rais

  1. JamiiForums Tanzania Muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu

    Kulingana na hali ya kisiasa na matukio ya awali, Huu ni muktadha wa jinsi Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, alivyoweza kuimarisha ustahimilivu katika demokrasia ya Tanzania hadi wakati huu. 1. Mwelekeo wa Kusikiliza na Kujenga Ushirikiano • Rais Samia ameonyesha mwelekeo wa kusikiliza...
  2. JamiiForums Tanzania Ili kuisaidia nchi na kumsaidia Rais Samia, je tumfanyie an honest MTR based on SMART Objectives za tulipotoka, tulipo to determine tunapokwenda?

    Wanabodi, Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo la kuchanganya Lugha JF ilipoanzishwa, it was meant to be an online user generated social forum, mtu una post chochote, kwa lugha yoyote ya public, bila kuvunja kanuni za jf. Kwa kadri jf inavyozidi kukua, inazidi kuimarika na kuzidi kuboreka...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia umetukosea sana Watanzania, tunajihisi aibu mbele ya walimwengu

    Bandugu, Nimepokea kwa mshtuko, mshangao na aibu nilipomsikia Rais wa JMT Dk. Samia Suluhu Hassan akiutangazia Dunia kuwa tayari amemaliza kurekodi muvi inayoitwa "Kijiji Cha Milele". Nimejihisi aibu hata kama chawa watakuja kutetea utalii na Kubidhaisha lugha ya Kiswahili duniani. None sense...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wanaomkosoa sana Samia sasa hivi ndio watakaomkumbuka siku Mwigulu au Makonda ndio Rais wa Tanzania

    Tanzania ina matatizo mengi, na Samia anastahili lawama kwa baadhi ya matatizo yanayoikabiki Tanzania kwa sasa kama hili la mgao wa umeme n.k Lakini kama wewe unaamini kama mimi kuwa maendeleo ya watu yanapaswa kuendana na uhuru, umoja na mshikamano wa taifa yafaa tukumbuke tulikotoka na ku...
  5. JamiiForums Tanzania Naongea na Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Mh Rais naomba nikupongeze kwa kazi nzito unayo ifanya ambayo inakugharimu Muda mwingine usilale ukihangaika huku na huko. nakumbuka siku za hivi karibuni nilishawahi kukutana na msafara wako huko Kawe siku ya Jumapili saa 3 kuelekea 4 za usiku. nilipo kuwa kwenye foleni ya kukungoja upite...
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Anne Rwigara afariki dunia. Ni dada wa Diane aliyejaribu kugombea Urais dhidi ya Kagame. Mama asema kifo hicho ni fumbo

    Anne Rwigara wa Rwanda amefariki dunia huku Mamake Anne alinukuliwa akisema kifo cha bintiye kilikuwa "fumbo" kwani hakuwa mgonjwa. Vyanzo kadhaa vinashiriki maelezo ya kuhuzunisha ya kifo chake, vikidai kwamba baada ya masaa nane ya kulalamika kuhusu maumivu ya tumbo, viungo vingi vya mwili...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa kama nchi zilizoendelea, hili swala la umeme lingetosha kabisa Rais kujiudhulu

    Umeme imekuwa kero sana hapa Tanzania kiasi biashara haziendi kama saloon, mboga kama nyama, samaki nk ambazo zinapaswa kutunzwa kwenye friji. Sijui kwa nini Rais Bado Yuko madarakani tena naskia eti anapewa hata PhD bila aibu kabisa. Na sisi watanzania jamani tuamke maandamano siyo dhambi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania BASATA ni lini mtampa tuzo rais Samia kwa uwezo wake mkubwa wa kuigiza?

    Kwa miaka yote ktk harakati zake za kisiasa rais Samia alikuwa hajajipata kipaji chake. Lkn alipoingia ikulu ndipo kipaji chake cha uigizaji kikadhihirika na sasa kimekomaa. Alianza na movie ya "Royal tour" na leo ameweka wazi kuwa movie yake mpya iitwayo "Kijiji cha milele" inakuja sokoni...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

    Nimelazimika kuuliza hii kitu, ni muhimu sana kujua. Makala nzito iliyojaa critical analysis na ikapatikana kwenye national au International journals. Paper fulani hivi ya kuzungumzia changamoto mtambuka za jamii yetu ya Kitanzania. Mambo haya yanaakisi sana uwezo wa mtu. Nafikiri ana Degree na...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA), leo Desemba 28, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu ya Usimamizi ya Utalii na Masoko ya Chuo Kikuu cha Zanzibar (SUZA) leo tarehe 28 Desemba, 2023, Zanzibar. https://www.youtube.com/live/3ojgVNt8bpA?si=ipW9NnuOK_nJzT1c Mhe. Rais Samia...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

    Kuna gia ya angani ilipigwa hapa katikati, shwaaaaaa tukashtukia mtu anaitwa Daktari. Kutoka form four mpaka kuwa Daktari ni gia kubwa. Hii ni gia ya SCANIA, unapiga mpaka msuli wa kiwiko unavimba. Utaratibu wa Doctorates ni kwamba, mtu anayetakiwa kuitwa Daktari ni yule tu ambaye aliusomea...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akitaka akumbukwe kwenye utumishi wake basi asiendeshe uchaguzi bila Tume Huru za Uchaguzi Zanzibar na Tanganyika

    Habari wanajamvi, Huyu mama amekuwa anaupiga mwingi mpaka unamwagika, lakini akitaka tumkumbuke katika utumishi wake asithubutu kutumia fedha hata senti 5 kuendesha uchaguzi kiiinimacho bila tume huru ya uchaguzi Zanzibar na Tanganyika. Tukubaliane kabisa na wapinzani mkubali hizo fedha...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Siku nikiwa Rais, mnaozaa hovyo mtanikoma

    (a) Yaani wewe mdada ambaye huna mume halafu una watoto 2 au zaidi wa baba tofauti utaozea jela. (b) Wewe mwanaume ambaye hueleweki unafanya kazi gani halafu una watato 2 au zaidi utaozea gerezani. (c) Madereva bodaboda/bajaji na machinga marufuku kuwa na watoto. Nitaanzisha utaratibu wa kila...
  14. JamiiForums Tanzania Igunga: Wazee Wampongeza Rais Dkt. Samia kwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote

    IGUNGA: "WAZEE WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwasikiliza Wazee wa Kata ya Isakamaliwa kwenye Kikoa cha Wazee. Mhe. Ngassa (MB) ametumia siku ya Sikukuu ya Noeli (Krismasi) kuongea na Baraza la Wazee wa...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia

    Mbunge Cherehani: Tusiache Kumuombea Rais Samia Mbunge wa jimbo la Ushetu Mhe. Emmanuel Cherehani amewahimiza waumini wa dini zote kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassa ili kumpa nguvu zaidi katika kuwatumikia watanzania Wito huo umetolewa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania 4U (siyo 4R) za Rais Samia zitaliangamiza lile kundi la CCM toka kanda pendwa

    Rais Samia nimemaliza kumsoma na kuelewa mbinu anazotumia ktk uongozi wake. Anatumia 4U (Uongo, ulaghai, ucheleweshaji na upotoshaji), na siyo 4R kama alivyoutangazia umma. Nitatoa mifano ktk kuelezea hoja yangu. Mfano wa kwanza Aliudanganya umma (uongo) kwamba anataka 4R ili kuwepo na...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Bil 2.4 Malipo ya Wafanyakazi wa Urafiki

    CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), kimeipongeza Serikali kwa kutoa sh. bilioni 2.4 za malipo ya wanachama wao waliokuwa wanafanya kazi katika Kiwanda cha Nguo Urafiki ambapo madai yao yamedumu kwa kipindi cha miaka 10. Mball na serkali kutoa...
  18. JamiiForums Tanzania Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi shtuka hakuna kiongozi hapo

    Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi. Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo; ....uongozi duni. ....huduma za jamii kulemaa. ....upungufu wa umeme. ....ufisadi kutamalaki. ....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi...
  19. JamiiForums Tanzania Nitaachaje Kumpenda Rais mwenye Maamuzi Mema ya Kiutendaji kwa Wananchi wake kama huyu wa Nigeria?

    Rais wa Nigeria Bola Tinubu kupitia Waziri wake wa Maendeleo na Madini ameamuru kuanzia Jana tarehe 20 Desemba, 2023 hadi tarehe 4 January, 2024 Treni zote za nchini Nigeria kubeba bure Wananchi wanaoenda Kutembelea Ndugu zao Kipindi hiki cha Sikukuu za mwisho wa mwaka ( Christmas na Mwaka Mpya...
  20. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahojiano na Rais mwisho wa mwaka 2023

    RAIS KWA MASAA MAWILI ANATETEA SERA ZAKE KAMA KIONGOZI MKUU WA SERIKALI Katika mahojiano mubashara, rais ameamua kuongea na waandishi wa habari wa vyombo tajwa ili kuelezea mikakati anayokusudia kukamilisha bila kutegemea msemaji wa serikali kufafafanua bali kuonesha yeye kama rais anaongea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…