rais

  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atuma Salamu Nzito za Pongezi kwa Rais wa Afrika kusini kwa kuchaguliwa kwake Awamu ya pili.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Samia Suluhu Hasssan ametuma salamu nzito za pongezi kwa Mheshimiwa Cyril Ramaphosa ,kwa kuchaguliwa kwake kwa kishindoo kwa muhula wa pili kama Rais wa Taifa hilo. Salamu hizo zimetolewa na Rais wetu kupitia...
  2. JamiiForums Tanzania Usipokuwa Rais huwezi kuwa Mwenyekiti wa CCM!!??

    Historia inaonesha kuwa hakuna Mwenyekiti wa CCM aliyedumu kwenye nafasi hiyo akiwa nje ya Urais. Mwalimu alipotoka madarakani harakaharaka akamuachia Ally Hassan Mwinyi uenyekiti wa CCM akiwa Rais. Mwinyi naye alipotoka kwenye Urais akamwachia Benjamin William Mkapa uenyekiti wa CCM ambaye...
  3. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango akagua mradi wa maji wa Same - Mwanga - Korogwe

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewapongeza viongozi wa Wizara ya Maji kwa kusimamia na kufanikisha vema utekelezaji wa Mradi wa Maji wa Same -Mwanga – Korogwe. Makamu wa Rais ametoa pongezi hizo alipokagua Mradi huo na kushuhudia wananchi wakianza...
  4. JamiiForums Tanzania Maajabu ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Rais Dkt Samia Suluhu Hassan aliingia madarakani Machi 2021 baada ya kifo cha ghafla cha mtangulizi wake, Dkt John Magufuli. Ingawa amekuwa wa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini Tanzania, amekabiliana na changamoto nyingi na kuboresha hali ya nchi kwa njia nyingi ambazo zimeleta...
  5. JamiiForums Tanzania Rais anafahamu kuwa viongozi wengi Serikalini wanategwa ili waangushwe na mahafidhina, mafisadi na wezi?

    * RC Makonda alisikika akisema kuwa watu wanamfuatilia, * Balozi Polepole akitokea Arusha siku moja alikuta nyumbani kwake kaporwa nyaraka, * Mhe Ole Sendeka majuzi kakoswakoswa kuuawa kwa risasi wkt akiwa ktk gari; * Mhe Dugange alipopata ajali ya gari mwaka jana alisingiziwa kuwa ktk...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia Aipa TANROADs Bilioni 431.4 Kutekeleza Miradi ya Ujenzi wa Miundombinu Mikoani Kagera

    RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 431.4 KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA Na Mathias Canal, Kagera Wakala wa Barabara “TANROADS” Mkoani Kagera inasimamia mtandao wa barabara wenye jumla ya kilomita 1,966.29. Kati ya hizo barabara kuu ni Kilomita 861.59, barabara za mkoa ni...
  7. JamiiForums Tanzania Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

    A /Alaykum ..! Nachukua nafasi hii kukutaka radhi my brother kwa kukukosea na kukuvunjia heshima .! Kijana wako nimeghafilika kwa jazba . M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako...
  8. JamiiForums Tanzania Mada Changamshi: Je, Rais Samia Suluhu Hassan Anatakiwa Kugombea Muhula Mmoja tu?

    Ndugu wananchi na wanachama wa vyama vyote vya siasa, leo tunakutana kujadili suala nyeti na lenye umuhimu mkubwa kwa mustakabali wa taifa letu. Tangu Rais Samia Suluhu Hassan achukue madaraka baada ya kifo cha ghafla cha Rais John Pombe Magufuli, kumekuwa na mijadala na mitazamo tofauti kuhusu...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  10. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wabunge mnasubiri nini kumchangia Rais Samia pesa ya kuchukulia Fomu ya Urais?

    Ndugu zangu watanzania, Kama kuna Muhimili unapaswa kuwa msitari wa mbele kumtia moyo Rais Samia ,basi ni Muhimili wa Bunge.Hii ni kwa kuwa wabunge kwa macho yao ni mashuhuda wa namna Rais Samia alivyo miminia na kutiririsha Mamilioni ya pesa majimboni mwao kwa ajili ya miradi mbalimbali ya...
  11. JamiiForums Tanzania Ufanisi wa Rais ni watu waliomzunguka!

    Moja ya Eneo Muhimu la watu katika uongozi ni Wale unao onana nao Kila siku (Wanaokuzunguka) kama ni Machawa utafanya vituko vingi. Rais anapaswa kuzungukwa na vichwa vyenye Hekima ndio wa kumshauri sio Vijana ambao hawajawa tested na matukio, angalia waliofanya kazi na Nyerere/ Mkapa n.k...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Makamu Rais Malawi kuzikwa Juni 17, 2024

    Mazishi ya aliyekua Makamu wa Rais Malawi Dr Saulos Chilima yatafanyika Jumatatu tarehe 17.06.2024 kijijini kwake katika wilaya ya Ntcheu yapata kilomita 175 toka Lilongwe. NB: Majirani tukafariji ndugu zetu MALAWI. Udugu kufaana si kufanana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT: Ikikupendeza shiriki katika ufunguzi wa safari ya SGR, Dar- Moro 14/06/2024.

    Kwako, Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, Nimefarijika kusikia siku ya kesho reli ya SGR itaanza safari rasmi ya Dsm-Moro. Tangu awali tulisikia kelele nyingi juu ya mradi huu wengine walifikia hatua kusema ni 'White Elephant Project' kwa maana ni mradi usio na faida zozote na ambao hautaleta...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Suluhu Hassan anamheshimu Lissu, why Lissu hajiheshimu?

    Wapenda amani SALAÀM! Rais wetu hana makuu, hajui kukandamiza haki za kiraia - hajui kutumia dola kuzuia upinzani - lkn:- Mbn Lissu anatukana sana? Mbn Lissu anadhihaki sana? Mbn Lissu anakera sana? Mbn Lissu anachokoza sana? Rais kwa kutambua utu wa binadamu amemrejesha Lissu nchini toka nje...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na kufanya Mazungumzo na Danieli Fransisco Chapo Mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,amekutana na kufanya mazungumzo na mgombea Urais wa Msumbiji Kupitia FRELIMO Mheshimiwa Danieli Fransisco Chapo,Ikulu ya Dodoma hii leo June 12. Hii ni katika kuonyesha ushawishi wa...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha Rais Samia mkoani Singida, bilioni 93 zimetolewa uwekaji taa, ujenzi barabara na madaraja

    KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI SINGIDA//BILIONI 93 ZIMETOLEWA UWEKAJI TAA, UJENZI BARABARA NA MADARAJA Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi...
  17. JamiiForums Tanzania Ni nani Rais wa heshima wa Simba?

    Katika hali isiyo ya kawaida na isiyo ya kikatiba Mwenyekiti wa Simba upande wa Mwekezaji anajiuzulu na kumteua Rais wa heshima wa Simba Mo kuwa Mwenyekiti upande wa Mwekezaji! Hii kitu hakijawahi kutokea tangu kuumbwa kwa dunia na hivyo ajabu lingine la dunia! Ina maana kumbe Mo ni Mwekezaji...
  18. JamiiForums Tanzania Filipe Nyusi, Rais wa Msumbiji atafika Butiama leo

    Rais wa Msumbiji atafika kijijini Butiama leo. Ataongozana na Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Emmanuel Nchimbi. Mheshimiwa Rais ataongea na wanakijiji katika mkutano wa hadhara.
  19. JamiiForums Tanzania Teua tengua - nawalaumu wasaidizi wa Rais

    Dhamira ya Rais kwa vijana wake anaowateua ni nzuri sana - kwamba wamsaidie kazi na majukumu yao ktk maeneo yao. Tatizo la kutenguliwa kwa vijana wengi kumetokana na sababu kuu moja "huteuliwa kwa mchongo". Wasaidizi wa Rais ktk idara hiyo hawafanyi vetting yakutosha. Huenda huangalia zaidi...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF unachangia kuanguka kwa mfuko huo kutokana na kutokuwa na uongozi bora pamoja na kukosa uwekezaji sahihi. Pia soma ~ Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko ~ Uhuni mkubwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…