wazaznzibar (maarufu kwa jina la wapemba) wametapakaa kila mahali hapa Tanganyika wakifanya biashara na shughuli nyingine za kiuchumi. Hili kama watanganyika hatuna shida nalo. Hawa ni wajasiriamali na watafutaji kama walivyo watu wa mataifa mengine waliomo hapa nchini. Tunao wachina, wahindi, wakenya, n.k, na haijawahi kuwa shida.

Kinachoudhi na kusikitisha zaidi ni kitendo cha Rais Dr Samia kuwachukua wazanzibar (hata wasiokuwa na vigezo) na kuwapa vyeo hapa Tanganyika wakati watanganyika hawana kazi. Ukitembelea kwenye ofisi za umma utashangaa kuona utitiri wa wazanzibar wakiwa wamepewa nyadhfa mbali kama vile wakurugenzi, DAS, RAS, wakuu wa mashirika ya umma, wenyeviti wa bodi mbalimbali, n.k. Rais anafanya haya yote kwa makusudi na kwa lazima huku akiwaacha watanganyika wakipuyanga bila kazi. Huu ni zaidi ya uhujumu uchumi.

Ndugu wanaJF na wananchi kwa ujumla, tuhuma hizi hazijaanza leo. Soma baadhi ya nyuzi zilizowahi kuwekwa humu kulalamikia upendeleo unaofanywa na mamlaka kwenye teuzi mbalimbali:

1. Teuzi za Rais Samia zina upendeleo?

2. Teuzi za Rais Samia kulikoni?

3. Wafahamu Wajumbe wa Bodi ya TCRA iliyovunjwa

Kelele za watanganyika kukosa kazi baada ya kuhitimu zipo dhahiri. Hata humu JF siku za karibuni kumekuwa na nyuzi nyingi zinazoonyesha wasomi wa Tanganyika kuhitimu vyuo vikuu na kuishia kufanya kazi za ovyo ovyo wakati kazi walizostahili kufanya zinagawiwa ovyo kwa wazanzibar. Nyuzi zifuatazo ni sehemu ya ushahidi huo:

1. Nimekutana na Degree Graduate wa HR kutoka Mzumbe anauza Pub

2. Mzazi unasomesha mtoto aje kuuza chips na kuwa bodaboda. Inahuzunisha sana!

3. Graduates wengi tunapitia wakati mgumu sana, sema jamii inaona kama hatujielewi

MAONI YANGU
Idadi ya watu wa Zanzibar (Pemba, Unguja na visiwa vingine) haipindukii milioni moja. Tanganyika ina idadi ya zaidi ya watu milioni 64. Sasa iweje Zanzibar yenye watu wachache kiasi hiki wananchi wake wapewe kipaumbele huku watanganyika walio wengi wanaendelea kusaga meno?

Ifike mahali katiba itamke bayana idadi ya nafasi wanazostahili wazanzibar (kwa kufuata uwiano wa idadi ya watu) badala ya kufanya teuzi kibubu na kusababisha malalamiko. Na tunapendekeza hili jambo liingizwe kwenye katiba mpya kabisa ili kukata mzizi wa fitna.

Nawasilisha.
Mwalimu Nyerere alisema mwanasiasa aliyefilisika hukimbilia kwenye Udini na ukabila. Sifa hizo tunaziona kwa sa100
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom